Itakuwa dharau kubwa kwa Vijana wa CCM kama Rais Samia atamteua Bananga kwenye nafasi ya uongozi

Kurunzi

JF-Expert Member
Jul 31, 2009
9,236
9,841
Itakuwa dharau isiyo mithilika kwa Vijana wa CCM ikiwa Bananga atateuliwa kushika nafasi yoyote ya uongozi hapa nchini

Ikumbukwe kuwa CCM kuna vijana wengi wamekipigania chama tena kwa kushiriki maovu ili kukilinda chama chao ili mradi washinde kwenye chaguzi mbali mbali. Vijana hao walifanya hivyo wakiamini ipo siku watapata nafasi ya uongozi.

Banaga alikuwa Meneja wa Kampeni wa Mgombea urais kupitia CHADEMA, Tundu Lisu kwenye uchaguzi 2021 ulitawaliwa na udanganyifu mkubwa.

Kwenye ziara ya kiserekali na Kichama Rais Samia Suluhu akiwa arusha kwenye mkutano wa hadhara alimpokea Bananga alikihama CHADEMA na alimuhakikiahia kuwa atamtumia, tunajua kumtumia lazima amteuwe kuwa kiongozi fluni kama sio kwenye serekali basi huenda ikawa kaenye CHAMA.

Hivi hata wapiga zumari kwenye mitandao ya kijamii Ole Mushi hana sifa za uongozi, vipi Abdulkharim Malisa na wengine?

Au tuamini kuwa CHADEMA inajua kupika viongizi wenye sifa za uongozi na hujengaji hoja zenye mashiko kuliko wliopo CCM!

Kama UVCCM itashindwa kuliemea hili na kuinyesha nguvu yake kwenye chama basi itabaki kuwa Daraja la Taasisi ya hovyo kuwahi kutokea.

Wakati mwingine UVCCM inabidi ungane na hata BAVICHA kwenye masuala ya msingi ya taifa ili kuijengea heahima yake.
 
Wala hilo halina haja kupigia kelele. Wana CCM wanasubiri maana yule kijana siku ile akifanya drama karibu mama ampe uteuzi palepale. Hawa oppurtunists kama bananga ni hatari watakigawa chama.
 
Ni jambo linaloumiza kweli ikizingatiwa alikuwa anafanya kazi ya kupunguza kura za CCM lakini matakwa na mahitaji ya mteuaji yaheshimiwe
 
Itakuwa dharau isiyo mithilika kwa Vijana wa CCM ikiwa Bananga atateuliwa kushika nafasi yoyote ya uongozi hapa nchini

Ikumbukwe kuwa CCM kuna vijana wengi wamekipigania chama tena kwa kushiriki maovu ili kukilinda chama chao ili mradi washinde kwenye chaguzi mbali mbali. Vijana hao walifanya hivyo wakiamini ipo siku watapata nafasi ya uongozi.
Mbona meko aliwateua wengi sana kina waitara mpaka leo wapo huko ni mawaziri?

Sami na meko ni kitu kimoja si alisema mwenyewe?
 
Ilikuwa aibu sana kwa wana chadema pale ambapo gaidi alibadili gia angani akamteua Gwajima awe mshenga wa kumleta EL chadema akawa mgombea urais alafu watu waliokesha wanapigwa virungu kukipigania chama wakibaki wanazungushwa mikono huku wakiimba mabadirikoo lowasaaaaaa
 
Wivu umetuzidi wabongo.

Na hao uliowataja kwa IDs feki bila shaka unawafahamu majina yao halisi mpaka ukawajua kuwa hawajapata teuzi.
 
Itakuwa dharau isiyo mithilika kwa Vijana wa CCM ikiwa Bananga atateuliwa kushika nafasi yoyote ya uongozi hapa nchini

Ikumbukwe kuwa CCM kuna vijana wengi wamekipigania chama tena kwa kushiriki maovu ili kukilinda chama chao ili mradi washinde kwenye chaguzi mbali mbali. Vijana hao walifanya hivyo wakiamini ipo siku watapata nafasi ya uongozi.
Unakumbuka shuka kumekucha. Ni muendelezo wa yaliyokwishatokea.
 
Katika siasa ni kitu cha kawaida sana. Wagombea wangapi walitoka vyama vingine wakapewa nafasi huko CHADEMA kugombea? Mbona EL alipewa nafasi ya kugombea urais akiwamwaga akina Slaa?
 
Itakuwa dharau isiyo mithilika kwa Vijana wa CCM ikiwa Bananga atateuliwa kushika nafasi yoyote ya uongozi hapa nchini

Ikumbukwe kuwa CCM kuna vijana wengi wamekipigania chama tena kwa kushiriki maovu ili kukilinda chama chao ili mradi washinde kwenye chaguzi mbali mbali. Vijana hao walifanya hivyo wakiamini ipo siku watapata nafasi ya uongozi.

Banaga alikuwa Meneja wa Kampeni wa Mgombea urais kupitia CHADEMA, Tundu Lisu kwenye uchaguzi 2021 ulitawaliwa na udanganyifu mkubwa.

Kwenye ziara ya kiserekali na Kichama Rais Samia Suluhu akiwa arusha kwenye mkutano wa hadhara alimpokea Bananga alikihama CHADEMA na alimuhakikiahia kuwa atamtumia, tunajua kumtumia lazima amteuwe kuwa kiongozi fluni kama sio kwenye serekali basi huenda ikawa kaenye CHAMA.

Hivi hata wapiga zumari kwenye mitandao ya kijamii Ole Mushi hana sifa za uongozi, vipi Abdulkharim Malisa na wengine?

Au tuamini kuwa CHADEMA inajua kupika viongizi wenye sifa za uongozi na hujengaji hoja zenye mashiko kuliko wliopo CCM!

Kama UVCCM itashindwa kuliemea hili na kuinyesha nguvu yake kwenye chama basi itabaki kuwa Daraja la Taasisi ya hovyo kuwahi kutokea.

Wakati mwingine UVCCM inabidi ungane na hata BAVICHA kwenye masuala ya msingi ya taifa ili kuijengea heahima yake.
Siasa taka za CCM zinaudhi.
 
Kosa la kupokea wanachama toka upinzani na kuwapa vyeo ni KOSA kubwa sana ambalo CCM wanaendelea kufanya, na pia Wapinzania wanaendelea kufanya. Edward Lowasa CCM- CHADEMA- CCM, Membe CCM - ACT- XXXX, SUMAYE CCM - CHADEMA- CCM, WASIRA CCM- NCCR- CCM, Late LAMWAI CCM- NCCR- CCM n.k.

Inaonekana political maturity pande zote bado kabisa. Mtu anayehama upande mmoja kwenda mwingine awe kwenye kipindi cha uangalizi siyo chini ya miaka miwil
 
Yule mama kajifunza uongozi kwa boss wake, anafata legacy.Naona nae kaanza mbwembe za misafara na helicopter juu,kumuhofia Mbowe na sukuma gang
 
Mlisema hayo hayo, mkeka ujao upo palepale Bananga DC - Liwale.
 
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom