Bwana Utam
JF-Expert Member
- Feb 15, 2016
- 19,987
- 37,377
Yaani awali wakati wanataka kuingia vitani walikua hawajui kama watakua wapo wrong ama [emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23] Doooh kwamba US iliikimbia Somalia? Yaaani nchi iliyoisambaratisha Islamic State kumuua Al baghldad, US iliyomuua Osama na kuiteketeza Al Qaeda ndo ishindwe hapo Somalia?
Vitu vingine ni interest tu mkuu hakuwa Na Interest hapo Somalia. US was wrong kuwepo in that war in the 1st place.
Kuna mambo yanachekesha sana yaani wewe unajua kama walikua Wrong Halaf CIA wasijue [emoji3][emoji16][emoji16][emoji23]
Sent using My COVID-19