Mkuu Iran is powerful yes, but not as you put it. Iran ingekuwa that powerful US officials wasingepata guts za kumuua Soleimani ambaye alikuwa the most influential figure in the Iranian Military.
Yaani Suala la US kumuua Soleimani ni sawasawa na US kuishika makalio Iran na inatosha kabisa kuthibitisha Iran kuwa siyo that powerful kama unavyoiweka. Yaaani Top Iran Military Officer anauliwa anaishia kuattack a military base tena without a single death. Kwanini Iran wasinge-retaliate kwa kumuua mtu kama Michael Grinston ambaye ni top official kwenye Jeshi la US? Wakaishia kulialia tu.
Ngoja nikuulize hivi Unahisi Nini kitatokea Leo kama US ikimuua mtu kama Park Jong Chon ambaye ni kama Soleimani kwa North Korea?
Na unahisi Nini kitaipata US ikijaribu kufanya hivyo?
Mnaikuza Sana Iran.