It will be suicide for America to attack Iran

Usifanye mas-hara na waajemi, marekani wangelifanya kosa tu la kulipiza kisasi basi wangezikwa wote kwenye vifusi
Marekani hamna nchi inaiweza sababu wamjiimarisha duniani. Wana military base kila mahali. Yaani wakipbana na iran watakachofanya ni kusogeza manowari zilizo karibu na meli za kivita na kumaliza kazi huko huko iran huku us wakiwa wako bize na korona.
#IRGC Air Force Commander: We would targeted 400 locations if Americans had responded to our missile attack against Ain al-Assad military base.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Usifanye mas-hara na waajemi, marekani wangelifanya kosa tu la kulipiza kisasi basi wangezikwa wote kwenye vifusi #IRGC Air Force Commander: We would targeted 400 locations if Americans had responded to our missile attack against Ain al-Assad military base.



Sent using Jamii Forums mobile app
Hata irani ni uajemi. Walivurugwa na kikosi na wala sio jeshi..
 
Usifanye mas-hara na waajemi, marekani wangelifanya kosa tu la kulipiza kisasi basi wangezikwa wote kwenye vifusi #IRGC Air Force Commander: We would targeted 400 locations if Americans had responded to our missile attack against Ain al-Assad military base.



Sent using Jamii Forums mobile app
Struggle idiot
tapatalk_1587668459163.jpg
 
Sidhani kama rais wa marekani kitoka chama cha republican atoke madarakani bila kukinukisha. Ngumu sana. Trump kakalia kuti kavu kwao anaweza akawa raia wa muhula mmoja hivyo anaweza itumia hii nafasi kuvuruga kama walivyo republican.
Mkuu Wamarekani wanaigopa Iran,soma bandiko langu vizuri uone why.Iran sio taifa la kuchezea hata kidogo,and its' adversaries know that very well.
 
Kweli kwa WAARABU Uko sahihi kabisa Yakwamba SAUDI ARABIA ndio Mbabe Wao Ila Sio Kwa IRAN

Sent using My COVID-19
Uko sahihi mkuu.I keep saying,vita sio uwingi wa madege na mameli uliyo nayo.Ni morale,logistics na experience ya your fighters which matters.Wairan kwa haya yote ni moto wa kuotea mbali.Sasa Wasaudia wanatunia zaidi mercenaries,so no morale;hawana ujuzi wa silaha wanazozitumia na hawana experience ya vita.Wairan are real fighters and war hardened.Wanajua pia silaha zao vizuri kwa kuwa ni indigenous,besides ni nzuri.
 
Yes,struggle you idiot.Iran kwa sasa sio nchi ya kuchezea kabisa kivita.Marekani wakicheza kidogo tu,meli zao zote zinaweza kuzamishwa at once.They know this very well.Ndio maana kambi yao ya kijeshi iliposhambuliwa na missiles za Iran with pin point accurancy hawakujibu mapigo.Iran wana extremely advanced missile systems and other systems,tena indegenous!Iran kwa sasa militarily ni very advanced.Juzi tu wamefanikiwa ku-lauch there "own" military satellite into space.Fuata link ifuatayo.

IRGC’s Noor-1 satellite: A new chapter in Iran’s defense power

Hizi sio achievements ndogo.No Arab country has this capability,ni Israel tu.
 
Yes,struggle you idiot.Iran kwa sasa sio nchi ya kuchezea kabisa kivita.Marekani wakicheza kidogo tu,meli zao zote zinaweza kuzamishwa at once.They know this very well.Ndio maana kambi yako ya kijeshi iliposhambuliwa na missiles za Iran with pin point accurancy hawakujibu mapigo.Iran wana extremely advanced missile systems and other systems,tena indegenous!Iran kwa sasa militarily ni very advanced.Juzi tu wamefanikiwa ku-lauch there "own" military satellite to space.Hizi sio achievements ndogo.No Arab country has this capability,ni Israel tu.
Pumba...kwa akili yako meli za USA niza kuzamishwa kirahisi ivyo.au unazani wakati waki zamisha USA atakua kasimama tu
 
Pumba...kwa akili yako meli za USA niza kuzamishwa kirahisi ivyo.au unazani wakati waki zamisha USA atakua kasimama tu
Nadhani hujui capability ya missile!Kuna meli gani isiyoweza kuzamishwa na missile yenye nuclear warhead,hakuna kabisa.Kumbuka Iran kwa sasa wana uwezo wa ku-launch 400 missiles simultaneously. Nimesema Marekani wakifanya miscalculation kidogo tu,meli zao Middle East zinaweza kuzamishwa zote,tena at once,na wanalijua hili.
 
Wakianza tandikwa wanakimbia na kuacha makobasi nyuma mtaanza sema marekani anaburuga nchi za wenzake. Marekani habari ingine kabisa
 
Back
Top Bottom