nyumba kubwa
JF-Expert Member
- Oct 8, 2010
- 10,309
- 8,398
Siyo ustawi wa jamii tu. Hata kielimu (kuna international students kibao wa kutoka China Marekani), sayansi na teknolojia, inventions, innovations, pioneering, n.k., Marekani iko mbali mno.
Niliona nchi zinazoongoza kielimu...was US number 1? sina kumbukumbu...
Mkuu Nyani Ngabu, ukisikia ustawi wa jamii ina-include elimu, yaani unazingatia indicators za UNDP na sio hizi za IMF or World bank ambazo wanaangalia figures!Siyo ustawi wa jamii tu. Hata kielimu (kuna international students kibao wa kutoka China Marekani), sayansi na teknolojia, inventions, innovations, pioneering, n.k., Marekani iko mbali mno.
Population kubwa ya china ni opportunity kwa investors kwa sababu, big population means big market... na ndio maana kuna baadhi ya wachumi wanakuambia, ukipata tenda ya ku-supply only miswaki nchini China, you'll turn to a billionaire!!Sasa ungejua kuwa population ya Mchina ndio mtaji wake usingesema...
Population kubwa ni mtaji kiuchumi...mradi iende shule ...
Unadhani why Wall street walienda ku invest China...labor...then soko...
Dont forget hivyo viwanda vyote in China owned by Americans..
How objective was that list? Who compiled it? The rubrics used?, etc.,. Maybe you know, but I don't so I'll appreciate it very much if you could provide me or direct me to where I can go and find that info although my point was the education provided in the US by US institutions and it's attraction to international students vis a vis other countries.
But this much I know.
The US has some of the best colleges, universities, and higher learning institutions in the world.
Matter of fact, find me any list of the top higher learning institutions in which the top 3 or 5 did not have two US institutions in it.
*Another thing, check out the list of Nobel laureates in the sciences and economy and see how many Americans or American based recipients are there*
I doubt you will or even if you will, I don't think you will provide me with the feedback. So I'm not really expecting anything from you but just in case........
Population kubwa ya china ni opportunity kwa investors kwa sababu, big population means big market... na ndio maana kuna baadhi ya wachumi wanakuambia, ukipata tenda ya ku-supply only miswaki nchini China, you'll turn to a billionaire!!
So, wakati big population ni opportunity kwa investors, on the other hand ni big threat katika kufikia ustawi wa kijamii na ndio maana had leo, nchi zenye ustawi mkubwa ni zile zenye small population! Na tatizo hili ndilo inazikumba nchi kama India na Brazil, ambazo pamoja na kwamba uchumi wao upo juu sana, bado wananchi wake walio wengi ni maskini!
Kwa upande mwingine, hata tukiamua kujikita kwenye hizo figures, ingawaje GDP ya China ni kubwa kuliko ya US lakini US ikiwa inamfuatia kwa karibu sana, ukisema ufanye computation ya GDP per capita utaona kwamba pa capital income ya US ni kubwa mara nne ya ile ya China!! Hii maana yake nini? Endapo tuta-assume China and US are new born wanaoingia duniani leo huku wakiwa hawana chochote zaidi ya teknolojia na huo utajiri wa IMF hapo juu kisha wote wakaambiwa watumie utajiri kuboresha maisha ya wananchi wao; keeping other factors constant, US na hilo pato lake dogo kwa China itaweza kuboresha maisha ya watu wake mara nne ya China! Kama zote wataamua kugawa at a flat rate, basi ikiwa Mchina mmoja atapata $ 250, Mmarekani mmoja atapata $ 1000!
Ukitumia mifano hiyo midogo ambayo hata asiye mchumi anaweza kuielewa, ndipo unaweza kufahamu ni kwanini tunasema bado sana kwa China kui-beat US...
Your still young I say!
Hatuongelei top five (ambayo US ndio anaye dominate ukokotoaji wake)
Tunaongelea per capita education...nchi ipi ina raia wasomi wengi...
mbona sijaona mmarekani anauza mahindi ya kuchoma Dar lakini wachina nimewaona- Hii si ndio hali halisi ya uchina
Ushawi kuona vijiji vya China?
Hata huko US ni hivyo hivyo tu. 1% tu ndio wanamiliki zaidi ya 90% ya uchumi wote wa Marekani. Hakuna jipya hapo ni tabia ya ubepari mahali popote duniani.haya ni yale ya Nigeria kuingiza pesa nyingi kuliko zote Africa.pato la taifa si kigezo kizuri sana chakusema flani kamuacha flani.kwanza pesa nyingi hutembea kwa watu wachache mf wanaomiliki makampuni makubwa ama wafanyijibiashara wa kubwa.layer za chini zenye karibu 95% ya watu wote hupata pesa ya kukidhi mahitaji tu na si ziada.Nigeria nadhani ndiyo nchi iliyokuwa na pato kubwa la taifa kwa Africa this year SA na sisi(i don't underestimate our power) tuliachwa mbalih mno lakini Nigeria ni nchi yenye majanga mengi ndani ya Africa.being dense populated vijana wake wengi hawana ajira,watu wake hawapati mlo unaofaa kila siku na mengine.hali yao haifanani na ya wasouth hata chembe.
ukija kwa wachina bado wana wananchi wengi wanaoishi kwenye mazingira duni ukilinganisha na America.huduma hazijaweza bado kulingana na wamarekani na si America tu nchi nyingi za ulaya ziko mbele ya China kwenye haya.iwapo china ingekuwa na idadi ndogoh ya watu hatua zao zingekuwa kubwa mno sasa lakini nchi hii ina zaidi ya raia billion 1.3.ni ngumu kuhakikisha raia wak woteg wanauangalizi juu ya masuala kadha wa kadha.
l
ni possible kwa China kupata pato kubwa ila still anasafari ya kuwezqa kukaa juu ya wote.l
missing my Africa
Vijiji vya china choka mbaya, niliona kimoja kwa tv daraja la kuvukia watu limewekwa gogo refu, kila siku wazazi wanaenda kuvusha watoto wao kwenda na kurudi shule
mbona sijaona mmarekani anauza mahindi ya kuchoma Dar lakini wachina nimewaona- Hii si ndio hali halisi ya uchina
Mimi naona hata nyinyi mnafanya ushabiki tu. Mimi sina hakika na hizi data lakini kusema Marekani haiwezi kuanguka kama anavyosema "your buddy" hapo juu ni ujuha wa hali ya juu sana. Kwani Marekani ni nani hadi ishindikane kuanguka. Hata China ikimzidi mmarekani it is just a matter of atatokea mwingine akae juu ya China.Some people are salivating for the US to fall.
Watu wamekuwa wakiandika habari hizi literary tangu Ben Franklin alivyowaambia wamarekani "It's a republic, if you can keep it".
At least wewe umesema itachukua miaka mingi ila inawezekana. Mimi kimsingi wala sijali sana, kinachoniumiza kichwa ni lini sisi watanzania (Ninaamini Mag3 wewe ni mtanzania kama sio utanisamehe) tutafika mahali tujivunie uchumi wetu angalau hata kwenye huu ukanda wa Afrika.You know what Nyani Ngabu, kuna watu wanaishi katika dunia ya kusadikika. Marekani hivi leo ikianguka, dunia itapata mtikisiko ambao it is hard even to imagine. China inaweza kuanguka na hata dunia isiyumbe na mfano mzuri ni pale Urusi iliposambaratika, the rest of the world moved on. Itaichukua China miaka mingi sana kuikaribia Marekani but that's assuming hiyo Marekani iko pale pale haisogei. The world's best brains have but one dream...to show their talent in the land of opportunity.