redSilverDog
JF-Expert Member
- Sep 18, 2010
- 470
- 77
chukua hii ilikuwa rough ya project ya shule.
Read silver dog kwa kweli hapa nimekwama
Am I wrong mbona naona kama Class diagram suit to be used in developing a software than a web application .
But ebu nimabini e ni application au program gani nzuri ya kuandika hizi class clsss diagram
Asanteni wakubwa I was just follwoing the project! Big up sana. Nashindwa kufungua hizo word doc zinafunguka php files, is there anything I can do so that I can follow proparly?
Thanx
RedSilverDog said:Hii ni nzuri kama unfanya Object oriented development. Mimi natumia MS Visio. This weekend nitajitahid ili class ziwe tayari..
Daah... sawa, maana na mimi pia busy busy siku hizi, lakini bado nimo.
Kwahio hii ndo class diagram yangu:
one thing only registered users can comment then that's a good policy, kumbuka tuna deal na business za watu hatutaki kuona anonymous comment zinazoua reputation ya business a mtu!
A person can comment and chose not to rate? Then sijaelewa kuhusu administrator, kwanini kuwe na super admin kwenye system?
yeah.. lakini mbona umekubali kirahisi. Ujue kila ukileta ubishi features zinaongezeka na inakaa freshi.. Coz ile sehemu ya comment kuna kitu umeniambia na yeah nimekosea so narekebisha halafu na post..
Daah... sawa, maana na mimi pia busy busy siku hizi, lakini bado nimo.
Kwahio hii ndo class diagram yangu:
View attachment 24501
Read silver dog kwa kweli hapa nimekwama
Am I wrong mbona naona kama Class diagram suit to be used in developing a software than a web application .
But ebu nimabini e ni application au program gani nzuri ya kuandika hizi class clsss diagram
Hapo kwwa registered user naona hujaweka attrbutetions na operations.
Bado naona tuna kazi kubwa ya kufanya ya kufanya hpa
yeap!..