Members na wachangiaji kuhusu developmemt approach kuna umuhimu wowote wa kuchagua specific aproach? . As to my knowlegde hapa tunacho develop sio software ni just some simple programs. na hizi approch nyingine zipo kwa ajili ya big programs (Software )
Approach Niliyokuwa nafikiria mimi wich can be productive katika mazingiraya precthii ni
Mfano ikifika stage task ya kusema members wa submit log in , authentication and confimration script kila member ata submit scripts ambazo ziko properly commented. itayayoonekana iko bora zaidi ndo hiyoitatumika . Sijui mnaonaje?
Kwa manufaa ya kujifunza kila task inaweza kuchukua zaidi hata ya wiki mbili kumpa kila member nafasi
Mi nona tutumie hii wiki kupolish , kuboresha na kukamilisha
SRS while wakati huohuo member na wachangaji tuwe tuna brain storm mlolongo na mpangilio wa
tasks execution ulio bora katike development
Mfano mlolongo wa unaweza kuwa hivi
- Propose web server/hOTS for testing -2 days
- Install WAMP on local machine- 3 days
- Database.- Member wataleta SQL script za ku create databaase na table wanazoendekeza - 7 days
- HOME PAGE- hapa member wataendelekza HTML scipt za homepageitakavyo kuwa - 7 dyas
- FORM- Hapa memberswatapendekeza script za form
- Form ya user kusajili mawasiliano
- Form ya user ku login
- etc
6. OTHER PAGES AND LINKS
7. TESTING.- task hii inawezakuwa ya kutest user input, error na kurekebisha
8. etc
So katika kila task the best solution inachukuliwa. kwenye local machine zao member watatumia aproach wanayojua. but in presentation wawe tayari kufafanua na kuelimisha
Thats my views