IT Project Kwa Vitendo

IT Project Kwa Vitendo

Members na wachangiaji kuhusu developmemt approach kuna umuhimu wowote wa kuchagua specific aproach? . As to my knowlegde hapa tunacho develop sio software ni just some simple programs. na hizi approch nyingine zipo kwa ajili ya big programs (Software )

Approach Niliyokuwa nafikiria mimi wich can be productive katika mazingiraya precthii ni

Mfano ikifika stage task ya kusema members wa submit log in , authentication and confimration script kila member ata submit scripts ambazo ziko properly commented. itayayoonekana iko bora zaidi ndo hiyoitatumika . Sijui mnaonaje?

Kwa manufaa ya kujifunza kila task inaweza kuchukua zaidi hata ya wiki mbili kumpa kila member nafasi

Mi nona tutumie hii wiki kupolish , kuboresha na kukamilisha SRS while wakati huohuo member na wachangaji tuwe tuna brain storm mlolongo na mpangilio wa tasks execution ulio bora katike development

Mfano mlolongo wa unaweza kuwa hivi

  1. Propose web server/hOTS for testing -2 days
  2. Install WAMP on local machine- 3 days
  3. Database.- Member wataleta SQL script za ku create databaase na table wanazoendekeza - 7 days
  4. HOME PAGE- hapa member wataendelekza HTML scipt za homepageitakavyo kuwa - 7 dyas
  5. FORM- Hapa memberswatapendekeza script za form

  • Form ya user kusajili mawasiliano
  • Form ya user ku login
  • etc
6. OTHER PAGES AND LINKS
7. TESTING.- task hii inawezakuwa ya kutest user input, error na kurekebisha
8. etc

So katika kila task the best solution inachukuliwa. kwenye local machine zao member watatumia aproach wanayojua. but in presentation wawe tayari kufafanua na kuelimisha

Thats my views
Tupo pamoja mkuu, wengine tunasubiri ili tuanze hii kitu kwa vitendo.
 
Team leader tabutuupu, X-paster to keep record hivi tumekubaliana mobile ziwe wthin project scope yetu ?

Pia Kuna maswali mengine pia SRS zetu hazijagusia kama

  • wich kind of style sheet tutatumia? ( inline, embeded , external)
  • HTML Doctype na standarg gani zitumike ( Strict, Transitional , )
Tukaze buti
 
Mtazamaji unapeleka mbele movie. Nadhani tukiingia designing tutapanga mambo hayo.
 
Tupo pamoja mkuu, wengine tunasubiri ili tuanze hii kitu kwa vitendo.

Nadhani hivi ndo vitendo vinyewe, najaribu mimi mwenyewe kubadilika. instead of us being 'programmers', Napendelea tukimaliza project hii, tuwe software engineers. Those people who know how to programs🙂-D mmoja wao mie), they just write codes ambazo zinafanya kazi tu. lakini sio ambazo ziko well designed kusupport some other features, kama maintainability and management!

Kwahio, participate huku fully, inaweza kusaidia baadae, you never know. Kwa mfano, I had this 'kinda' rigid way of developing applications. Lakini, from this project I learned, AGILE methods which lead kujua SCRUM.
 
Mtazamaji unapeleka mbele movie. Nadhani tukiingia designing tutapanga mambo hayo.

Kweli Team Leader nimepeleka movie mbele. So what is the mile stone are we supposed to achive this week?

RedSilverDog naomba pia nisikie mapendekezo yako na member wengine juu ya hii issue nairudia rudia.

  • Should it be one of our objective to develop a system that will be accesible through mobile devies
 
Good question. Sijui flexiblit ya watu. Sitopinga kueka kwenye, kwasababu tutaonyesha kwamba tumefikiria nyanza nyengine za kupatwa huduma zetu. Mimi nataka iwepo.
 
Team are we alive ? Jana nimeona postkwenye jukwaa la complints one of our contributrs Yeshuamalech kuwa anaondoka hapa JF.

So sad

Hopetuko njema
 
Good question. Sijui flexiblit ya watu. Sitopinga kueka kwenye, kwasababu tutaonyesha kwamba tumefikiria nyanza nyengine za kupatwa huduma zetu. Mimi nataka iwepo.

I think, for this information age, we cant avoid this. Am happy that i will be among those who will gain knew skills in this area. Let us try.
 
I think, for this information age, we cant avoid this. Am happy that i will be among those who will gain knew skills in this area. Let us try.

Yah it will be a nice practical challenge
 
are we satisfied with the requirements we have?

We could start class diagrams..
 
Deadline ya ku deliver hizo Class diagrams iwe lini ?
 
tuwe done by two weeks.. wale wapenda kuchapa code ndo mwanzo huu... haya vamieni sasa..
 
Project nzuri sana, ila me ningependa niwakilishe mchango wangu kama mkiitaji ku alocate eneo husika kwa ramani na direction na muda wa kufika eneo husika ninaweza kuchangia mawazo nilishafanya kitu hicho mwaka jana kwenye directory moja..
 
Mkuu nimeona kazi yako ya mwanza directory
 
Basi tufanye class diagrams..

Leader , mebers and all interested all week nimejaribu kubrain storm class diagram naona nakwama. bado najaribu kucheki kwenye net sample kama kuna member ana iput aweke japo sample ya class digram ya web site ili tuweze kutumia kuja na idea specific to our project .

-Je Use case digram ina relation na Class diagram? yaaani actors wa kwenye use case wanakuwa regarded as Class kwenye Class diagram au ni vitu tofauti kabisa?

-Na vizuri tutumie standard moja .Sasa ni tool gani tutumie kutengeneza hizi class digram ? Kama kuna mtu mtu anajua tool nzuri ya UML maana ziko nyingi sana tupeane majina na link
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom