IT Project Kwa Vitendo

IT Project Kwa Vitendo

fanya hizo modification 2zione. labda unipe email yako nikupe zile visio files..
 
fanya hizo modification 2zione. labda unipe email yako nikupe zile visio files..

Ok ntakutumia kwenye pm ila ngoja usinitumia kwanza nijaribu maana ukishanitumia nitakuwa mvivu wa kujifunza zaidi kuhusu hii visio .Ngoja nipigike kwanza.
 
nina matatizo ya mawasiliano.. so i'll b out 4 dayz...

Sorry..:crying:
 
Attachments

  • class diagram2.jpg
    class diagram2.jpg
    22.9 KB · Views: 29
here is my mofied version

Why dont we treat a [service] as class? then we gonna have the relation that user adds a service.. The system is gonna admin who can delete data? dont u think that is dangerous? i suggest users can admin their own data, it will be better ethical. Then unless therez a sort of violation the the 'below' can serve as a solution:

And may be a separate system to handle admin of the system, or just having a sort of phpMyAdmin thing.
 
Sikuelewa hasa hiyo service class sababu hukuweka nyama nayama zake. Now i get you. Lakini hata mimi nimefikiria hiyo ya USer kumanage data zai ndio maana kwenye Class ya registered user kuna method or operation ya edit profile..

So depending how big it will be basi inaweza kuwa independent class au inaweza kuwa ni operation/method inayofanyika ndani ya one of the class. ?

So if Service is a classt hen edit, delete, update can be attrbutes na getuserprofile() ,updateuserofile(), deleteuserprfifile() ziitakuwa method?

Am I right?
 
Leader upo?
members and anyone inerested lets do something beofre the project dies.

Tuwasilishe na tushaurinae hapa

  • mapendkezo home page itakuwaje ( HTML script)
  • Tuwasilehe Database itayohifadhi info za user itakuwaje ( Using CREATE TABLE na MQSQL statement)
  • Tuwasilishe Login in form ita takuwaje pamoja na scirpt zake
  • Tuwasilishe na regsitraion form amabayo watu watataumi kusajili taarifaza biashara zao, kazi zao au adress zao.
  • Na websever provider gani wa free ni wazuri watarushu japo tuingize data chache za kufanyia majaribio.
Lets do something
 
sina kifaaa basi tabu tupu.. ila nikiamka asubuhi ntaandika vizuri. \project haifii
 
now tuko Team members 0

  1. ............Team Leader
  2. ............Member
  3. ............ Member

Contributors
...............
...............
...............
Kwa wale ambao wametolewa wanaweza akuendelea kuwa contributors . Tulikubaliana hapa kuwa for 5 consecutive days member hajatoa input yeyote anakuwa automatically out. Nawasilisha.

Leader upo?
members and anyone inerested lets do something beofre the project dies.

Tuwasilishe na tushaurinae hapa

Mkuu kwa mujibu wa sheria tulio jiwekea hapo juu kuwa quote "Tulikubaliana hapa kuwa for 5 consecutive days member hajatoa input yeyote anakuwa automatically out." end of quote, Tukizingatia haki na usawa bila upendeleo utagunduwa kuwa Member wote ambao walihusika kwa njia moja ama nyingine kufanikisha project hii wamejitoa kisheria kwa sababu hawakuchangia chochote kwa siku tano mfurulizo.

Ukiangalia hapo juu, mchango wa mwisho ulikuwa tarehe 9th March 2011, mpaka kufikia tarehe 16th March ni zaidi ya siku sita (6).

Kwa kuzingatia kanuni na sheria Mradi umekufa kwa kukosa wanachama au watendaji...!

Kama mradi utatakiwa kuondelea basi wale wote walio ondolewa wapewe taarifa rasmi ya kurudishwa kwenye mradi na Project ianze upya.

Nawasiliasha.
 
Xpaster
Unalosema linawezekana lina ukweli lakini ukifutilia kuna task tulipeana tuzikamilishe ndani ya wikii mbili. so tulivyokubaliana kufanya task fulani kwa wiki mbili haina maana ukikaa kimya siku tano baada ya kukubaliana ile task uko OUT.No

Pili wewe ni mmoja wa wanachama ambaye umekuwa inactive na hivyo kuchangia katika kuuweka mahututi huu mradi uliolenega kutufanya tusihubiri tu mambo bali tujaribu kuyafanya kwa vitendo

Pamoja na kuwa mradi uko mahututi teh teh teh bado haujafa na tumejifunza mengi mpaka sasa.

Na kingine sio kweli mradi umekufa kwa kukosa wanachama au watendaji ukweli ni sisi wanachama au watendaji ndio tunaua miradi . sio huu tu. Unless u dont feel responsible wakati wewe ulikuwa mmoja wa member . teh teh teh . This is real life scenario ya challenge na risk inayopitia miradi mingi. Big risk ni watu( Wewe na mimi, na wengineo)

Sasa Nyambulisha na tujipime how much kila moja wa member kawa risk kwenye mradi. mpaka hatua hii.

Au kwa kuwa wewe ulikuwa unasubiri kipindi cha code ebu tuleete properly documented script za login pamoja na login form.

Itapendeza kuona unakuwa mmoja wa wanaopenda kufufua na itasikistiha kuona aliyekuwa member anafurahia kifo cha mradi wake.

Shukranikuona kumbe bado unafuatilia.
 
Mkuu ilikuwa ni makosa kuwaondoa wale wote waliojitolea bila kuwauliza kilicho wasibu ni kitu gani.

Haya nitajitahidi kuleta hizo code za login.
 
TO: kotinkarwak+
As unbiased client of this project umekuwa ukfutilia kwa karibu hii kitu

Naomba toa feedback na evalution yako. Sometime sisi tulio ndani tunaweza tusijipime vizuri na kujua tatizo hasa.
 
Mkuu ilikuwa ni makosa kuwaondoa wale wote waliojitolea bila kuwauliza kilicho wasibu ni kitu gani.

Haya nitajitahidi kuleta hizo code za login.

Nimewaondoa wangapi mkuu sidhani kama ni vizuri kujifurahisha kuwa na idadi ya watu wengi wasiochangia chochote.

Pale nilikosea tu kukutoa wewe na kumucha tabutubu bcs tabutupu alindiika kuwa yuko busy hatawez tena kuchangia vilivyo hivyo akipata nafasi atachangia tu kama mwanachama yeyote. Hilo Ndio kosa nilifanya. Ni kama nilimpendelea tabutupu na kukutoa.

Wewe ulikuwa kimya sana sana mkuu ilo inabidi ukiri . So kimsingi ni kama tulibaki wawili ukifutilia comment vizuri Team lader( Redsilver dog) alisema mashie yake ina matatiz atakuwa offline. Si unaona watu wanavyotoa feedback.

Part nyingine inayochangia kufa kwa project ni Comunication. Mwazoni tuliandika Risk assesment document. Kama umeisoma ile utajua ugumu wa kufanya project watu mkiwa mbali mbali na bado watu hao hawafanyi communication.

But tundeleee hivi vikwazo ni mambo ya kawaida kabisa.
 
Usijali tupo pamoja, nishamaliza mitihani sasa, nitakuwa na muda japo kidogo.
 
Anyone anayetaka na yuko tayari ku kujifunza, kufundisha kwa vitendo kwenye hii project anakaribishwa kuomba kuwa member.

Kwa wasio na nafasi lakini mnapenda kuchangia michango yenu, elimu yenu na na mawazo yenu yanakaribishwa hata mkiwa nje ya Team.

Acting Team Leader
 
My fear for this project is that the team has missed a trick. In this and many forums there has been a steady query of how ICT can better the life's of Tanzanians and the initial aim that was raised here was to focus minds in putting together a tool that can demonstrate the prowess of ICT newcomers as well as veterans to show us what they can come up with. There are many tools and services that would be required to be developed or customized for our market area and this was a good opportunity to start putting forth ideas and solutions that can start addressing these issues. For this project to fail it will not indicate that there is no appetite to learn and to collaborate in software development efforts but it failing at the first hurdle will be a real shame.

As the nominated "client" for this project I feel that the missed trick was in documentation and the assumption that there will come a time that developers will flock here with code and solutions once the design was agreed. As a profession, it should be stressed that documentation is key. This should be done logically and should always try and use tools suggested by the commentators here at least to show the contributions made are being taken into consideration and noting that this is a learning project, these tools were the areas the contributors wanted new knowledge to be gained by the team players. All developers even coders need to participate in the document development for I don't know of any job situation/organisation situation where the coders just sit there waiting for documents and they will crack on with the code.

The project scope and aim was very simple, and fear of re-inventing the wheel came up a few times in the discussions. There are many templates available for this kind of requirement but since it was felt that learning was paramount, then, the project could be written from scratch where possible. This approach even though could add learning value is not necessarily the best one to follow since there are platforms that have been developed that will cover the bulk of the development headache i.e. security and wanting to start this from scratch is really not advisable, Take up the platform/development environment that covers that and any other critical aspect of the application and concentrate on the presentation and data management of the app but don't start from scratch. The learning from such tools in my opinion allows for productivity to commence from day one while still giving you opportunity to learn and understand why/how they went with such design in the platform. For those learning ICT this is crucial since opportunity to exercise your knowledge on something sizeable can only be achieved by collaborating with others.

The other day I looked at the site announced by the Higher Education Loans project as the new tool to address loan application and management OLAS Welcome (in my humble opinion, very amateurish) and I felt that we in this field have a major road to cover to be taken seriously in business circles. If this is the output of the IT department of this organisation then bado safari ni ndefu sana.

I am very eager for this project to come through since I already have an application in mind that needs a write-up and am hoping the team here will be in a position to assist in its development. To start off though, can we redraw the project say to better what OLAS Welcome is offering?

btw, anyone familiar with that HESLB application process? What functionality apart from filling in your details in the forms is that website offering? Can you track your application as it meanders its way through the bureaucrats or is it the same thing, print multiple copies of it, ipeleke kwa mjumbe wa nyumba kumi kumi, ipeleke kijijini kupata mhuri and the like... have they done away with the Ujamaa stages that deprive many from accessing the loans?

see ICT targetted comments in this thread https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...o-elimu-ya-juu-nini-kifanyike-kuiboresha.html
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom