It is wrong to instigate chaos for political ambition

You want me to mention chanzo kimoja cha umaskini? "No" it is not done that way sir especially in academics. Kuna vyanzo vingi vikiwemo uongozi mbovu, sababu za kihistoria, sera mbovu, rushwa, ufisadi nk

Kotokuwa na akili, migogoro ya kisiasa, maandamano ya fujo, udini?
 
Unashangaa nini? Kwani hujui nani aliyewaambia watu waandamane?
kweli a zombie is just a zombie... sijashangaa silani

nimeshindwa kuelewa... huyo aliyekutuma kuna kitu anakuwekea kwenye kinywaji, usinywe
 
Najua nyote u see my point lakini mmeamua kukandia. So mbaya. Lakini the triumph of Chadema will definitely be at a cost of dividing this great nation!!

Wacha ligawanyike tu, huo umoja/muungano wake sijaona faida yake hadi leo!
 
kweli a zombie is just a zombie... Sijashangaa silani

nimeshindwa kuelewa... Huyo aliyekutuma kuna kitu anakuwekea kwenye kinywaji, usinywe

u will never understand how some minds operates. See the signature, "system at work, what do you expect"?
 
watu crazy kama sisi hukumbukwa mambo yanapokwenda vibaya na kuwa out of control.
watu mnataka kuharibu nchi ili muitengeneze? na sisi wenye mawazo tofauti mnatutisha na kutuita majina mabaya? u wont silence me.
never.

Wewe huna tofauti na wale makada njaa ambao ukiangalia nyumba zao ka zinataka kudondoka, huku zikipepea bendeza za CCM huku wakiwa hawawezi ku-afford gasi (sasa hivi ni sh 70,000 badala ya 36,000), umeme ni issue kwao (nao umepanda bei) na bado hawaamini tatizo ni CCM. Mkisikia ngeleja akisema lazima Dowans walipwe mnapiga makofi, pambaf, bila kujua actually ni sisi ndo tunalipa ... kweli kiongozi hiyo post imetoka from moyoni au unataka uone tuta-react vipi?
 
Najua nyote u see my point lakini mmeamua kukandia. So mbaya. Lakini the triumph of Chadema will definitely be at a cost of dividing this great nation!!

SURE!They already started by eliminating poor mindsets like yours from Great ones!
 
I pity u maana hujui na hujui kama hujui, na hata ukijua kama hujui, unafata mkumbo, umemkabidhi akili yako dr slaa, hufikiri nje ya box, mnahubiri democrasia na uhuru wakati wenyewe man mindset za kidictator.. but thanx for the compliment anyway, it is very kind of you...nyani haoni kundule.

SURE!They already started by eliminating poor mindsets like yours from Great ones!
 
I pity u maana hujui na hujui kama hujui, na hata ukijua kama hujui, unafata mkumbo, umemkabidhi akili yako dr slaa, hufikiri nje ya box, mnahubiri democrasia na uhuru wakati wenyewe man mindset za kidictator.. but thanx for the compliment anyway, it is very kind of you...nyani haoni kundule.
Unlike you sifuati mtu nafuata facts!
 
Hii thread imeanzishwa na mbunge asiyechaguliwa wa CCM..sums up it all.

Upupu mtupu.
 
View attachment 20318ni wazi kuwa viongozi na wanachama wa chadema wanaombea nchi isitawalike, uchumi uharibike, mambo yaende vibaya ili waseme ccm wameshindwa na baadae waje ku claim ushujaa. This is wrong and very unacceptable. Hivi hakuna ethics katika siasa?
Chadema wajue kuwa wakishajiisha hilo likafanikiwa na wao hawatatawala nchi hii. Wote tunapenda mabadiliko lakini this is not the way to go. Tuwape nafasi ccm watawale washindwe kwa halali ili 2015 slaa awe raisi. Tusi instigate fujo.
Nanyi viongozi wa dini acheni kujiingiza katika siasa mnatugawanya waumini.
Yakiharibika isisemwe kuwa hatukuonya tunaoona mbali.



Watawale kwa ridhaa ya nani maana sikuwachagua ila wakatangazwa na tume watawale maadam katiba anakataa kupinga uchafu wa tume ya uchaguzi
 
Najua nyote u see my point lakini mmeamua kukandia. So mbaya. Lakini the triumph of Chadema will definitely be at a cost of dividing this great

nation!!

What chaos! The country is already chaotic. Stop the blame game and be realisticc!
 
Back
Top Bottom