It hurts me when no one will notice where ever I go

It hurts me when no one will notice where ever I go

sema aya mambo jaman ni vile tushazoea masikhara😄

huu mtaa naoishi, kuna kijana alikua anaweka status," DEPRESSION," akatunga ad wimbo akauita"DEPRESSION," aaah nani amzingatie bwan.

Kila mmoja akaona ni kawaida na kuendelea na mishe zake, alikua akiishi na bibi ake,,siku io karud kamwambia "bibi naomba nifulie hiz nguo,kuna sehem nataka niende.

Bibi akazipokea amfulie mjukuu wake,bila kujua anataka kwenda wapi.Sasa bibi kakaa mda mrefu kijana hatoki, kwenda kumgongea hafungui.

Bibi akahisi hatari,piga kelele watu kwenda kuvunja mlango,,,,,lahaulaaaaa😱 kijana KAJINYONGA.

Basi tukamzika.
 
Hali si nzuri kiafya mkuu imezungukwa Hospital kwa waganga tena waganga nimeona fiksi tu wanataka nipiga hela na haya maisha ya kuunga daah nimeona kifo kileee nikasema hapa ngoja niwahi kuwaaga wana humu
Unaumwa ugonjwa gani mkuu
 
Naugua ni mwaka wa 3 sasa yani nashindwa vumilia maumivu mkuu ukizingatia napambana na Life lakini ni kama yananikataa😢😢hosp wanasema hakuna tatizo sijui ndo kurogwa nahisi naenda kufa

It pains a lot I just can't handle it
Maumivu sehemu gani mkuu, na hospital ulipima vipimo vipi vilivyoonyesha hakuna tatizo
 
Naugua ni mwaka wa 3 sasa yani nashindwa vumilia maumivu mkuu ukizingatia napambana na Life lakini ni kama yananikataa😢😢hosp wanasema hakuna tatizo sijui ndo kurogwa nahisi naenda kufa

It pains a lot I just can't handle it
Badilisha hospital mkuu
Pia unaweza kujitibu mwenyewe
 
Hali si nzuri kiafya mkuu imezungukwa Hospital kwa waganga tena waganga nimeona fiksi tu wanataka nipiga hela na haya maisha ya kuunga daah nimeona kifo kileee nikasema hapa ngoja niwahi kuwaaga wana humu
Aisee kama ni hivyo pole sana mwanangu Mungu akuponye jaribu uende Makanisani
 
Hello members good morning everyone

Ukweli ni kwamba sijui lini i really don't know when I just wanna say guys I like all of you here

Man it hurt my feelings that no one will notice when I go
emoji22.png
emoji22.png

I got no friends here but I like Jf and it's members
emoji16.png
it's funny sometimes when they comment

So nimeona niseme kwaheri kabla sijadead plus Life is hard my friends

Lemme say this
Tulia we dogo, sembe nyama tamu.
 
Mkuu ifute hii roho ya umauti kwenye kichwa chako, inawezekana ni maradhi au jambo lingine linakusibu...... hautakuwa wa kwanza kupitia hizo changamoto na kurudi ukiwa imara na maisha yakaendelea.Mwamini Mungu maana yupo na atakulinda,sote tutakufa ila nakuona kabisa bado muda wako kabisa,hilo unalopitia,ni mapito ya dunia tu
 
haijalishi ni mangapi na magumu yote unayo pitia, chonde chonde kamwe usije kujinyonga au kujiua kuwa mvumilivu tu ipo siku itakuja UTAKUFA mwenyewe TU...! bila kunyongwa, unywe sumu ya Nini sijui uponde ponde chupa unywe ya Nini yote hayo...? VUMILIA siku yako inakuja UTAKUFA tu🤣🤣🤣KUWA NA SUBIRA
 
Naugua ni mwaka wa 3 sasa yani nashindwa vumilia maumivu mkuu ukizingatia napambana na Life lakini ni kama yananikataa😢😢hosp wanasema hakuna tatizo sijui ndo kurogwa nahisi naenda kufa

It pains a lot I just can't handle it
Kwani ni nini hasa kinakusumbua kwanini unafichaficha nyoosha maelezo watu wakuelewe unaweza shangaa unasaidiwa humu JF ni dubwasha lenye mkono mrefu
 
Hali si nzuri kiafya mkuu imezungukwa Hospital kwa waganga tena waganga nimeona fiksi tu wanataka nipiga hela na haya maisha ya kuunga daah nimeona kifo kileee nikasema hapa ngoja niwahi kuwaaga wana humu
...Pole Sana. Unaumwa Nini ?...
 
You just have to firmly stand for your decision, don't let anyone change them, life means a lot but when you decide just decide. Kizungu cha kijinga sana ni kujikanyaga kanyaga tu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom