Ashampoo burning
JF-Expert Member
- May 12, 2023
- 1,299
- 3,958
Unaumwa nini usaidiwe mawazo kijana usije jinyonga bure.....Naugua ni mwaka wa 3 sasa yani nashindwa vumilia maumivu mkuu ukizingatia napambana na Life lakini ni kama yananikataa😢😢hosp wanasema hakuna tatizo sijui ndo kurogwa nahisi naenda kufa
It pains a lot I just can't handle it