It hurts me when no one will notice where ever I go

Alez von lumor

JF-Expert Member
Joined
Nov 4, 2023
Posts
516
Reaction score
1,485
Hello members good morning everyone

Ukweli ni kwamba sijui lini i really don't know when I just wanna say guys I like all of you here

Man it hurt my feelings that no one will notice when I go
I got no friends here but I like Jf and it's members
it's funny sometimes when they comment

So nimeona niseme kwaheri kabla sijadead plus Life is hard my friends

Lemme say this
 
Ukivumilia Hadi mwakani utagundua una sababu nyingi za kuendelea kuishi kuliko kufikiria hicho unachofikiria!
 
Kumbe kuna wengine mnajua siku zenu za kufa? Wakati wanasema kifo ni fumbo

Ehee yani dogo ujiue na kisa nini? Hizo connection za kina aslay tutakua tunaburudika peke yetu
Hali si nzuri kiafya mkuu imezungukwa Hospital kwa waganga tena waganga nimeona fiksi tu wanataka nipiga hela na haya maisha ya kuunga daah nimeona kifo kileee nikasema hapa ngoja niwahi kuwaaga wana humu
 
Metal mada share na wengine humu waweza pata msaada fantastic hivyo tafadha

Naugua ni mwaka wa 3 sasa yani nashindwa vumilia maumivu mkuu ukizingatia napambana na Life lakini ni kama yananikataa😢😢hosp wanasema hakuna tatizo sijui ndo kurogwa nahisi naenda kufa

It pains a lot I just can't handle it
 
Hello members good morning everyone

Ukweli ni kwamba sijui lini i really don't know when I just wanna say guys I like all of you here

Man it hurt my feelings that no one will notice when I go
I got no friends here but I like Jf and it's members
it's funny sometimes when they comment

So nimeona niseme kwaheri kabla sijadead plus Life is hard my friends

Lemme say this
Tupe basi ratiba ya kufa kwako ili tujipange na mazishi..!! Maana usije ukafa wakati tupo safarini mwanetu..!!
 
Naugua ni mwaka wa 3 sasa yani nashindwa vumilia maumivu mkuu ukizingatia napambana na Life lakini ni kama yananikataa😢😢hosp wanasema hakuna tatizo sijui ndo kurogwa nahisi naenda kufa

It pains a lot I just can't handle it
In Jesus name Amen
 
Hello members good morning everyone

Ukweli ni kwamba sijui lini i really don't know when I just wanna say guys I like all of you here

Man it hurt my feelings that no one will notice when I go
I got no friends here but I like Jf and it's members
it's funny sometimes when they comment

So nimeona niseme kwaheri kabla sijadead plus Life is hard my friends

Lemme say this
usukumani sasa ni msimu wa kuvuna mpunga nenda hapo upate kibarua mkuu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom