IT Consultant

IT Consultant

Damson88

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2011
Posts
259
Reaction score
24
Salaam sana wanajamvi. Mimi ni Mshauri wa masuala ya teknolojia/tehama pia ni fundi computer. Kwa mara kadhaa hapo awali nimeutaarifu umma kwenye nyuzi kama hizi kama umetokea kukutana nazo https://www.jamiiforums.com/matangazo-madogo/451750-nauza-spea-za-laptop-computer-aina-zote.html
Hivyo kulingana na hayo naomba kufikisha taarifa hii kwenu. Endapo utakuwa na tatizo lolote kuhusu masuala hayo, tafadhari usisite kuwasiliana nami kwa namba 0713218388 au 0756949732. Vile vile natafuta kazi ya kudumu. Nawasilisha jamvini!
 
kitu poa sana. utawin
 
Ram za laptops ddr3 2gb na 4gb ni shilingi ngapi mkuu??
 
Salaam sana wanajamvi. Mimi ni Mshauri wa masuala ya teknolojia/tehama pia ni fundi computer. Kwa mara kadhaa hapo awali nimeutaarifu umma kwenye nyuzi kama hizi kama umetokea kukutana nazo https://www.jamiiforums.com/matangazo-madogo/451750-nauza-spea-za-laptop-computer-aina-zote.html
Hivyo kulingana na hayo naomba kufikisha taarifa hii kwenu. Endapo utakuwa na tatizo lolote kuhusu masuala hayo, tafadhari usisite kuwasiliana nami kwa namba 0713218388 au 0756949732. Vile vile natafuta kazi ya kudumu. Nawasilisha jamvini!
Kazi utapata tu. Kuwa na subira.. sasa Mimi Nina shida. Nataka kujua namna ya Ku unlock huawei za Tigo. Na pia waweza kuniambia ni program gani naweza tumia?? Asante.
 
Asante mkuu. Ni toleo gani au ukiweka laini ya mtandao mwingine inakwambiaje?
 
Mkuu,nina moderm yangu nilflash inatumia laini zote,now nimebadilisha laptop inagoma,though nina ile software ya ZTE Join air,nikiweka kwenye computer yangu nyingine(for home use),inakubali,bt computer hii nyingine inatumia windows xp sp2,lakini laptop ambayo moderm inagoma inatumia window 7,msaada na ushauri please!
 
Hiyo kompyuta isiyokubali haina drivers za hiyo modem. Ushauri ni kwamba udownload original software Yake au tumia telestra alternative ya join air then itakubali
 
ofisi iko wap?
Salaam sana wanajamvi. Mimi ni Mshauri wa masuala ya teknolojia/tehama pia ni fundi computer. Kwa mara kadhaa hapo awali nimeutaarifu umma kwenye nyuzi kama hizi kama umetokea kukutana nazo https://www.jamiiforums.com/matangazo-madogo/451750-nauza-spea-za-laptop-computer-aina-zote.html
Hivyo kulingana na hayo naomba kufikisha taarifa hii kwenu. Endapo utakuwa na tatizo lolote kuhusu masuala hayo, tafadhari usisite kuwasiliana nami kwa namba 0713218388 au 0756949732. Vile vile natafuta kazi ya kudumu. Nawasilisha jamvini!
 
Mkuu uko poa sana,natarajia kujifunza mengi sana toka kwako.Mungu atakufanikisha na mipango yako ya kupata kazi..

"Nlikuwepo":bolt:
 
Kuna dell laptop hapa. usb port zake hazifanyi kaz,ukiweka mfano flash inawaka ile taa tuu lakin haisomi..
 
kuna dell laptop hapa. Usb port zake hazifanyi kaz,ukiweka mfano flash inawaka ile taa tuu lakin haisomi..
umejaribu kuboot kwa os nyingine kama ubuntu? Then uchomeke tena kama zitasoma
 
yaah, iligoma bos, ila kuna jamaa 1 alisema ni usb kadi yake imekufa..
 
Siku hizi hata PC Technicians wanajiita ma IT Consultant. Hakuna IT consultant anayeuza spare
 
Back
Top Bottom