IT consultant

IT consultant

Damson88

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2011
Posts
259
Reaction score
24
Salaam sana wanajamvi. Mimi ni Mshauri wa masuala ya teknolojia/tehama pia ni fundi computer. Kwa mara kadhaa hapo awali nimeutaarifu umma kwenye nyuzi kama hizi kama umetokea kukutana nazo https://www.jamiiforums.com/matangazo-madogo/451750-nauza-spea-za-laptop-computer-aina-zote.html
Hivyo kulingana na hayo naomba kufikisha taarifa hii kwenu. Endapo utakuwa na tatizo lolote kuhusu masuala hayo, tafadhari usisite kuwasiliana nami kwa namba 0713218388 au 0756949732. Vile vile natafuta kazi ya kudumu. Nawasilisha jamvini!
 
Back
Top Bottom