IST nzima inahitajika ofa 6 million

IST nzima inahitajika ofa 6 million

luqman luqman

JF-Expert Member
Joined
Jun 14, 2014
Posts
850
Reaction score
1,403
Wakuu kwema? Naombeni msaada wenu katika hili.

Mimi ni dereva Uber nimejichanga nimefikisha 6 million nataka kumiliki gari yangu kwa ajili ya biashara nikiisimamia mwenyewe.

Kaka zangu na dada zangu, ambaye anaweza kuniuzia gari yake anisaidie. Pesa yangu ni ndogo nafahamu lakini pia mtu anaweza kunipa then nikammalizia kwa installment kiasi kitakachokuwa kimebaki.

PM wazi!
Asanteni.
 
Kumbe unataka kufanyia biashara? Nunua basi hata Noah naona nayo watu wanapenda na inabeba watu wengi sana. Ufanye Uber ya kwenda Dar Kibaha au hata Chalinze. luqman luqman
 
Tafuta mtu mwenye Toyota Vitz ambayo bado iko kwenye hali nzuri kwa milioni 6 unapata kabisa, achana na IST maana kwa pesa hio huwezi pata kaka.
 
Wanakutisha mkuu, mimi ninayo nimenunua milioni 5 na iko poa sana na kwa mafuta usiseme inanusa tu. Ni kupata mtu mwaminifu tu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom