Mhaya
JF-Expert Member
- Aug 20, 2023
- 2,563
- 7,321
Mdau mmoja akiwa nchi za nje ameshangazwa na namna ubora wa miundo mbinu ilivyo huko Ulaya, licha ya kwamba hakuna Rasilimali za kutosha ukilinganisha na nchi za Africa.
Amesema kuwa nchi nyingi za Afrika zinatabia ya kujigamba kuwa na madini na Rasilimali nyinginezo, lakini hakuna zinachowasaidia wananchi. Licha ya kuwa na Rasilimali nyingi lakini miundo mbinu ni mibovu na elimu bado ni mbovu. Na viongozi kila siku wanaimba nyimbo zilezile tuna Rasilimali, sijui madini lakini wakiambiwa ukweli kuwa zinawasaidia nini wananchi basi wananuna au kuchukia