Issa Michuzi na vekesheni

Status
Not open for further replies.

Leo Kweli umesema, hutaki majungu
 
Inaniuma sana mimi na ma phds yangu sipati safari kama michuzi ndio maana naiunga mkono hii thread
 

Nashukuru mkuu kwa kumuelimisha huyu ndg UW. Wengine kazi yao kudandia treni kwa mbele bila kujua maudhui ya michuzi blog. Kama JF kulivyo na taratibu zake na Michuzi blog pia hivyo UW jifunze kwanza kabla ya kunena.
 
Inaniuma sana mimi na ma phds yangu sipati safari kama michuzi ndio maana naiunga mkono hii thread

Wivu kidonda......
Fikiria namna ambayo itakufanya nawe uwe juu kama Michuzi. Kufanikiwa si lazima uwe na ma-Ph.D.
 
...mwisho ratiba ya rais ina a lot of unofficial hours which doesnt need watu wasiotoka in the goverment to be with president,in which michuzi he in not government official


Wanapokuwa wanakata ticket huwa waajia ratiba inaisha lini, kwa nini wasirdi nyumbani soonest possible kuokoa pesa za walipa kodi?

What so special with a photo by Michuzi? cant a photo be taken by anybody from the Tanzanian Embassy in the United states? Kwa mfano, kwa nini isiwe lazima kwa secretary wa Ubalozi kujua kupiga picha ndipo aaajiriwe ili aweze kufanya kazi kama hizo inapobidi? Huu ni ufujaji wa pesa za walipa kodi usio wa lazima.
 
ww macd kafanye kazi yaani wewe mtupu kweli...najua kesho utakuja kuanzisha thread kwanini michuzi ni mkuu wa wilaya ya tegeta na mwandishi wa habari daily news.......
 

Mkuu tuko pamoja, na amejipa hata ubunge wa nanihii... Lets take that as he wants it to be...

Kuhusu zile picha, i think kama mtu mwingine yeyote anasocial life after hours
 
Uwiano Maalum,

This is the classic "Freudian Slip". Most of us know that Michuzi is a sorry excuse for a clown, lakini this time katika ku clown huku na kuita safari ya nje iliyo katika vocation yake kuwa ni vacation, ame expose ukweli kwamba huko wanakoenda hamna wanachofanya zaidi ya vacation.

I would love this to be a case of a succintly eloquent "Shakespearean Fool" exposing the illdoings of the ruling class in a tragicomic way, but the reality is Michuzi can hardly be said to posses such sophistication.Sometimes the truth cannot be bottled and pressures simpletons such as Michuzi into "Freudian Slips" such as this.

Trouble is, this "dramatic irony', indeed a gem, is wasted on a lot of us.

Bigger trouble is, if the president is surrounded by clowns like these it sort of give you an idea of how much of a clown this very same president must be.
 

Sorry... BUt i think you have gone too far mazee
 
wewe nae.......unajua maudhui ya blog ya michuzi? ile ni blogu yake ana mamlaka ya kuinndesha anavyotaka....mra ngapi kila anaposafiri anasema yuko vekesheni sio lazima aandike wewe unavyotaka aandike.... jamani hii ni very low kwa JFinian.....
 
Inaniuma sana mimi na ma phds yangu sipati safari kama michuzi ndio maana naiunga mkono hii thread

Mkuu... MBona unajiaibisha??? Do you think ni safari tu ndio kitu kizuri?? can you trade your PhD kwa ajili ya safari za nje?

Kila mmoja ana nafasi yake na kuna mambo unapata ambayo michuzi hatakaa apate, kila mtu na nafasi yake

Vipi kuhusu truck drivers? they travel alot... do you like to be one?
 
wewe nae.......unajua maudhui ya blog ya michuzi? ile ni blogu yake ana mamlaka ya kuinndesha anavyotaka....mra ngapi kila anaposafiri anasema yuko vekesheni sio lazima aandike wewe unavyotaka aandike.... jamani hii ni very low kwa JFinian.....

teh teh ..ataanza kukuletea kingereza chake cha dictionary sasa ivi.olololo
 

Kila mmoja ana nafasi yake na kuna mambo unapata ambayo michuzi hatakaa apate, kila mtu na nafasi yake

Vipi kuhusu truck drivers? they travel alot... do you like to be one?


Mkuu kumbuka Michuzi analipiwa hizi safari na pesa za walipa kodi, unaposema kila mtu na nafasi yake unamaanisha kila mtu ale nafasi yake, ufisadi utaisha kweli nchi hii?


Truck drivers, hawa wanakuwa wanafanya service, wameajiriwa kwa ajili hiyo, kama hao truck drivers? Je Michuzi analipwa mshahara kwa ajili ya kupiga picha rais anaposafiri? Kama anaposafiri analipwa offpocket allowance, analipwa allowance hiyo mara ngapi kwa mwaka?

Jamani Watanzania, hebu tufunguke macho. Hakuna anayeona kwamba hapa kuna misuse of resources.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…