Israeli: Taifa teule

Israeli: Taifa teule

Sasa kama wapalestina ndio Canaanites kwanini mnasema ni kizazi cha Abraham?
Ni wewe ama wao ndio umesema hivyo? Ukisoma Historia ya Ibrahim kwa source za Kiislamu kote kakuta watu walipoishi.

Kwenye uisilamu Tunaamini Mtume Muhammad (S.A.W) ndio ametoka Kwa Ismael then Ibrahim. Ila sio wapalestina.

Nyie msiokuwa waisilamu ndio mnaforce,
 
Sasa kama wapalestina hawajatoka kwa Abraham basi ni uthibitisho kwamba wao ni wavamizi na wanatakiwa kuondoka hapo. Abraham alinunua ardhi na akamwachia mwanaye Isaka na vizazi vyake.
 
The issue is wayahudi wa Sasa Na wapalestina wa Sasa wana DNA moja, Tena DNA ya wapelistina ikiwa strong kushinda ya wayahudi wa Sasa iliochanganyika ulaya.

So kwa logic yako. Kama Hio DNA ni ya Ibrahim Palestine wana Claim pia.
 
Kila nikiwaangalia waisraeli wa sasa na wapalestina sioni kama wanafanana. Ila pengine ni haohao wamefanya intermarriage

Wapalestina wangekubali ramani ya kwanza ya UN basi wangeishi pamoja bila shida.
 
Mkuu unashindwa kutofautisha Zionist walipokuja 47 na wayahudi in General. Hapo Palestine Kuna wayahudi maelfu ya miaka.

d28f2b56cf49f18959207cbe25ce555c.jpg

Coin ya Palestine 1927 imeandikwa Kiarabu na Hebrew

Hawa ambao wapo sasa wengi ni mazionist ni kundi ndani ya Wayahudi na hawarepresent wayahudi wote. Hawa ndio wanaua watu na kufanya maovu ya kila aina.

Why waiache Nchi yao kwa Kundi la kihuni ambalo lina malengo tofauti?

Ka some maandiko Yao hao mazionist utaelewa kwanini Palestine wame resist. Na sio Palestine tu Hata wewe mtu Mweusi unatakiwa ukae nao mbali Maana according to Rabbi Mkuu wa Israel Mu Africa hawezi Soma Torrah, ni Nyani, anatakiwa Awe mtumwa etc.
 
Ivi wa palestrina hawana Jeshi la kukabiliana na hao vibaka wanao jiita taifa teule..?

Inaskitisha sana aiseee.! Ila mimi na amini ipo siku Israel itafutika kwenye Ramani ya dunia .

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Endelea kuota..kama lingekua la kufutika nadhani leo hio ingekuwa historia.

#MaendeleoHayanaChama
 
Mkuu unashindwa kutofautisha Zionist walipokuja 47 na wayahudi in General. Hapo Palestine Kuna wayahudi maelfu ya miaka.

View attachment 2245483

Coin ya Palestine 1927 imeandikwa Kiarabu na Hebrew

Hawa ambao wapo sasa wengi ni mazionist ni kundi ndani ya Wayahudi na hawarepresent wayahudi wote. Hawa ndio wanaua watu na kufanya maovu ya kila aina.

Why waiache Nchi yao kwa Kundi la kihuni ambalo lina malengo tofauti?

Ka some maandiko Yao hao mazionist utaelewa kwanini Palestine wame resist. Na sio Palestine tu Hata wewe mtu Mweusi unatakiwa ukae nao mbali Maana according to Rabbi Mkuu wa Israel Mu Africa hawezi Soma Torrah, ni Nyani, anatakiwa Awe mtumwa etc.
Chuki tu ndio mnazofundishwa...unakuta mwarabu wa buza..shingo imemkaza anashabikia upuuzi tu.

#MaendeleoHayanaChama
 
Hivi ndivyo vijana wa Israel wanavyowatenda wazee wa kipalestina kwa kuwapiga na kuwapulizia spray ya pili pili.

View attachment 2244318
Kwahio mada yote based on this photo?
What if hao wate ni WAPALESTINA ni hicho unachosema isiwe spray?
Au wote ni waisrael, hata kama ingelikuwa video bado huwezi kukwepa kitu kinaitwa PROPAGANDA kwenye mataifa hasimu
 
Umeona kwamba Abraham alikuwa ananunua maeneo? Sasa huo ndio uthibitisho wa Israel kumiliki hiyo ardhi. Tena walifanya hivyo ingawa tayari Mungu alishaahidi kuwapa hiyo ardhi.
Unaelewa unachoandika lakini ? ebu pitia tena na tena, kwahiyo wasukuma wakinunua maeneo Dar es salaam na wao wanakuwa na asili ya Dar es salaam? Israel kwao ni Iraq kitendo cha kuvamia na kupora nchi ya watu wengine huo ni uvamizi
 
ni ukweli kabisaa hawa jamaa ile ni ardhi yao na ni wateule. kum,buka hawa jamaa ni waarabu ila mungu kawatunukia ubora wa kufikiri, Lugha na nguvu kupita waarabu wote. 1948 walikuwa hawana jeshi la anga walimpiga misri na kumshilisha adabu. 1967 misri aliomba waarabu wote wampige mane Israel. Israel aliwapiga wote kwa siku sita tuu na kuwateka mashamba mito na ardhi zao. sasa hivi leo hii wapo syprus wakifanya mazoezi makali ya kijeshi hatujui nani atalizwa mwaka huu mwezi wa saba.
Misri alipigwa na wafaransa wamarekani na waingeleza.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unaelewa unachoandika lakini ? ebu pitia tena na tena, kwahiyo wasukuma wakinunua maeneo Dar es salaam na wao wanakuwa na asili ya Dar es salaam? Israel kwao ni Iraq kitendo cha kuvamia na kupora nchi ya watu wengine huo ni uvamizi
Mungu ambaye anamiliki dunia yote anao uhuru wa kumpa yeyote ardhi.
 
Huyo ni Mungu wa waisrael kijana, usifikiri kila kiumbe cha dunia hii anaweza kubali hayo maelezo ya Israel kuwa eti Mungu wao kawapa hilo eneo ahahahahha, ndio maaana ilibidi amwage damu kupata maeneo kwasababu tayari kulikuwa na wenyewe
 
Back
Top Bottom