Israeli: Taifa teule

Israeli: Taifa teule

Nikushari jitahidi usome na vitabu vingine vya historia apart from Bible only.
 
Kuna video inaonyesha hilo tukio zima. Ngoja nijaribu kuipandisha hapa.
Kwahio mada yote based on this photo?
What if hao wate ni WAPALESTINA ni hicho unachosema isiwe spray?
Au wote ni waisrael, hata kama ingelikuwa video bado huwezi kukwepa kitu kinaitwa PROPAGANDA kwenye mataifa hasimu
 
Kwahiyo Wapalestina walitoka wapi?
ni ukweli kabisaa hawa jamaa ile ni ardhi yao na ni wateule. kum,buka hawa jamaa ni waarabu ila mungu kawatunukia ubora wa kufikiri, Lugha na nguvu kupita waarabu wote. 1948 walikuwa hawana jeshi la anga walimpiga misri na kumshilisha adabu. 1967 misri aliomba waarabu wote wampige mane Israel. Israel aliwapiga wote kwa siku sita tuu na kuwateka mashamba mito na ardhi zao. sasa hivi leo hii wapo syprus wakifanya mazoezi makali ya kijeshi hatujui nani atalizwa mwaka huu mwezi wa saba.
 
Back
Top Bottom