Israeli: Taifa teule

Israeli: Taifa teule

Kwamba sayansi ni propaganda? Dna haisemi ukweli?

Kwamba waarabu na wayahudi waliotoka baba mmoja wengine hafla wamekuwa blondes na green eyes na majina ya Ulaya?

Wayahudi wengi wa sasa wameshachakachua damu sana na wa ulaya vinasaba vyote vya kiyahudi vimepotea. Wapalestina waliobaki pale kwa miaka na miaka ndio wana vinasaba vingi vya wayahudi wa zamani. Si maneno yangu bali tafiti mbalimbali za kisayansi duniani.
Mkuu weka hapa huo ushahidi wako.
 
Israel alipeleka mkataba wa mauziano ya ardhi yaliyofanywa kati ya Abraham na wenyeji wa kanani kama ushahidi wa umiliki wa ardhi pale UN na wakashinda na kupewa ardhi yao. Hakuna sehemu nimetaja dini.
Pia sheria ya kimataifa inazungumziaje kuhusu mipaka ya umiliki ardhi ni kwa muda gani?

Unajaribu kuniongopea?
 
Huyo jamaa ana poor reasoning ,hadi nashangaa akili ya kujiunga Jf kaitolea wapi ?
🤣🤣🤣🤣Tulia mfia dini, mpiganaji kwa niaba ya Allah na mtume. Kuwa mvumilivu na ujenge hoja bila kejeli.
 
Pia sheria ya kimataifa inazungumziaje kuhusu mipaka ya umiliki ardhi ni kwa muda gani?

Unajaribu kuniongopea?
Wapalestina wangekubali ramani Ile ya kwanza ya UN wala Israel asingechukua maeneo zaidi. Walianzisha vita na matokeo yake wakapoteza ardhi zaidi na sasa wamebakia kutawaliwa.
 
Anwar sadat aliuliwa sababu alitaka Amani, Wa Egpty wengi walitaka Aimalize Israel. Akauliwa kwenye Gwaride.

Israel alitishia Kulipua nyuklia kama Marekani hatakuja Kumsaidia ili wakose wote.

Sinai ambayo ilitekwa 1967 ikarudishwa Egpty.
Sadat alishaona ule mziki hauwezi. Jamaa aliangamiza ndege zote za egypt Ile 1967. Hata Yom kippur baada ya ndege za Israel kupigwa na anti aircraft za egypt, jenerali Ariel Sharon akaja na mpango wa kivita akaharibu zile anti aircraft za egypt na akawa sasa anaelekea Cairo. Sadat akaona huu moto hauwezi.
 
Wapalestina wangekubali ramani Ile ya kwanza ya UN wala Israel asingechukua maeneo zaidi. Walianzisha vita na matokeo yake wakapoteza ardhi zaidi na sasa wamebakia kutawaliwa.
Kilwa karne ya 7 kurudi nyuma ilikuwa ipo chini ya mamlaka ya Mwajemi (Mu-Iran).

Ikiwa familia yake ipo hai; Je, Ina mamlaka ya kudai sehemu yake ya ardhi ambayo kwa sasa imo ndani ya mipaka ya JMT?
 
Mkuu weka hapa huo ushahidi wako.
Site zenu wakristo

Jews wengi wa sasa ni Ashkenaz Dna zao zinaonesha ni watu wa canaan ila hazimatch sana kama za Wapalestina ama Levant arabs (lebanon, syria etc)

Graph ya Dna
main-qimg-2a02c7c98f2740bc5843cb3011b5fee3.jpg

Dark Blue ni jinsi gani Dna zina match na watu wa zamani wa canaan.
 
Sadat alishaona ule mziki hauwezi. Jamaa aliangamiza ndege zote za egypt Ile 1967. Hata Yom kippur baada ya ndege za Israel kupigwa na anti aircraft za egypt, jenerali Ariel Sharon akaja na mpango wa kivita akaharibu zile anti aircraft za egypt na akawa sasa anaelekea Cairo. Sadat akaona huu moto hauwezi.
Kamba, Israeli alipigwa full stop, hayo mengine Alikuja kufanya Mmarekani, Bila msaada wa Marekani na kuwasuluhisha walikuwa wanalipua Nyuklia.

Kwanini sasa Israel alikubali kuachia Sinai Irudi Egpty kama Walishinda?
 
Waondoke kwenye ardhi ya Abraham aliyoachiwa Isaka. Waende babeli, tehran, islamabad, mecca, egypt, damascus etc.
Jaribu kushirikisha ubongo wako kutafakari maneno yako. Wale mnaowaita waisirael ni bamdia
 
Kilwa karne ya 7 kurudi nyuma ilikuwa ipo chini ya mamlaka ya Mwajemi (Mu-Iran).

Ikiwa familia yake ipo hai; Je, Ina mamlaka ya kudai sehemu yake ya ardhi ambayo kwa sasa imo ndani ya mipaka ya JMT?
Unafananisha visivyofanana. UK au Germany anaweza kusema Tz ni ardhi yake?
 
Kamba, Israeli alipigwa full stop, hayo mengine Alikuja kufanya Mmarekani, Bila msaada wa Marekani na kuwasuluhisha walikuwa wanalipua Nyuklia.

Kwanini sasa Israel alikubali kuachia Sinai Irudi Egpty kama Walishinda?
Aliachia Sinai kwasababu misri aliomba maridhiano.
 
Site zenu wakristo

Jews wengi wa sasa ni Ashkenaz Dna zao zinaonesha ni watu wa canaan ila hazimatch sana kama za Wapalestina ama Levant arabs (lebanon, syria etc)

Graph ya Dna
View attachment 2244846
Dark Blue ni jinsi gani Dna zina match na watu wa zamani wa canaan.
Ukisoma biblia utagundua kwamba kulikuwa na vita nyingi sana kati ya Israel na wafilisti, Moab, Edom na hata wakaanani wenyewe enzi za Joshua.

Miili hiyo ilikuwa inazikwa hapo hapo kwenye ardhi ya Israel baada ya vita. Hakuna guarantee kwamba hao waliopatikana kwenye utafiti sio miongoni mwa mataifa mbalimbali waliouawa vitani.

Israel wamewahi kuondolewa kwenye ardhi yao mara nyingi sana hivyo uwezekano wa kukuta mifupa ya watu wa mataifa mengine ni mkubwa.

Hata hivyo conclusion ya huu utafiti ulioleta unasema nusu ya waarabu na Jews wa sasa ndio haohao walikuwepo zamani hivyo bado hautoshi kufanya hitimisho kwamba waliopo sasa sio wale wa zamani.
 
Unafananisha visivyofanana. UK au Germany anaweza kusema Tz ni ardhi yake?
"Israel alipeleka mkataba wa mauziano ya ardhi yaliyofanywa kati ya Abraham na wenyeji wa kanani kama ushahidi wa umiliki wa ardhi pale UN na wakashinda na kupewa ardhi yao. Hakuna sehemu nimetaja dini."

Hayo ni maneno yako!

Vipi kama huyo Mwajemi akija na mkataba utakaonesha mauziano aliyofanya na wakazi wa kipindi hicho kama ushahidi? Kilwa ndio iwe kwaheri?
 
"Israel alipeleka mkataba wa mauziano ya ardhi yaliyofanywa kati ya Abraham na wenyeji wa kanani kama ushahidi wa umiliki wa ardhi pale UN na wakashinda na kupewa ardhi yao. Hakuna sehemu nimetaja dini."

Hayo ni maneno yako!

Vipi kama huyo Mwajemi akija na mkataba utakaonesha mauziano aliyofanya na wakazi wa kipindi hicho kama ushahidi?
Hamna shida, aupeleke UN ili adai ardhi yake. Halafu Tehran atamuachia nani?
 
Ukisoma biblia utagundua kwamba kulikuwa na vita nyingi sana kati ya Israel na wafilisti, Moab, Edom na hata wakaanani wenyewe enzi za Joshua.

Miili hiyo ilikuwa inazikwa hapo hapo kwenye ardhi ya Israel baada ya vita. Hakuna guarantee kwamba hao waliopatikana kwenye utafiti sio miongoni mwa mataifa mbalimbali waliouawa vitani.

Israel wamewahi kuondolewa kwenye ardhi yao mara nyingi sana hivyo uwezekano wa kukuta mifupa ya watu wa mataifa mengine ni mkubwa.

Hata hivyo conclusion ya huu utafiti ulioleta unasema nusu ya waarabu na Jews wa sasa ndio haohao walikuwepo zamani hivyo bado hautoshi kufanya hitimisho kwamba waliopo sasa sio wale wa zamani.
Kwa wapalestine ni 50% to 90% kwa jews wa sasa ni 50% to 70%.
Hizo vita zimetokea mwaka gani? tunaongelea mabaki ya maelfu ya miaka kabla ya Yesu kuzaliwa hapa. Potential Toka Kipindi cha Ibrahim ama hata Kabla ya hapo.

3500 BC ni Takriban Miaka 5500 iliopita. Na haiwezekani Mabaki yote yafanane ingekuwa ni mabaki ya wanajeshi wavamizi kungekuwa na mabaki tofauti tofauti
 
Ukizungumzia enzi za Abraham basi ni obvious kwasababu kipindi kile wakaazi wa ardhi Ile walikuwa wakanani, wayebusi, wahiti nk hivyo wao lazima DNA zao ziwe nyingi.

Vita zimepiganwa sana kuanzia kipindi cha Yoshua, Waamuzi na wafalme wa Israel.

Hata hivyo DNA match inayozidi 50 percent ni kubwa sana ukizingatia miaka iliyopita ni mingi na jamii zilifanya sana intermarriage.
 
Back
Top Bottom