Wacha uongo na propaganda za kitoto, hao wapalestina na waisrael feki hao wote ni wavamizi wenye asili moja ya uarabu tokea uturuki, before1947 hakujawai kuwepo na eneo linaloitwa israel mahala hapo wala hao waisrael hawajawai kuwepo eneo hilo , before uvamizi wao kwa msaada wa UN.
Ilo eneo lilikuwa milki ya mtu mweusi kabla ukoloni ama watu wa asia na ulaya kuivamia afrika na kuanza kusambaza uzao wao na kuifuta historia ya mtu mweusi.
Hao wote waarabu wa kipalestina na hao fake jews hawana muda mrefu tangu waivamie hiyo ardhi wanayodai ni takatifu.
Kwanza ni kufuru kuiita hiyo ardhi ndyo ile israel ya biblia, maana israel ya biblia haina features za ukame na jangwa ilizonazo iyo israel yenu ya uongo.
Israel ya biblia ilikua kubwa yenye mito na maziwa tofaut na hiyo israel feki iliyojawa ukame.
Israel ya biblia ilijawa na mbuga za wanyama na maliasili nyingi(madini&mimea ya asili) tofaut na hiyo mnayoforce tuiamni.
Israel ya biblia kijiografia inapatikana middle Afrca kutoka kush na Egypt yaan misri ya kale,(ukitaka uthibitisho wa kibiblia upo)
..pia kihistoria hawo waisrael wenu feki hawana historia yoyote ya kuwepo utumwani kama maandiko ya biblia yanavyosema kuwa bwana atawarejesha hao waisrael tokea kila pande za dunia kutoka utumwani, note this kutoka utumwani na sio rahani, na hili huwezi kuproof kupitia hao waarabu wenu waliojikusanya kutoka uturuki na mataifa mengine walikokuwa wakila bata na kujipachika hapo middle east et wametoka utumwan, utumwa upi uo? Hata kihistoria huwezi thibitisha kuwa kuna utumwa wa hao wahuni wenu.
Lkn kihistoria unaweza pata vithibitisho kila aina na hata mtoto mdogo anaweza kukuthibitishia kuwa ni race ipi ama ni sehemu gani ya dunia iliwapoteza watu wake mamilioni kwenda utumwani nje ta ardhi yao?, watu gani wenye historia ya pekee kuwekwa utumwani for more than 400years , hili hata mtoto mdogo anakujibu kuwa ni afrika pekee ndiyo inasifa ya kuwekwa utumwan na raia wake kuuzwa nje ya Africa na wengi wao wanarudi na watarudi kupitia njia mbalimbali.
Wafia dini shida yenu ni moja tu, mlikubari dini bila kutumia akili na mkazipokea kuamini kuwa hazina mapungufu, kwa bahati mbaya hao hao waliowapa dini ndio hao hao wanawapa na elimu ya uongo ili mzidi kuamn uongo.
kwa bahati nzuri pia elimu yao pia imechangia watu wengine tumeshituka mapema na kuujua ukweli ambao kwa vipofu wa akili ni ngumu kutoroka ktk gereza la utumwa wa akili.
Israel ya kweli ilishapotezwa zaman sana na hao hao mnaowaabudu na kuwapigia magoti ya misaada, israel ya kwel na taifa la Muumba ni Taifa la watu weusi Full stop, huu ndio ukwel mchungu ambao wachungaj, mashekhe, mapadri, maaskofu, manabii na wafuasi wa dini zote za uongo hawapendi kuusikia ili waendeleze biashara yao ya kuidanganya jamii ya mtu mweusi.
Dini zote ndyo ile chapa ya 666, chapa hii ni mafundisho ya uongo ambayo ukiyapokea ni ngumu kuujua ukwel maana inakufunga usijue nini kinaendelea, na dini hizo zitakuja kuleta maafa na maangamizo kwa kulazimisha kuamn pale mtakapoujua ukwel lkn mtakuwa mmechelewa kwa ukaidi wenu na uzembe wenu na hapo ndipo kipogo na joto la jiwe mtalionja kutoka kwa anti-african savior( Ant-true christ).
Haya ndyo mafundisho na utabiri wa kwel ambao ulishatabiriwa na kristo wa kweli ambaye ni mzee wa kiafrika aliyekuja kuwakomboa watu weusi kutoka ktk udanganyifu wa hao alien(watu weupe)
View attachment 2245047