Zeus1
JF-Expert Member
- Aug 24, 2017
- 7,270
- 9,414
Dah,alafu mbona hata watu hawazuii,wanaangalia tu...au ni movie hii?
Sent from my SM-M115F using JamiiForums mobile app
Sent from my SM-M115F using JamiiForums mobile app
Mimi na wewe tunaona picha ila hatujui mazingira yaliyopo muda wa tukio. Changamoto kubwa wapalestina na waarabu kwa ujumla wanawachukia waisraeli. Hii inapelekea uhasama usiokwisha kati yao.Swala sio eneo. Inshu ni kukosa utu maana hakuna dini inayosema uwanyanyase wazee,tena mbibi
Unaongeleaje Tafiti za Kisayansi zinazoonesha wapalestina wa sasa ndio kizazi cha isaka?Waondoke kwenye ardhi ya Abraham aliyoachiwa Isaka. Waende babeli, tehran, islamabad, mecca, egypt, damascus etc.
Soma Historia, Kabla ya 1947 Nchi za Kiarabu zote ndio zilikuwa Hifadhi za Waisraeli. Wakati ulaya wakinyanyaswa na Kuuliwa Middle east ndo mahala pekee walipokuwa wanaishi kwa amani.Mimi na wewe tunaona picha ila hatujui mazingira yaliyopo muda wa tukio. Changamoto kubwa wapalestina na waarabu kwa ujumla wanawachukia waisraeli. Hii inapelekea uhasama usiokwisha kati yao.
Duniani kuna dini takribani 10,000. Vipi kila mojawapo ikija na andiko lake kwa madai kama hayo kwa ardhi tofauti?Ardhi hiyo aliachiwa Isaka. Waende mecca.
Israel ikiwa dhaifu kijeshi ilisambaratisha waarabu miaka ishirini ya kuanzia 1947 mpaka 1967 ndio ifutike sasa hivi ikiwa na uwezo wa kufanya operation zake tehran kila wakiamua?Ivi wa palestrina hawana Jeshi la kukabiliana na hao vibaka wanao jiita taifa teule..?
Inaskitisha sana aiseee.! Ila mimi na amini ipo siku Israel itafutika kwenye Ramani ya dunia .
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Na Om kipur Misri wakalipizia After few Days defense yote ya israel ikachakazwa, ikabisi Usa aingilie.ni ukweli kabisaa hawa jamaa ile ni ardhi yao na ni wateule. kum,buka hawa jamaa ni waarabu ila mungu kawatunukia ubora wa kufikiri, Lugha na nguvu kupita waarabu wote. 1948 walikuwa hawana jeshi la anga walimpiga misri na kumshilisha adabu. 1967 misri aliomba waarabu wote wampige mane Israel. Israel aliwapiga wote kwa siku sita tuu na kuwateka mashamba mito na ardhi zao. sasa hivi leo hii wapo syprus wakifanya mazoezi makali ya kijeshi hatujui nani atalizwa mwaka huu mwezi wa saba.
Waisrael hawamuamini Yesu, na wanamsubiria Masih wao.Israel ikiwa dhaifu kijeshi ilisambaratisha waarabu miaka ishirini ya kuanzia 1947 mpaka 1967 ndio ifutike sasa hivi ikiwa na uwezo wa kufanya operation zake tehran kila wakiamua?
Waarabu wote waungane still Israel atawashinda maana Jehovah anawapigania.
Israel kama taifa lazima liwepo mpaka Yesu anaporudi hivi karibuni.
Israel imerudi kwenye ardhi yao hivyo waliovamia lazima waondoke au waishi kwa amani. Bila hivyo vijana wa Mosad wataendelea kuwaumiza tu.Soma Historia, Kabla ya 1947 Nchi za Kiarabu zote ndio zilikuwa Hifadhi za Waisraeli. Wakati ulaya wakinyanyaswa na Kuuliwa Middle east ndo mahala pekee walipokuwa wanaishi kwa amani.
Dola ya kiisilamu kwa maelfu ya miaka position mbalimbali walikuwepo wa Israel.
Kama walichakazwa kwanini Anwar Sadat aliomba mkataba wa amani?Na Om kipur Misri wakalipizia After few Days defense yote ya israel ikachakazwa, ikabisi Usa aingilie.
Prove hawa wa sasa ni wa israel na wapalestina sio waisrael wa zamani, sababu Dna test zote zinaonesha mabaki ya Waisrael wa zamani na wapalestina wa sasa ni kitu kimoja.Israel imerudi kwenye ardhi yao hivyo waliovamia lazima waondoke au waishi kwa amani. Bila hivyo vijana wa Mosad wataendelea kuwaumiza tu.
Anwar sadat aliuliwa sababu alitaka Amani, Wa Egpty wengi walitaka Aimalize Israel. Akauliwa kwenye Gwaride.Kama walichakazwa kwanini Anwar Sadat aliomba mkataba wa amani?
Huyo jamaa ana poor reasoning ,hadi nashangaa akili ya kujiunga Jf kaitolea wapi ?Duniani kuna dini takribani 10,000. Vipi kila mojawapo ikija na andiko lake kwa madai kama hayo kwa ardhi tofauti?
Your line of reasoning doesn't fit me Sir.
Hizo ni propaganda. Wangekuwa watoto wa Abraham wangekuwa kwenye Jewish religion. Wamefuata uislamu wa Ishmael kwasababu walitokana na uzao wake.Unaongeleaje Tafiti za Kisayansi zinazoonesha wapalestina wa sasa ndio kizazi cha isaka?
Hao mnaowaita wa Israel wengi hawana Asili ya Israeli ni Mazionist tu.
Israel ikiwa dhaifu kijeshi ilisambaratisha waarabu miaka ishirini ya kuanzia 1947 mpaka 1967 ndio ifutike sasa hivi ikiwa na uwezo wa kufanya operation zake tehran kila wakiamua?
Waarabu wote waungane still Israel atawashinda maana Jehovah anawapigania.
Israel kama taifa lazima liwepo mpaka Yesu anaporudi hivi karibuni.
Kwamba sayansi ni propaganda? Dna haisemi ukweli?Hizo ni propaganda. Wangekuwa watoto wa Abraham wangekuwa kwenye Jewish religion. Wamefuata uislamu wa Ishmael kwasababu walitokana na uzao wake.
Israel alipeleka mkataba wa mauziano ya ardhi yaliyofanywa kati ya Abraham na wenyeji wa kanani kama ushahidi wa umiliki wa ardhi pale UN na wakashinda na kupewa ardhi yao. Hakuna sehemu nimetaja dini.Duniani kuna dini takribani 10,000. Vipi kila mojawapo ikija na andiko lake kwa madai kama hayo kwa ardhi tofauti?
Your line of reasoning doesn't fit me Sir.
Anashangaza kwa kweli!Huyo jamaa ana poor reasoning ,hadi nashangaa akili ya kujiunga Jf kaitolea wapi ?
Hilo lipo wazi, tatizo lako ni lipi? Israel watamkubali Yesu katika kipindi cha miaka mitatu na nusu baada ya kanisa kunyakuliwa. Muda wao bado haujafika.Waisrael hawamuamini yesu, na wala hawautambui ukristo. Au ulikua hulijui hilo?
Muda wa wao kumkubali Yesu haujafika. Israel ilipewa jumla ya vipindi sabini vya miaka saba kila kimoja. Vipindi 69 vilishapita na kimebaki kimoja tu ambacho kitaanza siku sio nyingi zijazo mara baada ya Yesu kuchukua kanisa.Waisrael hawamuamini Yesu, na wanamsubiria Masih wao.
So yesu akirudi leo na Masih wa waisrael (you know who) naye akija, je Waisrael watapiga u Turn na kumkubali yesu ama watamfuata masih wao kupigana na Yesu?