Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 97,151
- 137,139
Ndiyo.Mwenye hazina ya watu wanaofikiri ndiye mwenye nguvu...
Lakini naweza kukusaidia kitu kimoja japo kikusaidie kukufumgua,hebu toa orodha ya matajiri wakubwa wa marekani au wavumbuzi 10 tu then tafuta asili yao,labda itasaidia kukufungua uelewa kwenye hii falsafa ya Israel-Amerika Vice versa
............. kama walivyo, ni wepesi wa kupokea mapambio kuliko ku reason !Marekani karibu yote ni wahamiaji. Hata wale walioandika Bill of Rights walikuwa wahamiaji. Ni nani Marekani asiye mhamiaji?
Lakini ukweli ni kwamba Israel mbele ya Marekani hakuna kitu. Israel siyo superpower. Israel siyo tajiri kama Marekani. Hata ukiangalia orodha ya nchi tajiri duniani Israel katika 10 na 20 haipo.
Sasa sijui tunachobishania ni nini wakati ni ukweli usiopingika kuwa Marekani ndiyo superpower pekee iliyobaki duniani.
,,,,,,,,,,,,jamaa anapenda mpaka kapoteza fahamu !Ndiyo.Mwenye hazina ya watu wanaofikiri ndiye mwenye nguvu...
NN hao wamarekani wanaowabeba wana asili ya kiyahudi ni kama wewe kuisaidia tanzania. Mkampuni mengi makubwa marekani yanamilikiwa/yalianzishwa na wayahudi. Kumbuka kuwa myahudi hata awe na uraia wa wapi bado ni myahudi (uyahudi kwanza then uraia).Sasa kama Israel ndiyo taifa pekee lenye nguvu hapa duniani iweje wapewe misaada na Marekani? Iweje hata kwenye G8 hawapo? Hata permanent seats UN security council hawana?
Hawana lolote hao Waisrel. Bila Marekani kuwabeba hawana chao.
NN hao wamarekani wanaowabeba wana asili ya kiyahudi ni kama wewe kuisaidia tanzania. Mkampuni mengi makubwa marekani yanamilikiwa/yalianzishwa na wayahudi. Kumbuka kuwa myahudi hata awe na uraia wa wapi bado ni myahudi (uyahudi kwanza then uraia).
Ngoja nikupe mfano wa makampuni ambayo yalianzishwa/yanamilikiwa na hawa jamaa; amazon, google, facebook, time warner, FOX, time magazine, ORACLE n.k
Kitu kikubwa kinacho wafanya hawa jamaa wawe bright ni early education, huanza kuwafundisha watoto wao kusoma /kuhesabu/kuandika wakati bado ni matoddler. Sasa kama katoto kanajua kusoma kakiwa na miaka miwili/mitatu teyari anakuwa ameshawapiga bao wenzake wanaoanza kujifunza hayo mambo wakiwa first grade.

No! mimi mmatumbi ila namshukuru sana mungu kwa kuifanya ISRAEL iwe kama ilivyo................... naona unajuta kuzaliwa Mmatumbi ! :laugh:
israel first!!!i luv u tanzania,....mmmmmmh!...hapa naweza pigwa mawe,...aaaaah!..mimi mtanzania bana_ni nchi niliyopewa na mungu wa israel na yakobo,....god bless tz
israel first!!!
Then tanzania
Wakati wa founding fathers Marekani haikuwa supa pawa.Hivi na wale founding fathers walikuwa Waisraeli eeh?
Na kumbe miaka yote hii nimekuwa nikidanganyika kuwa Marekani ndiyo superpower, ndiyo nchi tajiri yenye ushawishi dunia nzima kumbe wapi bana! Israel ndiyo super power, ndiyo taifa lenye nguvu zote, za kijeshi na kiuchumi. Asante kwa darasa lako. Sitadanganyika tena.
................... naona unajuta kuzaliwa Mmatumbi ! :laugh:
Wakati wa founding fathers Marekani haikuwa supa pawa.
Kuhusu waisrael na marekani naweza kufupisha kwa maneno ya John D. Rockefeller kuwa they (isreal) "own nothing (superpower) but control everything (US)".
Hakuna ardhi kule israel wewe endelea kujimwaga tuu kwenye big country, big cars, big houses, big women (lol), big ol US of AOoh haya basi sitadanganyika tena. Israel iko juu. Sasa itabidi nihamishe makazi. Marekani hakuhusiki tena. Na ulikuwa wapi kuniambia siku zote hizi bana?
Hakuna ardhi kule israel wewe endelea kujimwaga tuu kwenye big country, big cars, big houses, big women (lol), big ol US of A
Nakuelewa sana na jinsi unavyotaka kunibana na hoja yako ila we piga tu box ila ujue jamaa wana-control uchumiSasa kama Israel ndo kwenye kwa nini niendelee kuwa Nyamwezi bana? Naondoka mimi.
Nakuelewa sana na jinsi unavyotaka kunibana na hoja yako ila we piga tu box ila ujue jamaa wana-control uchumi
NN hao wamarekani wanaowabeba wana asili ya kiyahudi ni kama wewe kuisaidia tanzania. Mkampuni mengi makubwa marekani yanamilikiwa/yalianzishwa na wayahudi. Kumbuka kuwa myahudi hata awe na uraia wa wapi bado ni myahudi (uyahudi kwanza then uraia).
Ngoja nikupe mfano wa makampuni ambayo yalianzishwa/yanamilikiwa na hawa jamaa; amazon, google, facebook, time warner, FOX, time magazine, ORACLE n.k
Kitu kikubwa kinacho wafanya hawa jamaa wawe bright ni early education, huanza kuwafundisha watoto wao kusoma /kuhesabu/kuandika wakati bado ni matoddler. Sasa kama katoto kanajua kusoma kakiwa na miaka miwili/mitatu teyari anakuwa ameshawapiga bao wenzake wanaoanza kujifunza hayo mambo wakiwa first grade.
Hao bila Marekani hawana lolote!