Israel yatangaza itachukua Ardhi yote ya Palestina kama Hamas hawataachia Mateka

Bams

JF-Expert Member
Joined
Oct 19, 2010
Posts
19,768
Reaction score
49,934
Waziri wa Ulinzi wa Israel ametangaza kuwa Israel itatumia nguvu zote za kijeshi na kiraia kuwalazimisha Hamas kuwaachilia mateka inaowashikilia.

Waziri huyo wa Ulinzi wa Israel ameliagiza jeshi la Israel kuteka ardhi zaidi ya Wapalestina, mpaka hapo Hamas watakapowaachilia mateka. Waziri Katz ameeleza kuwa kadiri Hamas watakavyozidi kugomea kuachilia mateka ndivyo Israel itakavyozidi kuyachukua maeneo ya wapalestina na kuyarasimisha kuwa ardhi ya Israel moja kwa moja.

Israel Threatens to Annex Parts of Gaza if Hamas Doesn’t Release Hostag​

Israel threatened on Friday to permanently seize parts of the Gaza Strip if Hamas does not release all remaining hostages, marking a major escalation in the conflict just days after airstrikes from the Israel Defense Forces (IDF) shattered a monthslong cease-fire with Hamas.
“I have instructed the IDF to seize additional areas in Gaza, evacuate the population, and expand security zones around Gaza to protect Israeli communities and IDF soldiers,” Defense Minister Israel Katz said. “The more Hamas persists in its refusal to release the hostages, the more territory it will lose, which will be annexed to Israel.” Katz also warned that Israeli forces would intensify air, land, and sea attacks if the militant group does not cooperate.
Hamas said on Friday that truce negotiations are ongoing. According to senior Hamas official Husam Badran, the militant group may be willing to show some flexibility in a cease-fire deal—including by releasing more hostages—if doing so would restart talks intended to permanently end the war. Israel, however, remains opposed to any agreement that allows Hamas to remain in control of Gaza.

Uharamia uliofanywa na Hamas Oct 7, utabakia kwenye historia kwa miaka mingi maana utatajwa kama sababu ya kufutika kwa Palestina.
Bahati mbaya, waarabu wa Palestina bawajawahi kuwa na busara wala tafakari ya kihekima:

Mwaka 1948 waarabu waliwavamia waisrael, wakapigwa vibaya, Israel ikachukua 60% ya ile 44% ya enwo walilopewa na UN.

Mwaka 1967, waarabu waliwavamia Waisrael, wakapigwa vibaya, Israel ikachukua East Jerusalem.

Mwaka 1973 waarabu wakawavamia tena waisrael, wakapigwa tena, wakapoteza maeneo yote. Kwa njia ya mazunhumzo miaka 1990, Wapalestina wakafanikiwa kupata mamlaka ya ndani, na wakagawiwa. West Bank na Gaza.

Mwaka 2023, waarabu wakaanzisha vita tena, wameuawa kwa maelfu, na sasa wanaenda kuipoteza Gaza yote.

Yaani kila unapoanzisha vita unapoteza zaidi, lakini unaendelea na mbinu hiyo hiyo!! Kweli wewe utakuwa una akili timamu?
 
Ha ha ha inawezekana HAMAS wapo kwa ajili ya kufanikisha kutwaliwa ardhi yote ya wapalestina......

Binafsi ninahisi HAMAS ni kama wale M 23..nyuma yake kuna wakulungwa wenyewe maslahi mapana na makubwa mno...

Wewe unapigwa kila uchao kwa kuwa tu unakataa kuwaachia hao mateka....

Jamaa hao wanashangaza sana.....

Haya tuwaachie ngoswe wenyewe.....
 
Muda ndio mwalimu lkn mpango wao utazuiwa kutumia nguvu izo izo Wao wanataka kutumia kuitwaa Ardhi ya Palestina, !!!!

Israel imeshagundua uko mbele aitaweza tena kufanya Upolaji wa Ardhi

kwasababu Technologia kwasasa Wanayo wapinzani wake ivyo baada ya miaka 5 au 10 uwezi Jua Technologia itakuwa kwa atua ipi!!!!!

Lkn Bado kachelewa kwasasa Israel inapigika Tofaut na miaka ya nyuma japo waliweza kuzuiya makombora kwenye maeneo nyeti na muimu kwao !!!!

lkn kwasasa uwo uwezo awana wanapigwa popote kama wao wanavopiga apo Palestina !!!!

ndio mana Nasema Israel itakwamishwa na uwezo wa Kijesh kutoka nnje ya Palestina na ndani ya Palestina...!!!!

Israel inaficha kupigwa kwake ndio mn walipitisha Sheria Bungeni kuzuiya Habari vita !!!!

lkn inapigwa sana
nasasa kwa kutangaza mpango wao ndio kuusu Gaza vipigo navyo vitadhid!!!
i upande wao kiasi ya kufisha iwe ngumu !!!!

pengine watatafuta maneno mengine ya kupoza kupigwa kwao mfano yale Mashambulizi ya Iran uwezi kusema umezuiya au Ujapigwa!!

Lkn itabidi tu useme kama walivosema wao kuwa akuna aliekufa lkn uwezi kudanganya kuwa ukupigwa au ulizuiya Shambulizi wkt vitu vimeonekani kwa Uwazi vikitua na kusababisha milipuko mikubwa...!!!!

Upande wa pili w hiii kadhia Israel kwasasa wengi wanadhani ndio Taifa la kigaid !!!!

kwasababu kama izi yani imekaa mezani na kuja na wazo la mfumo huu waliotangaza kwamaana raia wa Israel zaid ya 50 !!!!

wametolewa Sadaka na kina Netanyahu ili kunyakua Ardhi ya Palestina !!!

ningekuwa mm ndio nipo Palestina !na
mpanga mipango ningefanya ivi kila Israel akiuwa zaid ya Wapalestina 30 au zaid !!!!

Namm ningetangaza kufa kwa mateka wao japo 5 atakama wapo hai lkn natangaza wamekufa !!!!

ivyoivyo adi japo wabaki w5 nawalikodi kuomba raia Waisrael waishinikize Serikali kuitimisha vita ili waokolewe wakiwa Hai !!!!

japo kutangaza vifo vya mateka vinaweza kufanya Shinikizo na kuwapa Sababu wakosoaji wapingaji kuilaumu Serikali ya Netanyahu kusababisha vifo vya raia wa Israel...
 
Hili ndo lengo lao toka zamani, kwa sasa kinachofanyika ni excuse tu.

Israel imevunja makubaliano yaliyositisha mapigano mwezi January ili ipate excuse ya kuendelea na jaribio lao la kuwafrastrate wapalestina mpaka waondoke Gaza.
Hivi kua wakweli kabisa, nani kavunja makubaliano ya vita? Hamas or Israel? Madai ya Israel yapo wazi sana, realise our hostage, perido. Wewe hutaki, ukipigwq unamlaumu mpigaji? Well, hakuna siku katika historia ambayo Israel alianzisha uvamizi, always wao Palestine ndio waanzilishi, mwandishi kasahau uvamizi wa mwaka 2006 as well, that time it was Hizbollah na sio Hamas; kwa mazingira haya unailaumuje Israel? Israel inalaumiwa kwa KUJIBU, so ili Israel asilaumiwe ilitakiwa akivamiwa akae kimya asijibu?
 
Hahah Mbona ardhi waliisha chukua au wanaongelea huko wanakotaka kuwapeleka ukimbizini?

Ardhi yote ilitwaliwa, lakini baadaye Gaza na West Bank ilirudishwa Palestina, na ikawa chini ya mamlaka ya Palestina, na ndiyo kwa kadiri ya makubaliano ya Oslo, kama Wapalestina wangekidhi vigezo vinavyoashiria wasingekuja kuwa Taifa hasimu, eneo hilo ndilo lingekuja kuwa Taifa linalojitegemea.
 
Ata bila mateka Israeli wangechukua ardhi na kujenga makazi ya walowezi na haitoacha kuchukua ardhi atakama mateka wataachiwa.

Solution.
Israel iichukue Gaza na wapalestina wote iwafanye ni wakazi wa israel na hilo eneo lote liitwe Israel.
 
Muda ndio mwalimu lkn mpango wao utazuiwa kutumia nguvu izo izo Wao wanataka kutumia kuitwaa Ardhi ya Palestina, !!!!

Israel imeshagundua uko mbele aitaweza tena kufanya Upolaji wa Ardhi

kwasababu Technologia kwasasa Wanayo wapinzani wake ivyo baada ya miaka 5 au 10 uwezi Jua Technologia itakuwa kwa atua ipi!!!!!

Lkn Bado kachelewa kwasasa Israel inapigika Tofaut na miaka ya nyuma japo waliweza kuzuiya makombora kwenye maeneo nyeti na muimu kwao !!!!

lkn kwasasa uwo uwezo awana wanapigwa popote kama wao wanavopiga apo Palestina !!!!

ndio mana Nasema Israel itakwamishwa na uwezo wa Kijesh kutoka nnje ya Palestina na ndani ya Palestina...!!!!

Israel inaficha kupigwa kwake ndio mn walipitisha Sheria Bungeni kuzuiya Habari vita !!!!

lkn inapigwa sana
nasasa kwa kutangaza mpango wao ndio kuusu Gaza vipigo navyo vitadhid!!!
i upande wao kiasi ya kufisha iwe ngumu !!!!

pengine watatafuta maneno mengine ya kupoza kupigwa kwao mfano yale Mashambulizi ya Iran uwezi kusema umezuiya au Ujapigwa!!

Lkn itabidi tu useme kama walivosema wao kuwa akuna aliekufa lkn uwezi kudanganya kuwa ukupigwa au ulizuiya Shambulizi wkt vitu vimeonekani kwa Uwazi vikitua na kusababisha milipuko mikubwa...!!!!

Upande wa pili w hiii kadhia Israel kwasasa wengi wanadhani ndio Taifa la kigaid !!!!

kwasababu kama izi yani imekaa mezani na kuja na wazo la mfumo huu waliotangaza kwamaana raia wa Israel zaid ya 50 !!!!

wametolewa Sadaka na kina Netanyahu ili kunyakua Ardhi ya Palestina !!!

ningekuwa mm ndio nipo Palestina !na
mpanga mipango ningefanya ivi kila Israel akiuwa zaid ya Wapalestina 30 au zaid !!!!

Namm ningetangaza kufa kwa mateka wao japo 5 atakama wapo hai lkn natangaza wamekufa !!!!

ivyoivyo adi japo wabaki w5 nawalikodi kuomba raia Waisrael waishinikize Serikali kuitimisha vita ili waokolewe wakiwa Hai !!!!

japo kutangaza vifo vya mateka vinaweza kufanya Shinikizo na kuwapa Sababu wakosoaji wapingaji kuilaumu Serikali ya Netanyahu kusababisha vifo vya raia wa Israel...
Ulichoandika ni habari za kusadikika mkuu

Kama sivyo ungetuonyesha huo uwezo wa hao adui za Israel na upungufu wa tekinoroji ya Isael unapolinganisha na maadui zake

Jingine, tujitahidi kukitumia vizuri kiswahili chetu kukiandika kwa usahihi tusiwe kama warundi huko

Mahali panaanza H, usianze na A

Mfano, awawezi = hawawezi

Aina nguvu = haina nguvu
 
WAISRAEL na MAREKANI wanandoto siku nyingi za kuipola Palestina yote ndio mana walikuwa wanazuiya kwamiaka mingi kuundwa kwa Taifa la PALESTINA!!!

kwaiyo akuna asiejua kwasasa iyo njama ya Marekani lkn je Misri na wengine watakubali kujakupoteza Ardhi zao ikiwa Watakubali Israel inyakue iyo PALESTINA!!!!!

mana inafaamika pia lengo lao sio Palestina tu!!!

tunaona wanataka kupola Lebanon Uko Syria milima yao ya golan sasa wapo km chache na mji wao mkuu!!!!

Jordan bado Mashamba yake ayajalejeshwa japo Mkataba Waliokodishwa kwisha muda wake aujasainiwa mwengine!!!!

Lebanon mashamba yao y Sheba bado Israel inajimililikisha kinyume na Sheria!!!!

uko MISRI nako ndio ivyo vitabu vinasema Waisrael walipelekwa utumwani uko Misri sio Ajabu Waisrsel awa awa Fake wakadai Wanaenda lipiza nawao wawachukue utumwani au wawaeke Utumwani ndio mana nasema Israel

atakwamishwa Sababu nguvu itakayotumika ni kubwa Kufa kwa wingi Wanajesh wao mwisho Watatema Bungo Waraabu pamoja na Tofaut zao ktk ili Wanakubaliana l

engo lao kuu waibakishe Israel miaka kwa miaka kwenye Mgogolo wa Ardhi ya Palestina asitoke apo kwenda kwengine wkt nawao kwa kipindi icho Wanajitafuta kuikabili Israel na Marekani na Washilika wao

kwaiyo kusema Israel Wanachukua Ardhi ya Palestina jambo lengine na kutenda pia nj jambo lengine kwasasa aiwezekani mpango wao

wamechelewa miaka 15 iliopita ndio wangefanikiwa lkn sio sasa kwasasa kuna fursa nyingi za Warabu wanazo ikiwemo china kiuchumi Brazir Russian Iran

Saudia pesa na yule Dogo MB,
anaweza kubadilika kuunga mkono kipesa kimyakimya Alakati za kuzuiya ili jambo ikiwemo Qatar ukweli sio jambo dogo kama tamaaa ya Israel na Marekani wanavozani

Na rudia hii kitu akiwezekani na Israel huu mwaka unaisha akiwa kwenye mzozo mkubwa zaid kuutumbukia na bado atakuwa ndani ya mipaka iyoiyo Plstn.

Ujumbe huu utakumbukwa.

Leo 22/03 /2025
Israel itakwama vibaya zaid kwenye historia yake,,
 
WAISRAEL na MAREKANI wanandoto siku nyingi za kuipola Palestina yote ndio mana walikuwa wanazuiya kwamiaka mingi kuundwa kwa Taifa la PALESTINA!!!

kwaiyo akuna asiejua kwasasa iyo njama ya Marekani lkn je Misri na wengine watakubali kujakupoteza Ardhi zao ikiwa Watakubali Israel inyakue iyo PALESTINA!!!!!

mana inafaamika pia lengo lao sio Palestina tu!!!

tunaona wanataka kupola Lebanon Uko Syria milima yao ya golan sasa wapo km chache na mji wao mkuu!!!!

Jordan bado Mashamba yake ayajalejeshwa japo Mkataba Waliokodishwa kwisha muda wake aujasainiwa mwengine!!!!

Lebanon mashamba yao y Sheba bado Israel inajimililikisha kinyume na Sheria!!!!

uko MISRI nako ndio ivyo vitabu vinasema Waisrael walipelekwa utumwani uko Misri sio Ajabu Waisrsel awa awa Fake wakadai Wanaenda lipiza nawao wawachukue utumwani au wawaeke Utumwani ndio mana nasema Israel

atakwamishwa Sababu nguvu itakayotumika ni kubwa Kufa kwa wingi Wanajesh wao mwisho Watatema Bungo Waraabu pamoja na Tofaut zao ktk ili Wanakubaliana l

engo lao kuu waibakishe Israel miaka kwa miaka kwenye Mgogolo wa Ardhi ya Palestina asitoke apo kwenda kwengine wkt nawao kwa kipindi icho Wanajitafuta kuikabili Israel na Marekani na Washilika wao

kwaiyo kusema Israel Wanachukua Ardhi ya Palestina jambo lengine na kutenda pia nj jambo lengine kwasasa aiwezekani mpango wao

wamechelewa miaka 15 iliopita ndio wangefanikiwa lkn sio sasa kwasasa kuna fursa nyingi za Warabu wanazo ikiwemo china kiuchumi Brazir Russian Iran

Saudia pesa na yule Dogo MB,
anaweza kubadilika kuunga mkono kipesa kimyakimya Alakati za kuzuiya ili jambo ikiwemo Qatar ukweli sio jambo dogo kama tamaaa ya Israel na Marekani wanavozani

Na rudia hii kitu akiwezekani na Israel huu mwaka unaisha akiwa kwenye mzozo mkubwa zaid kuutumbukia na bado atakuwa ndani ya mipaka iyoiyo Plstn.

Ujumbe huu utakumbukwa.

Leo 22/03 /2025
Israel itakwama vibaya zaid kwenye historia yake,,
 
Ata bila mateka Israeli wangechukua ardhi na kujenga makazi ya walowezi na haitoacha kuchukua ardhi atakama mateka wataachiwa.

Solution.
Israel iichukue Gaza na wapalestina wote iwafanye ni wakazi wa israel na hilo eneo lote liitwe Israel.
vipi eneo la fatah kwa kina mahmoud abbas kule ramallah nako litachukuliwa?
 
Muda ndio mwalimu lkn mpango wao utazuiwa kutumia nguvu izo izo Wao wanataka kutumia kuitwaa Ardhi ya Palestina, !!!!

Israel imeshagundua uko mbele aitaweza tena kufanya Upolaji wa Ardhi

kwasababu Technologia kwasasa Wanayo wapinzani wake ivyo baada ya miaka 5 au 10 uwezi Jua Technologia itakuwa kwa atua ipi!!!!!

Lkn Bado kachelewa kwasasa Israel inapigika Tofaut na miaka ya nyuma japo waliweza kuzuiya makombora kwenye maeneo nyeti na muimu kwao !!!!

lkn kwasasa uwo uwezo awana wanapigwa popote kama wao wanavopiga apo Palestina !!!!

ndio mana Nasema Israel itakwamishwa na uwezo wa Kijesh kutoka nnje ya Palestina na ndani ya Palestina...!!!!

Israel inaficha kupigwa kwake ndio mn walipitisha Sheria Bungeni kuzuiya Habari vita !!!!

lkn inapigwa sana
nasasa kwa kutangaza mpango wao ndio kuusu Gaza vipigo navyo vitadhid!!!
i upande wao kiasi ya kufisha iwe ngumu !!!!

pengine watatafuta maneno mengine ya kupoza kupigwa kwao mfano yale Mashambulizi ya Iran uwezi kusema umezuiya au Ujapigwa!!

Lkn itabidi tu useme kama walivosema wao kuwa akuna aliekufa lkn uwezi kudanganya kuwa ukupigwa au ulizuiya Shambulizi wkt vitu vimeonekani kwa Uwazi vikitua na kusababisha milipuko mikubwa...!!!!

Upande wa pili w hiii kadhia Israel kwasasa wengi wanadhani ndio Taifa la kigaid !!!!

kwasababu kama izi yani imekaa mezani na kuja na wazo la mfumo huu waliotangaza kwamaana raia wa Israel zaid ya 50 !!!!

wametolewa Sadaka na kina Netanyahu ili kunyakua Ardhi ya Palestina !!!

ningekuwa mm ndio nipo Palestina !na
mpanga mipango ningefanya ivi kila Israel akiuwa zaid ya Wapalestina 30 au zaid !!!!

Namm ningetangaza kufa kwa mateka wao japo 5 atakama wapo hai lkn natangaza wamekufa !!!!

ivyoivyo adi japo wabaki w5 nawalikodi kuomba raia Waisrael waishinikize Serikali kuitimisha vita ili waokolewe wakiwa Hai !!!!

japo kutangaza vifo vya mateka vinaweza kufanya Shinikizo na kuwapa Sababu wakosoaji wapingaji kuilaumu Serikali ya Netanyahu kusababisha vifo vya raia wa Israel...
Umeishia darasa la ngapi?
 
Heading inasema Ardhi yote and content inasema part of land
 
Back
Top Bottom