Israel yasema Ayatollah atauawa muda wowote

Kwamba kifo cha huyo mzee na lile gauni lake kinaweza kutendeka....

An Israeli official told the Wall Street Journal on Saturday that Iran’s Supreme Leader Ali Khamenei is "not off-limits" in Israel's ongoing efforts to dismantle Iran's nuclear program.

This statement underscores Israel's strategy, which goes beyond neutralizing Iran's nuclear assets and extends to undermining the political and military pillars of the regime. Israel has already claimed responsibility for the deaths of nine scientists instrumental in Iran's nuclear program, as well as senior Iranian generals.

Asalaleeeeeee....... Hawa jamaa sasa wanafanya pampas ya ayatollah ijae kinyesi.... Ataishi mashimoni mpaka lini
 
Wala hiyo haitolifanya Taifa la Iran liache kutoa kipondo kwa Zayuni.

Kwenye Uislamu ukifa kwenye uwanja wa vita unakufa shahidi, unaenda peponi. Kisha bendera ya mapambano inashikwa na mtu mwingine mapambano yanaendelea.

Kumuua Ayatollah wakati Iran bado ina vimondo vya kutosha viko nchi nzima chini ardhini haitoisaidia Israel.
 
Kwamba kifo cha huyo mzee na lile gauni lake kinaweza kutendeka....

An Israeli official told the Wall Street Journal on Saturday that Iran’s Supreme Leader Ali Khamenei is "not off-limits" in Israel's ongoing efforts to dismantle Iran's nuclear program.

This statement underscores Israel's strategy, which goes beyond neutralizing Iran's nuclear assets and extends to undermining the political and military pillars of the regime. Israel has already claimed responsibility for the deaths of nine scientists instrumental in Iran's nuclear program, as well as senior Iranian generals.

Yule mzee na uzee wake bikra ataziwezea wap
 
Hiyo strategy inaweza ku backfire.

Hata kama kuna raia wa Iran wanaomchukia Ayatollah, kitendo cha Israel kutaka kuhusika na kuuwawa kwake au kupinduliwa kwake kitawafanya raia washikamane zaidi maana kwao adui mkubwa zaidi ni Israel na si Ayatollah.

Israel needs to calm down. Just as they can assassinate the Iranian supreme leader, their leaders can be assassinated also.
Mkubwa unasemea Iran ipi? Ambayo wamemchoka ayatollah hata hapa nina wairanian kadhaa wanasema aondoke Tena na mwanaye kabisa

Britanicca
 
Kumuua
Hiyo strategy inaweza ku backfire.

Hata kama kuna raia wa Iran wanaomchukia Ayatollah, kitendo cha Israel kutaka kuhusika na kuuwawa kwake au kupinduliwa kwake kitawafanya raia washikamane zaidi maana kwao adui mkubwa zaidi ni Israel na si Ayatollah.

Israel needs to calm down. Just as they can assassinate the Iranian supreme leader, their leaders can be assassinated also.
Kiongozi wa Inchi ni kama kuidhalilisha Inch hatakama wanamchukia.
 
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] Sasa Hayattollah Ali Khomein ana MIAKA 96 unadhani hata wasipomuua leo anaweza kuishi miaka hata mi3 mbele??
 
Back
Top Bottom