Israel yasema Ayatollah atauawa muda wowote

Israel yasema Ayatollah atauawa muda wowote

Adui no.1 wa amani ukanda Mashariki ya mbali ni Israel na anayempa kiburi ni Marekani
USA is more overrated in battle fields, niambie USA iliwahi kushinda vita gani Mkuu? Aaah...kumbe sipo kijiweni 🏃🤔

Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
 
Adui no.1 wa amani ukanda Mashariki ya mbali ni Israel na anayempa kiburi ni Marekani
Kwanini upigane vita usiyoiweza?

2022 August unakumbuka Nancy Pelosi Katibu Mkuu wa USA aliyekwenda Taiwan akiitaka China ianzishe ugomvi dhidi ya Taiwan ili kinuke?

Unadhani China alikuwa mjinga sana kuufyata kwa kurudi nyuma?

"Kila mbuzi hula urefu wa kamba yake".

Ukiona maji ni marefu unakuwa tu mpole na maisha yanaendelea maana haiwezekani kila nchi ikawa mbabe wa hii dunia, hapatakalika wala kutawalika kwa amani.

Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
 
Hiyo strategy inaweza ku backfire.

Hata kama kuna raia wa Iran wanaomchukia Ayatollah, kitendo cha Israel kutaka kuhusika na kuuwawa kwake au kupinduliwa kwake kitawafanya raia washikamane zaidi maana kwao adui mkubwa zaidi ni Israel na si Ayatollah.

Israel needs to calm down. Just as they can assassinate the Iranian supreme leader, their leaders can be assassinated also.
 
Kwamba kifo cha huyo mzee na lile gauni lake kinaweza kutendeka....

Multiple casualties reported as Iranian missiles hit Israel​

Missiles from Iran and Yemen 'hitting Israel'​

Sunday 15 June 2025 03:43, UK

Hiyo strategy inaweza ku backfire.

Hata kama kuna raia wa Iran wanaomchukia Ayatollah, kitendo cha Israel kutaka kuhusika na kuuwawa kwake au kupinduliwa kwake kitawafanya raia washikamane zaidi maana kwao adui mkubwa zaidi ni Israel na si Ayatollah.

Israel needs to calm down. Just as they can assassinate the Iranian supreme leader, their leaders can be assassinated also.
Wazo zuri sana, nadhani kujiamini kwa Israel kupita kiasi kunategemea walikokotoa vipi hesabu zao kabla ya na wakati husika wa vita, huenda muda huo wanatangaza wameshajiridhisha kwa kiasi kikubwa movements zote za Ayatollah zitavyokuwa pakianzishwa vita japo pia huenda hesabu hizo zisifiti 100%.

Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
 
Shida yenu mmacheza game ya kitoto,mnafadhiri makundi ya kigaidi na kuyapa hifadhi ili yampige Israel mkijifanya hamuhusiki,sasa kamalizana na Gaza/Palestina anapiga shoga yake Iran.

Msifikiri hawajui hayo.
Bila Iran kuanzisha Hamas hezbullah na makundi mengine kupambana na Israel Palestine wangeishi kwa amani tu
 
Back
Top Bottom