Israel yapanga kumalizia hasira zake kwa watoto, wakina mama na walemavu huko Rafah

6 Pack

JF-Expert Member
Apr 17, 2022
1,826
4,076
Niaje waungwana

Baada ya kipigo cha makombora madogo tu yalioshindwa kuzuiwa na nchi zaidi ya 8 zinazojifanya super power duniani, Israel imeamua sasa kujibu kipigo hicho kwa kupanga mipango ya kwenda kuvamia mji wa watoto, wanawake na wazee wasiojiweza ili kuhadaa umma na kuitoa dunia katika ajenda yake iliyoshindwa ya kulipiza kisasi kwa Iran ambalo ni taifa babe, lenye nguvu na uwezo wa kijeshi kuliko taifa lolote huko Mashariki ya kati.

Inasemekana baada ya kipigo cha Iran kwa Israel ambacho kimeleta heshima na utulivu katika eneo hilo, ndugu Netanyahu waziri mkuu wa Israel akataka apate uungaji mkono wa jeshi na silaha kutoka kwa Marekani na washirika wake wengine ili na yeye akajitutumue kubweka kwa watemi wa eneo (Iran) ila washirika wakiongozwa na Marekani wakagoma kutoa jeshi na silaha, wakihofia usalama zaidi wa nchi hiyo (Israel), endapo itataka kuthubutu kuendelea kuvimbishiana misuli na dubwasha (Iran) linaloipa silaha za bure hata Russia ambayo ni super power namba 2 duniani.

Kama wengi tunavyojua kwamba Israel bila Marekani na Uingereza ni sawa sawa na mbwa asiekuwa na meno, kamwe haiwezi kupambana na nchi yoyote mpaka ipate support ya silaha na jeshi. Kwahiyo Netanyahu akaamua afyate mkia. Sasa baraza la mawaziri na uongozi hafifu wa jeshi lao wamekaa, wakaona ili kufuta aibu, ni bora kuivamia Rafah na kumalizia hasira zao huko kwa watoto, kina mama na wazee, ili kuhamisha magoli na kupelekea watu kuanza kujadili kipigo cha Rafah badala ya kile cha Israel kutoka kwa Iran.

Hawa jamaa (Israel) akili ya mipango wanayo, sema akili ya silaha na kijeshi ndo hawana, yani mpaka wapewe na nchi za magharibi.
 
Ndio mkome
 
Wewe ndio mnafiki na muwongo kipigo gani cha iran ambacho israel ilishindwa kuzuia yaani makombora yamepanguliwa hata nzi hajauawa israel lakini wafia dini mnabisha na kusherekea ujinga
 
Kina mama wa Israel mnachekeshaga sana. Wanaume zenu kina MK254 wakiandika ujinga wa kuisifu Israel, hamuhusishi sifa zao na ukristo wao.

Wanaume wengine tukisifu kipigo inachotoa Iran kwa mabwana zenu wa Israel, basi tayari mshakimbilia kuhusisha utetezi wa wanaume wanaotetea Iran na dini ya uislam. Huu ujinga kina mama wa kiisrael sijui utawaisha lini. Kwa sasa dunia ishajua nani mwenye nguvu kati ya majemedari wa Iran na mashoga wenzenu wa Israel. Mpaka sasa Israel haina makombora ya kufika Iran, ndomaana wameililia Marekani wawape, wamarekani nao wamewatolea nje.
 
Israel kwel kumejaa mashoga ,,yaani najua wanaenda kupambana na wanaume wenzao WA Iran ,,kumbe wanaenda kupambana na wanawake na watoto WA Gaza sasa kuna ujinga duniani zaidi ya huo kweli.

Sent from my ZTE T1002 using JamiiForums mobile app
Wameshaona ni vigumu kwa mashoga kupigana na wanaume. Hivyo wameamua bora hasira zao wakazimalizie kwa kina mama na watoto ambao angalau wataweza kuwamudu 😂😂😂
 
Back
Top Bottom