Israel yapanga kumalizia hasira zake kwa watoto, wakina mama na walemavu huko Rafah

Asante sana mkuu, huu ni ushahidi wa wazi na funzo kwa mashoga na vibaraka wao wanaowatetea hapa JF.

Mpaka leo Israel haitaki tena kuthubutu kuichokoza Iran. Maana Netanyahu na genge lake watazikwa wazima wazima ardhini na makombora.

Mkuu Paschal qamara una bahati mbaya ya kupoteza muda wako wa kutetea taifa la mashoga ambalo haliwezi kupigana vita lenyewe, bila kusaidiwa na msururu wa nchi zaidi ya 5 za ulaya na Marekani.
 
Niaje waungwana

Baada ya kipigo cha makombora madogo tu yalioshindwa kuzuiwa na nchi zaidi ya 8 zinazojifanya super power duniani, Israel imeamua sasa kujibu kipigo hicho kwa kupanga mipango ya kwenda kuvamia mji wa watoto, wanawake na wazee wasiojiweza ili kuhadaa umma na kuitoa dunia katika ajenda yake iliyoshindwa ya kulipiza kisasi kwa Iran ambalo ni taifa babe, lenye nguvu na uwezo wa kijeshi kuliko taifa lolote huko Mashariki ya kati.

Inasemekana baada ya kipigo cha Iran kwa Israel ambacho kimeleta heshima na utulivu katika eneo hilo, ndugu Netanyahu waziri mkuu wa Israel akataka apate uungaji mkono wa jeshi na silaha kutoka kwa Marekani na washirika wake wengine ili na yeye akajitutumue kubweka kwa watemi wa eneo (Iran) ila washirika wakiongozwa na Marekani wakagoma kutoa jeshi na silaha, wakihofia usalama zaidi wa nchi hiyo (Israel), endapo itataka kuthubutu kuendelea kuvimbishiana misuli na dubwasha (Iran) linaloipa silaha za bure hata Russia ambayo ni super power namba 2 duniani.

Kama wengi tunavyojua kwamba Israel bila Marekani na Uingereza ni sawa sawa na mbwa asiekuwa na meno, kamwe haiwezi kupambana na nchi yoyote mpaka ipate support ya silaha na jeshi. Kwahiyo Netanyahu akaamua afyate mkia. Sasa baraza la mawaziri na uongozi hafifu wa jeshi lao wamekaa, wakaona ili kufuta aibu, ni bora kuivamia Rafah na kumalizia hasira zao huko kwa watoto, kina mama na wazee, ili kuhamisha magoli na kupelekea watu kuanza kujadili kipigo cha Rafah badala ya kile cha Israel kutoka kwa Iran.

Hawa jamaa (Israel) akili ya mipango wanayo, sema akili ya silaha na kijeshi ndo hawana, yani mpaka wapewe na nchi za magharibi.
Umeeleweka.hilo liko wazi
 
Russia siyo namba mbili duniani mr umebugi.
 
"mji wa watoto, wanawake na wazee wasiojiweza"

Saa nyingine tuache ushabiki mji kweli wa design hii ukavamiwe kwa gharama kubwa bila Sababu ya msingi, kuna cha ziada zaidi ya wazee wasiojiweza tusitie huruma kwenye hili
 
Shambulio la Iran limeacha athari kubwa na kitisho cha hali ya juu kwa mashoga ya Israeli.
Kwani hiyo athari umeiona mwenyewe tu , mbona hamna hata madhara yaliyolipotiwa, ni kweli shambulizi limefanywa lakini interception ilikuwa 99%, sasa hayo madhara tena makubwa niyapi labda wengine hatuoni, wenzetu mnamacho ya rohoni, sitetei upande wowote but tuache ushabiki tuongee facts zenye ushahidi
 
Asante sana mkuu, huu ni ushahidi wa wazi na funzo kwa mashoga na vibaraka wao wanaowatetea hapa JF.

Mpaka leo Israel haitaki tena kuthubutu kuichokoza Iran. Maana Netanyahu na genge lake watazikwa wazima wazima ardhini na makombora.

Mkuu Paschal qamara una bahati mbaya ya kupoteza muda wako wa kutetea taifa la mashoga ambalo haliwezi kupigana vita lenyewe, bila kusaidiwa na msururu wa nchi zaidi ya 5 za ulaya na Marekani.
Unazungumza nini kashambulia halafu anajihami na mkwara mzito wakirespond itakuwa vita, mbona wamejibu bila msaada wa marekani na uingereza na washirika wengine, ile ni sovereign state haitegemei tu misaada kulipa kisasi linapokuja swala la maslahi yake mapana

Kama USA alisema hatosupport wakijibu mapigo mbona bado wamejibu kama hawana Uwezo, hii ilikuwa ni taarifa fupi tu kwamba tumejibu sasa fanyeni mnalotaka, angekuwa hajiwezi alivyokosa tu support angefyata mkia but still amerespond, sometimes wavaa kobazi sijui wanaichukuliaje Jewish state, wanajisahaulisha sana, wala sio propaganda history inaonyesha Israel ndio mbabe wa middle east na hilo halina upinzani, vita zote alizopigana na majirani zake hakuna aliyewahi kutoboa mpaka akaongeza mipaka yake kwa Sababu za kiusalama, hata kama ni mimi univamie halafu nikupige nachukua nachoona kitanisaidia na ni kanuni ya kijeshi pia

Embu tuacheni story za vijiweni mbona saa hizi ni utandawazi unaweza pata info zozote unazotaka kwa usahihi, six day war alikuwa anapigana na nchi ngapi kwa mara moja, yom kippur war, etc, ni vita nyingi siwezi orodhesha zote mbona vitu vipo wazi. Uwezo wake umeonekana kwa experience na ushahidi wa vita alivyoshinda, Hiyo Iran ndio propaganda vitisho vingi hamna lolote, mara mbabe mara sijui mwanaume , ujinga mtupu mnalishana kwa historia ipi aliyonayo kwenye medani, leta vita hata tatu alizopigana na nchi tofauti akashinda mfululizo, sasa hapo nani anapropaganda, hizi propaganda za uanaume pelekeni kule kwa mabikira 72, hapa facts with evidence zinaongea
 
Nasikia na Israel leo kajibu mashambulizi
Sio kusikia tu ni kweli kajibu tena nchi tatu kwa mpigo , Ikianziwa na huyo mbabe wao tegemezi Iran, Syria na Iraq kama sijakosea.

Sasa na wao kama kweli ni wanaume kama wanavyopambwa humu, wajibu hata nchi mbili tu, mbili tu Israel na mshirika wake mmoja kwa mpigo watachagua sasa kati ya USA, Uingereza au ufaransa ni wao tu, mbili tu kwa mpigo, au mnasemaje wanaume .

Ila hatutaki sasa zile hashtags #PrayforIran or #JusticeForIslamicRegime , justice my foot, pray for your self mwanaume

Maana Israel imezidi kujipambanua katika medani kuwa hata bila support ya washirika inaweza ku launch multiple strikes to different nations bila kuhofia mkwara wowote wa Islamic regime, mtu mzima kumtishia nyau aisee ni swala mtambuka kidogo
 
Hamasi ni tawi la Iran, na hawajaipiga Israel. Iran ilijifanya inapiga lakini ilikuwa uongo tu. Ilikuwa inawaridhisha wananchi wake.
Iran hawajaipiga Israel? Sasa wewe na kina Netanyahu nani mkweli?

Ebu angalia video uone jinsi waisrael walivyolala nje siku hiyo wakiogopa makombora ya Iran japo media za magharibi zilijifanya kuficha ili Israel isiaibike.

Na kumbuka huo mzigo ulizuiwa na nchi 8 zinazoaminika kuwa zina ulinzi bora wa anga, lakini walishindwa. Tuacheni propaganda na siasa katika kila jambo wakuu. Ifike kipindi maji taitwe maji, na maziwa yaitwe vile vile maziwa.
 
Attachments

  • 5694720-74202fee70ac282f58720672dc9d5d76.mp4
    7.6 MB
Back
Top Bottom