Mlaleo
JF-Expert Member
- Oct 11, 2011
- 16,351
- 13,140
Myahudi Kuua ni kawaida yake Mlaleo.
Umesahau na yesu pia walimfanya hivyo hivyo km wanavyo wafanyia Waarabu?
Kwa mtu mwenye fikra finyu unaona Uuwaji ni ujanja. yesu wa msalabani pia hakuwakosea lolote lkn walimtesa na kumuua msalabani.
Km matendo hayo ni furaha kwako basi iko siku na wewe yatakutokea tu uone utamu wake.
Mkuu haupo sawa Yesu aliuliwa na Askari wa Roman Empire na si Myahudi...
Ila Myahudi Alimuua Mtume Mwamedi kwa kumuwekea Sumu kwenye Nyama maana jamaa alikuwa Mrafi sana wa Nyama ndio maana alikuwa anapenda sana kuua zaidi ya Wayahudi...
Mwarabu ndio kaua watu wengi sana na hata sasa anaendelea Kuua.... Ukisikia kundi linaitwa ISIS Islamic State ndio wana plactice aliyokuwa akiyafanya Mwamedi enzi zake... na hii haipingiki kwani vitabu wao wanafuata vitabu na Hadith za Mwamedi Sharia kwenda Mbele usipoukubali uislam ni kuchinjwa tu...