Israel yaishambulia Syria

Israel yaishambulia Syria

hii ni imani ya ajabu sana mkuu,,, Muhammad (SAW) anahusika vipi na kifo cha YESU??? Thibitisha basi mkuu kama YESU aliuwawa na Waislamu au kwa dhambi za waislamu... Kama YESU alikufa kwa dhambi zako sasa wewe unaenda kanisani kufanya nini?? Mungu huyu alivyokuwa akiteswa msalabani ni nani alichukuwa majukumu yake ya uungu, na zile siku alizokuwa kaburini kabla ya kufufuka nani alikuwa MUNGU sasa... hivi pale alipokuwa anasurubiwa YESU kuna muislamu alikuwepo kweli?? mkuu uislamu ni aina tofauti kabisa ya mfumo wa maisha tofauti na huo unaoufikilia wewe.... WAISLAMU LEO HII WANAPIGANA NA WALE WALIOMUUA YESU KWA SABABU ZILEZILE,,, auoni biashara siku hizi kwenye MAKANISA yetu?? auoni siku hizi WAHUBIRI WANAMABODIGADI KWENYE MAENEO YA MAHUBIRI???

MKUU WAPINGA KRISTO NDIO MAADUI WA WAISLAMU...
2 Corinthians 5:15 And that He died for all, that they which live should not henceforth live unto themselves, but unto him which died for them, and rose again.
 
Ofisini kwako ni wapi.........?.......naomba unieleweshe............

hapa muhimbili kwenye kile chumba muhimu cha kuhifadhia............ti. ukifika niulizie. hata hivyo hoja imeishapita hamna haja ya wewe kuja tena.
 
Hii pumba umeitoa wapi mkuu hebu fafanua kidogo mkuu tukuelewe
kilwakivinje
.......... Waisrael wanamuabudu Yesu kama unavyomuabudu wewe !? ....... wanakiamini na kukisoma Kitabu unachokisoma wewe !? .... alipopelekwa Mahakamani Yesu - shitaka lake lilikuwa ni nini ? kwa nini walimpa adhabu ya kifo cha msalabani ?
Ukiweza kupata majibu ya haya maswali ndio utajua wayahudi na wakiristo ni mbali mbali ! :doh:

'Au mnasema kuwa Ibrahim na Is-haq na Yaakub na wajukuu zao walikuwa Mayahudi au Wakiristo !? Sema: e, nyinyi mnajua zaidi au Mwenyezi Mungu ? Na ni nani mwenye kudhulumu zaidi kuliko yule aliyeficha ushahidi alio nao utokao kwa Mwenyezi Mungu ? Na Mwenyezi Mungu si Mwenye kughafilika na hayo myafanyayo.
Qur'an: 2:140.
 
Last edited by a moderator:

Swadakta Maalim
Tatizo unawaelekeza Kondoo wenye maskio lkn hawasikii. Wana macho lkn hawaoni.

Utakesha hapa.
Ukitaka wakuelewe Labda uanzishe kanisa lako. Aaah hapo utawateka vibaya mno hata km utasema Uongo wao wataitikia tu.
Amen BABA Mchungaji.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom