Israel:Watoro 2 wa mwisho wa Gilboa prison wakamatwa tena

chivala

JF-Expert Member
Apr 13, 2021
772
2,333
Maafisa wa jeshi la Israel wanasema kuwa wamewakamata tena wafungwa wa 2 wa kipalestina waliowahi kutoroka kwenye jela yenye ulinzi mkali ya Gilboa baada, ya utafutaji wa siku 14, kukamtwa tena kwa wafungwa hawa, kunakamilisha idadi yote ya wafungwa 6 kuingia mikononi mwa maafisa wajeshi la Israel baada ya wiki iliopita kutiwa mbaroni wafungwa 4.
Screenshot_20210922-145505_Samsung%20Internet.jpg
20210913_133331.jpg


20210913_133223.jpg
 
Mtu umefungwa maisha na miaka 15 ya ziada bado unapata nguvu ta kupiga kitabu degree na masters kabisa. kweli wa parestina wa roho ngumu.
 
Mtu umefungwa maisha na miaka 15 ya ziada bado unapata nguvu ta kupiga kitabu degree na masters kabisa. kweli wa parestina wa roho ngumu.
Na huyu naye, hakuacha kupiga kitabu kwa kuwa tu anatumkia kifungo cha maisha
20210913_133216.jpg
 
Back
Top Bottom