Israel Vs Tanzania

Israel Vs Tanzania

Ikulu T

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2023
Posts
1,599
Reaction score
4,737
  • Ukubwa(kilomita za mraba)
Tanzania: 945,087 km²
Vs
Israe:22,145km²
Tanzania ni kubwa mara 43 ya israel.
  • Uchumi(pato la Taifa/ GDP in $)
Tanzania:$85.42billion
Vs
Israel:$521.696billion
Israel inauchumi mkubwa mara 6 ya Tanzania.
  • Idadi ya watu(population)
Tanzania: Watu million 61
Vs
Irael:watu million 9
Tanzania inawatu karibia mara 7 zaidi ya israel.

Copy right Beginning
 
Hoja yako ni ipi hapo?
 
Tanzania inawatu karibia mara 7

  • Ukubwa(kilomita za mraba)
Tanzania: 945,087 km²
Vs
Israe:22,145km²
Tanzania ni kubwa mara 43 ya israel.
  • Uchumi(pato la Taifa/ GDP in $)
Tanzania:$85.42billion
Vs
Israel:$521.696billion
Israel inauchumi mkubwa mara 6 ya Tanzania.
  • Idadi ya watu(population)
Tanzania: Watu million 61
Vs
Irael:watu million 9
Tanzania inawatu karibia mara 7 zaidi ya israel.

Copy right Beginning
{ukubwa wa pua sio wingi wa makamasi]
 
  • Ukubwa(kilomita za mraba)
Tanzania: 945,087 km²
Vs
Israe:22,145km²
Tanzania ni kubwa mara 43 ya israel.
  • Uchumi(pato la Taifa/ GDP in $)
Tanzania:$85.42billion
Vs
Israel:$521.696billion
Israel inauchumi mkubwa mara 6 ya Tanzania.
  • Idadi ya watu(population)
Tanzania: Watu million 61
Vs
Irael:watu million 9
Tanzania inawatu karibia mara 7 zaidi ya israel.

Copy right Beginning
ALITAKA KUSEMA UKUBWA WA PUA SIO WINGI WA KAMASI
 
Hii ni je wajua? Viongozi
 
Mbona Mikoa ya kanda Singida, Dodoma na Tabora hata na Kigoma kwa pamoja zina jiorafia kubwa sana kuliko DSM lkn ukijumlisha chumi zao, hazosogelei uchumi wa DSM?
  • Ukubwa(kilomita za mraba)
Tanzania: 945,087 km²
Vs
Israe:22,145km²
Tanzania ni kubwa mara 43 ya israel.
  • Uchumi(pato la Taifa/ GDP in $)
Tanzania:$85.42billion
Vs
Israel:$521.696billion
Israel inauchumi mkubwa mara 6 ya Tanzania.
  • Idadi ya watu(population)
Tanzania: Watu million 61
Vs
Irael:watu million 9
Tanzania inawatu karibia mara 7 zaidi ya israel.

Copy right Beginning
 
Mbona Mikoa ya kanda Singida, Dodoma na Tabora hata na Kigoma kwa pamoja zina jiorafia kubwa sana kuliko DSM lkn ukijumlisha chumi zao, hazosogelei uchumi wa DSM?
Kiongoz hii ni taarifa tu👐
 
tungekuwa na viongozi wenye upendo na watu wao na nchi tungekuwa mbali sana tatizo wengi wetu ni walafi na tunachukiana hasa!
hata mitaan mtu akifanikiwa anachukiwa na akifeli wanafurahia na wabaya ni wakaribu yako!
 
Kwa viongozi wetu hawa wanaotanguliza nafsi zao kwanza, wanaojali matumbo yao, wanaotizama kesho yao na vizazi vyao unategemea nini mzee.
Hakuna kiongozi anafikiri tanzania ya kesho.

Hata huko israel wizi, ufisadi upo ila watu wanaweka taifa mbele kisha maslahi yanafuata, wanafaidika pale ambapo taifa lao litfaidika maradufu
 
Huku ni ufisadi tu
 
tungekuwa na viongozi wenye upendo na watu wao na nchi tungekuwa mbali sana tatizo wengi wetu ni walafi na tunachukiana hasa!
hata mitaan mtu akifanikiwa anachukiwa na akifeli wanafurahia na wabaya ni wakaribu yako!
Kabisa kiongoz👏👏
 
Zaidi ya asimila 60% ya eneo la israel ni jangwa
 
Kiongozi umeshtuka! Ndo uhalisia huo.
Hapo ni tembo vs sisimizi ila vice versa.🔄🔄
Israel ni mfuko wa pembeni wa west na USA,yaani wanatia hela humo,na kufunguliwa milango wauze bidhaa zao huko bila vizingiti
 
Israel ni mfuko wa pembeni wa west na USA,yaani wanatia hela humo,na kufunguliwa milango wauze bidhaa zao huko bila vizingiti
Hili pia ni kwel👍! nchi ndogo jangwa ila imetupita kila kitu muhimu!!
 
Back
Top Bottom