Hahaha we unaongelea kama ni mwanajeshi mstafu wa Tanzania wakati Tanzania haina uwezo hata wa kumiliki ndege 12 za kivita na tena zilizo pitwa na wakati.
List of military equipment manufactured in Iran - Wikipedia, the free encyclopedia
Iran kuna kipi kipya. Vita vikianza kupiganwa ndani ya mwezi tu mshindi kesha julikana. Hizi nchi za kiarabu kinachowaua ni technology ya mrusi ambayo wakipewa wanadhani wapo juu kumbe mrusi mwenyewe anawapa edition kiliyopitwa na wakati. Vita inamambo mengi sana. Ogopa sana sehemu ambayo mzungu anaweza kuingia na kuwagawa wananchi na serikali hapo utapigwa kiulaini tu. Vita ya Iran na Israel ndani ya mwezi tu inaisha then wanabaki waarabu wakiendelea kijilipua wenyewe kwa wenyewe tu.
mkuu achana na ushabiki,mimi ntakuwekea account ya israel shamir kuhusu nini hasa kilitokea kwenye vita vya 1973,yomma kippur war.
Na yataka ujue kuwa israel shamir alikua ni askari wa israel aliyepigana katika vita hivyo kwahiyo hakuhadithiwa alipigana na kikosi cha kilifika hadi umbali wa km 100 toka cairo,hivyo anajua anachokisema na ukitaka kumuuliza ntakuwekea na email yake ili uprove.STAY TUNED.
tuna jadili jambo ambalo hatujalifanyia utafiti au hatujasoma tatifi za watalam, israel na iran zipo kwenye mgogoro mda mrefu, tangu liundwe upya taifa la Israel,kiukweli israel ni taifa lenye nguvu za kijeshi mashariki ya kati kuliko nchi yoyote pale.ndio pekee yenye kumiliki silaha za atomic,iran ipo kwenye mchakato wa kuzitengeneza.ukirud nyuma miaka ya 67 nchi kadhaa za kiarabu ziliungana iktk vita vya kushtukiza vya kuifuta israel ktk siku ambayo wayahud wanasherekea sikukuu yao ambayo hata wanajeshi hawashili silaha.nchi hizo n jordan,Lebanon,Misri,syria,iraq,iran,tunisia na nyingnezo zilipigwa vibaya sna ndai ya siku sita zikasalimu amri,misriu ilipoteza theruf ya ardhi yake,syria mpaka leo haijarudishiwa ardhi ya milima ya goran,ndio muda umepita,mambo yamebadilika sana.lakin bado israel bado ipo mbali saa kiteknolojia kuliko iran.jaribu pia kuangalia hata kwenye rank za GFP ,israel ni ya 13 iran 16,Iran inaweza kuisambaratisha mbali Israel wenyewe wanajua na si kwamba chokochoko za nyuklia ya Iran kwamba U.S the answer is NO ni ISRAEL ndio uanzisha choko choko izo.
Kweli Mimi mnyantuzu wa Igaganulwa lakini siwezi Kukubali kile unachokisema!Wamarekani wanasema wamefeli huko afaghanstan,wewe mnyatunzu wa IGAGANULWA unadai MMESHINDA.
Why Obama Will Fail In Afghanistan | Real Jew News
Hakuna sehemu unazo weza kupata ukweli zaidi ya wikipedia.Wewe Danganyika na wikipedia mtu yeyote anaweza kuandika kama ni kujilimbikizia sifa mtu yeyote anaweza kazi kubwa iko kwenye MEDANI unaweza sema maneno mengi mpaka ukatisha watu lakini mtu hupimwa kutokana na vitendo vyake kama ni maneno wengi sana walishashasema lakini walipolianzisha walishindwa,Narudia tena nchi hizi mbili haziwezi kushambuliana bila msaada wa nchi nyingine hii ndiyo fact kwa maneno sawa wanaweza kushambuliana lakini si ki-vita.
Lini Israel aliipiga Iran au unaota.tuna jadili jambo ambalo hatujalifanyia utafiti au hatujasoma tatifi za watalam, israel na iran zipo kwenye mgogoro mda mrefu, tangu liundwe upya taifa la Israel,kiukweli israel ni taifa lenye nguvu za kijeshi mashariki ya kati kuliko nchi yoyote pale.ndio pekee yenye kumiliki silaha za atomic,iran ipo kwenye mchakato wa kuzitengeneza.ukirud nyuma miaka ya 67 nchi kadhaa za kiarabu ziliungana iktk vita vya kushtukiza vya kuifuta israel ktk siku ambayo wayahud wanasherekea sikukuu yao ambayo hata wanajeshi hawashili silaha.nchi hizo n jordan,Lebanon,Misri,syria,iraq,iran,tunisia na nyingnezo zilipigwa vibaya sna ndai ya siku sita zikasalimu amri,misriu ilipoteza theruf ya ardhi yake,syria mpaka leo haijarudishiwa ardhi ya milima ya goran,ndio muda umepita,mambo yamebadilika sana.lakin bado israel bado ipo mbali saa kiteknolojia kuliko iran.jaribu pia kuangalia hata kwenye rank za GFP ,israel ni ya 13 iran 16,
Hakuna sehemu unazo weza kupata ukweli zaidi ya wikipedia.
Tuwachane na Wikipedia, twende tuongelee the facts, kama una uwezo wa kufanya electronic jammers hakuna sehemu ukashindwa kupita, na kama nilivyo sema mwanzo Iran atapita Saud Arabia na Jordan kwenda ipiga Israel hana shida ya kupitia Iraq na Syria.
We jiulize ile drone aliye iteremsha Iran ya USA aliteremsha vipi, we hujui kama ilikuwa one of a fleet of stealth aircraft, kapita pita vipi mle mpaa akazipenya siri zao zote ambazo wanasema hakuna Radar inaweza kuiona.
Jiulize ile drone ya Hazbullah ilifika fika vipi mpaa kuchukua picture kwenye sensitive"Israeli sites" na wakati Israel ndo wanajidai wana Radar zinaitwa UKUTA WA CHUMA walishindwa kuinasa.
Iran ana uwezo wakuidunda Israel bila msada wa nchi yoyote lakini Israel hana uwezo huo, mpaa apewe msada.
Lini Israel aliipiga Iran au unaota.
Wazee wa kazi wako kazini wana point Israel, wanangojea tu chance wa isambaze kama alivyo sema kiongozi wa Hazbullah Nasrallah; Je Israel atasubutu kuwachokoza Iran, wakati Iran wanaitafuta chance hio miaka, si dhani kama watawapa chance.
Wacha kuongea vitu vilivyo pitwa na wakati, sisi hatuongelei vita vya kagera hapa, tunaongelea Iran has a larger and advanced missile technology mpaa Israel amebakia kubweka tu kama mbwa, akiambiwa na Iran sogea anakunja mkia anakimbia zake.Kwenye wikipedia hata miminaweza kuandika na kupost vitu ninavyotaka mimi,jammer unaweza lakini kuna mambo ya msingi yanaweza kumshinda,wingi wa madege au ukubwa wa madege hakusaidii kupata ushindi maana Madege na Mizinga Kijeshi ni silaha za msaada sasa kwa mantiki hiyo katika akili yako unafikiri IRAN siku moja itaweza kupeleka wanajeshi wake wa ardhini kwa maana ya Infantry na kuikalia Israel?????Kuangusha Drone au kupitisha Drone kwenye anga la mtu isiwe kigezo cha mtu kushinda au kumpiga mtu.Naamini kama ungekuwa umepitia hata JKT ungekuwa umepata hata picha kidogo kuhusu nchi hizi mbili kupigana bila msaada wa nchi nyingine,Mimi narudia tu kukuelimisha nchi hizi haziwezi kupigana bila msaada wa nchi nyingine Ukatae au UKUBALI.
Hio si photoshop takuonyesha photoshop ni kama hii http://www.irandefence.net/attachment.php?attachmentid=63411&stc=1&d=1304188345Usitishwe na DOCTED PICTURE hiyo photoshop wengi wanajua kuzihariri picha
Hakuna sehemu unazo weza kupata ukweli zaidi ya wikipedia.
Tuwachane na Wikipedia, twende tuongelee the facts, kama una uwezo wa kufanya electronic jammers hakuna sehemu ukashindwa kupita, na kama nilivyo sema mwanzo Iran atapita Saud Arabia na Jordan kwenda ipiga Israel hana shida ya kupitia Iraq na Syria.
We jiulize ile drone aliye iteremsha Iran ya USA aliteremsha vipi, we hujui kama ilikuwa one of a fleet of stealth aircraft, kapita pita vipi mle mpaa akazipenya siri zao zote ambazo wanasema hakuna Radar inaweza kuiona.
Jiulize ile drone ya Hazbullah ilifika fika vipi mpaa kuchukua picture kwenye sensitive"Israeli sites" na wakati Israel ndo wanajidai wana Radar zinaitwa UKUTA WA CHUMA walishindwa kuinasa.
Iran ana uwezo wakuidunda Israel bila msada wa nchi yoyote lakini Israel hana uwezo huo, mpaa apewe msada.
Global Firepower siku zote haisemi ukweli ukiweka kila link utaona ziko tofouti kila mmoja inakuja na point zake.Ukisoma Global Firepower kwa Dunia Israel Iko nafasi ya 13 na Iran Iko nafasi ya 16.
Na kwa mashariki ya Kati Israel Ni ya kwanza ikifuatiwa na Iran, sasa Sijui nyinyi mnatumia vigezo gani kuibeza Israel?
Global Firepower watumia vigezo Kama 40 kuandaa hizo Renk zao. Sasa Sijui nyie mnavigezo gani ambavyo vinawafanya muiweke Iran juu?
Wakati Iran wanaangaikia kupata au kua na Technology ya kisasa kabisa Israel wanamiliki hizo technology muda mrefu sana. Sasa Sijui nani Yuko mbele?
Nakumbuka Ushauri alopewa aliekua Rais wa Iran Ahmedin Nejad wakati jeshi lake lilipo wateka wale Askari wa Kiingereza. Aliambiwa na Ayatola kua awaachie wale Askari Kwani anaweza kuingia katika vita na wasifikie malengo wanayoitaji hasa swala la Nyuklia.
Kwahiyo Bado Iran wanaitaji muda Zaidi wa kujipanga.
Wenzako wanatumia Satelite za kijasusi nyie mnafikiria kuzijam rada!?
Tengenezeni makombora ya kudengua satelite za kijasusi Hapo ndo ntakua vidume.
Sa hapa tunacho ongelea kama vita ikitokea, naona wewe sijui unaongelea kitu gani.Sasa hivi nimegundua kuwa tunahangaishwa na Ushabiki wala siyo Facts ila kumbuka vita so Lelemama Israel na Iran hata siku moja hawawezi kuingia Vitani kwa kukurupuka kama wewe unavyorahisisha mambo.Kama ingekuwa rahisi kupigana vita kama unavyosimlia basi ISRAEL isingekuwako kwenye Ramani au kwenye Uso wa Dunia. Hapa ngona Nzito kwa kila upande.
Bila mnyamwezi pembeni, itakuwa Mission Impossible.
nafikiri hulijui taifa la israeli, ki ukweli israel inaweza pigana na taifa lolote lile duniani bila ya msaada wowote kutoka kwa taifa lolote lile. Israel ni taifa teule na ni taifa la mungu
Ndugu unayosema ni kweli kabisa. Israel waliweza kumsulubu "Mungu" na kumtoa roho na kumpa umauti kwa siku tatu, mpaka pale "Mungu" alipofanya uungu wake na kujifufua na kuwapa wauaji wake hadhi ya "taifa teule". Unafikiri kuna kiumbe kinachoweza (taifa lisilo teule) linaloweza kupigana na Taifa lililomwadhibu Mungu?
"Mungu" baada ya kuadhibiwa na wababe hawa(Taifa la Israel) ilibidi awape hadhi maalum, hadhi ya uteule!
Taifa la Mungu? Nikumbushe,Kabila la "Mungu" huyu ni kabila
unaongea pumba HIVI MUNGU ANAWEZA KUSULUBIWA AU MUNGU ANAWEZA KUFA?.
SOMA UELIMIKE.