Kuna vitu unasahau wewe au unaongelea mapenzi tu na Iran. Iko hivi Waisrael waliwekeza sana kwenye Elimu Na wanamainjinia wao wenyewe.hata ukifuatilia globofirepower report,iran wako na manowari nyingi kuzidi israel kiasi cha kupiga patrol mpaka bahari ya med,hindi,antlantic.
Israel wako na sub nne wakati iran ziko kama kumi na wanatengeza wao wenyewe.
Upande wa ndege wanazo nyingi kuzidi israel na wanatengeneza jetfighter,helcopters wakati israel mpaka wapewe na marekani.
Vifaru wanatengeneza wao wenyewe,
bila marekani kusaidia israel hawezi ndo maana netanyahu wanagombana na obama kilasiku maana obama anakataa kumsaidia israel.
We unachekesha sana, sa Israel hata kama anayo atampiga USA?Kumbe 2015 ndio wanaweza kujaribu hayo mabomu ya mabara! Sasa Hawa Waisrael wanayo ndani kabisa
Sijui nisemeje nieleweke?!
Alijitokeza kupinga hiyo vita dhidi ya Syria sio Iran ni Mrusi. Kumbuka kikao alichofanya John Kerry na wale wabunge.We unachekesha sana, sa Israel hata kama anayo atampiga USA?
Sababu Iran akiwa nayo atampiga USA na Nchi yoyote ya Europe umeona enhee? Israel ma adui zake wako karibu yake yani hata kama anazo hazitamsaidia zitaishia kwenye bahari hahaha.
Nilidhani naongea na mtu ana akili kumbe haunazo kabisa, kwa tarifa yako unajua sababu gani USA waliogopa kuichapa Syria mana Iran alisha sema watalaunch a massive missile strike against Israel if the United States attacks Syria.
Na USA walipo ona Iran ameisha ziweka READY HIZO MISSILE akajua sasa kumenuka Obama akajidai hawezi kwenda vitani bila kupitia congress ni kitu si cha kweli, yeye ni commender in chief. Akiamua kwenda vitani haina haja kwenda kule tena.
Kijana mtandika mengi hapa Israel hatasubutu pale Iran hata siku moja.
iran ni kubwa sana inaweza kuabsorb mabomu hata kumi ya nuclear,wakati israel inaweza haribiwa hata na ballistic .missile 50,Kumbe 2015 ndio wanaweza kujaribu hayo mabomu ya mabara! Sasa Hawa Waisrael wanayo ndani kabisa
Sijui nisemeje nieleweke?!
sasa unadhani kwanini marekan alibackdown.Alijitokeza kupinga hiyo vita dhidi ya Syria sio Iran ni Mrusi. Kumbuka kikao alichofanya John Kerry na wale wabunge.
Kiongozi wa Jeshi la Marekani aliweka wazi Matokeo ya vita yote na nini watafanya iwapo wataivamia Syria. Wanaju yote viru.
Adui wa Israel ni Syria na Iran tu Hawa waarabu wengine ni vibaraka tu.
Tusubiri tutaone Kama sio Obama basi atakaekuja ataaingia Syria.
Jee ni kweli Israel anaweza kusimama peke yake kuipiga Iran?
teh teh teh,
hivi watu kama ninyi huwa mnajiuliza katika kitabu chenu kitukufu manabii wote ni waisrael kasoro yule wakwenu tu.
Naona mmeanza kuingiza uji.nga na u.puuzi wenu wa dini za mabwana zenu waarabu na wayahudi kwenye thread ya mtu.......
naomba urudie tena naona kama umeweka unga wa ngano kwenye maji ya ugali
Sasa mmeanza kurudi kwenye ukweli kua Israel ina silaha Kali Kama hayo manyukria.iran ni kubwa sana inaweza kuabsorb mabomu hata kumi ya nuclear,wakati israel inaweza haribiwa hata na ballistic .missile 50,
pia ujue israel wakitumia nuclear mataifa mengine hayawezi kukaa kimya.esspecially russia haiwezi ikakubali kuadhiliwa na nuclear radiation wao wakae kimya .
makandarasi wanashindwa nini kutengeneza ndege ama helicopter ,submarine hadi wapewe msaada toka US na ujerumani?.Kuna vitu unasahau wewe au unaongelea mapenzi tu na Iran. Iko hivi Waisrael waliwekeza sana kwenye Elimu Na wanamainjinia wao wenyewe.
Silaha zote uzionazo Us Na ata Ufaransa wao ndio makandarasi. Bunduki yenye Ubora kabisa inayotumiwa na Askari wa Us Israel ipo.
Kuonesha manoali chache kwenye doria au nyingi kusikufanye uone kwamba Iran ni bora Israel wanalinda nchi Yao kwa dhana za nyukilia usiku na mchana zenye kuona mbali sana Na Hawa Israel wanamiliki satelite za kijasusi.
Sasa unataka uambiweje wewe?
nuclear ni silaha ya maangamizi na wala huwezi kusifu kuwa na slaha za maangamizi ni kujua kupigana,hawa waisrael huwa wanagwaya hata kuingia gaza wanabaki kutupa makombora kwa ndege na kutoka melini hawawezi mapigano ya ana kwa ana kama wanavyopigana kule syria.mtoto wa asad alisema kweli,THEY ARE COWARD SOLDIER WITH TECHNOLOGY.Sasa mmeanza kurudi kwenye ukweli kua Israel ina silaha Kali Kama hayo manyukria.
Na Pia mmeanza kusema kua Mrusi lazima awe nyuma pale ya Muirani.
max kamwacha yesu anaabudu wayahudi,dah!!.Niambie dini yako, imani yako, nitajua kuwa wewe si mjinga wala si mpuuzi.
Waisrael wameua Mungu, kuna mtu atakayeweza kuwatwanga hawa?
Hata bro, Max anaijua hii issue. Max, Ameamua kuwaabudu.
Haka ka swali kako kadogo tu, kamewacha wakristo hoi.Kwa hiyo, Yesu alikuwa nabii?
nuclear ni silaha ya maangamizi na wala huwezi kusifu kuwa na slaha za maangamizi ni kujua kupigana,hawa waisrael huwa wanagwaya hata kuingia gaza wanabaki kutupa makombora kwa ndege na kutoka melini hawawezi mapigano ya ana kwa ana kama wanavyopigana kule syria.mtoto wa asad alisema kweli,THEY ARE COWARD SOLDIER WITH TECHNOLOGY.
Kila wakati ikitokea mtifuano na Hamas ,karibu nusu ya waisrael huishia mahandakini,waogo kweli.
Nenda syria uone watu wanafight huku biashara zikiendelea.
Huwezi pima uwezo wa jeshi kwa nuclear,hiyo ni silaha ya maangamizi na haitumiwi ovyoovyo.
ili kurusha makombora mazito inahitaji nishati ya nyuklia?!!Naona tunabishana tu hizo vita za Syria sio Smart War ni vita Kama zile za zamani.
Waisrael kujificha kwenye mahandaki haimaanishi kua ni woga wanajua kujiokoa
Kuhusu Gaza ni Mara nyingi tu wanaingia na kuwafurumusha Hamasi.
Nishati ya Nyukilia ndio mujarabu hizo manoali baadhi zinatuma Nishati ya nyuklia na ili kurusha mabomu au makombora makubwa na mazito inaitajika Nishati ya nyuklia.
Hapo utaona Ubora wa dhana sasa.
Ujerumani na Us huko ndio kuna makandarasi wengi wa kiisrael.
wataalamu wa kijeshi hata wale wa magharibi wanaamini Israel haiwezi Iran kwa wakati huu. Ndio maana hata Obama ameionya Israel isijaribu kwenda vitani peke yake. Note: neno WAKATI HUU limetumika kumaanisha kuwa mabadiliko yanaweza kutokea.