wewe ndio umeanza kuharibu hii mada maswala ya dini pelekeni kwenye jukwaa la dini hizo ni fantasia hapa tunaongelea reality kinachoonekana unasukia wewe taifa teule taifa teule acheni mamb hayo nendea jukwaa la dini kuleNafikiri hulijui taifa la israeli, ki ukweli israel inaweza pigana na taifa lolote lile duniani bila ya msaada wowote kutoka kwa taifa lolote lile. Israel ni taifa teule na ni taifa la mungu
Nani anaye mtisha mwenzake kila siku Israel au Iran? Mimi navyo jua tokea 2008 Israel anasema ataipiga Iran, na Iran inamjibu sogea ukione naona Israel hasogei, hivi hapo we unaona nani anaye muogopa mwenzake?
Mkuu chief 1.Tayari nilishapatiwa majibu ya swali langu tena kwa lugha ya kiungwana na staha. Punguza ukali wa maneno!Acha uvivu wa kutafuta habari wewe nani kakwambia Iran ni waarabu? Hiyo lugha ya kiarabu wenyewe hata hawaijui bali wanajifunza km ilivyo mm na ww, jifunze kujisomea vitabu usilazimishe umbumbumbu Wairani ni Ilfansy sio Waarabu.
unajua kwamba pale boarder yapo majeshi ya UN?.Unaweza ukaweka Bango lakini si kufanya harakati zako katika maeneo hayo! Ifaamike kwamba Hizbolah ni kikundi tu kidogo ambacho hakina wanamgambo Zaidi ya 1o elufu pamoja na kua Iran Yuko nyuma ya Hizbolah lakin kwa miaka ya hivi karibuni kimedhoofika na ndio Maana Hilo bango Lao lasomeka We are coming. Wanajipanga tu na mikwara Yao mingi lakini Muisrael Yuko pale Tayari na kwa lolote na mtu yeyote! Ukitaka kujua mtafute Askari yeyote Yule wa Tanzania aliewahi kwenda kuhudumu chini ya umoja wa mataifa Lebanon akupe habari za Hawa Israel!
Hizbolah pamoja na Kiongozi wao wanaijua mziki wa Israel.
Israel hawawezi na wala hawatasubutu pale Iran sio mchezo hata USA anajua hayo.Iran itapigwa kwa namna yeyote Ile ata kupandikiza waasi Kama tuonavo katika haya mataifa ya kiarabu yaliotangulia na mbaya Zaidi Saudi Arabia na Uturuki na mataifa baadhi ya kiarabu hayawaungi mkono Iran Na Syria! Yani kwa kifupi hapo mashariki ya Kati ni Iran na Syria peke Yao ndio wanajijjua lakini haya mataifa mengine yamewageuki!
WeakLeak Ilifichua Siri utawala wa Saudia ukiiomba Israel iishambulie Iran! Haya mataifa mawili ni Mrusi tu ndio anawasaidia lakini wao Kama wao hawawezi kusimama wenyewe!
Tuko Hapa utaona Syria inaanguka then itakayofata ni Iran.
Na mbaya Zaidi Iran imezungukwa karibu pande zote na makambi makubwa ya kijeshi ya Us ambayo Israel anaweza akayatumia! Kuanzia Saudia Arabia, Iraq, Afghanistan, Jordan na Kuwait, Bahrain,Qatar,UAE,Oman,Turkumenstan na Uturuki. Kote huko. Kuna makambi makubwa ya kijeshi ya Us fatilia ujue undani! Yani Muirani ndio Mwenye kazi wenzake wako mstari wa mbele wa Mapambano Siku nyingi!
Muda ukifika utaona huo uvamizi!
kama iran atampiga muisrael basi Ukristo ni uwongo na kama akiifuta kwenye ramani ya dunia Ukristo ni uwongo mkubwa out of hapo Israel itampiga iran kama mgonjwa mahututi subirini tatizo waislam mmeweka udini mbele kuliko hali halisi hata kwa sadam na gadaf mlisema sn bt yale madege makubwamakubwa yny kaasi na teknolojia ya juu yalipoanza kazi wote kimya unajua bana hata mtoto mdogo ukimuuliza eti kati ya iran na Israel nani atapigwa jibu atakalokupa ni iran kubomolewa soon.
Na Israel anavyo waogopa Hazbullah mpaa anasema makombora yao ni ya nane kwa ukali duniani.unajua kwamba pale boarder yapo majeshi ya UN?.
Mabomu yaliyotegwa pale south lebanon yametegwa na hizb wenyewe na si israel.
Israel hawaikalii tena lebanon baada ya kuondolewa na hizb miaka ya 2000.
angalia ramani vizuri utagundua kua iran imapakana na russia hivyo ina guerentee ya supplyline iwapo kitanuka.Iran itapigwa kwa namna yeyote Ile ata kupandikiza waasi Kama tuonavo katika haya mataifa ya kiarabu yaliotangulia na mbaya Zaidi Saudi Arabia na Uturuki na mataifa baadhi ya kiarabu hayawaungi mkono Iran Na Syria! Yani kwa kifupi hapo mashariki ya Kati ni Iran na Syria peke Yao ndio wanajijjua lakini haya mataifa mengine yamewageuki!
WeakLeak Ilifichua Siri utawala wa Saudia ukiiomba Israel iishambulie Iran! Haya mataifa mawili ni Mrusi tu ndio anawasaidia lakini wao Kama wao hawawezi kusimama wenyewe!
Tuko Hapa utaona Syria inaanguka then itakayofata ni Iran.
Na mbaya Zaidi Iran imezungukwa karibu pande zote na makambi makubwa ya kijeshi ya Us ambayo Israel anaweza akayatumia! Kuanzia Saudia Arabia, Iraq, Afghanistan, Jordan na Kuwait, Bahrain,Qatar,UAE,Oman,Turkumenstan na Uturuki. Kote huko. Kuna makambi makubwa ya kijeshi ya Us fatilia ujue undani! Yani Muirani ndio Mwenye kazi wenzake wako mstari wa mbele wa Mapambano Siku nyingi!
Muda ukifika utaona huo uvamizi!
Wewe unaongelea ushabiki tu jeshi la umoja wa mataifa liko pale kwa maslahi Yao na unatakiwa ufahamu kua Askari wa kiisrael hawawezi kuzuiliwa na na Askari wa umoja wa mataifa iwapo wakiwa wanawafata Hao wanamgambo. Rejea jeshi la mzozo wa jeshi la Ujerumani lililoko pale linalolinda aman dhidi ya Israel. Tena Hawa wajerumani walikataa kulinda Amani upande wa nchi kavu wakachagua baharini! Lakini wameshindwa kabisa kuwazua makomndoo wa kiisrael wanapotaka kufanya harakati zao na hii ilipelekea Israel kukumbuka Ile vita ya Aldof Hitler na kutaka kuzichapa na vikosi vya Ujerumani.
Hizi silaha zilitumika Gaza na si Lebanon.
Kuna makosa yalifanyika katika Ramani ya vita dhidi ya Hizbolah hasa kwa waisrael kukisia kua Hao wanamgambo walikua chini ya 3000 kitu ambacho hakikua sahihi na ndio Maana Israel ikaongeza nguvu kubwa na kufanya mashambulizi kwa nguvu sana na kulizohofisha Hilo kundi!
Na Kama Hizbolah wako vizuri wajaribu sasaiv waone! Watapigwa sana mpaka Kiongozi wao watamkata Uko uamishoni na mafichoni anakoishi!
jamaa hivyo ndivyo anavyoamini.Kwani Waisrael (Wayahudi) ni Wakiristu !?
angalia ramani vizuri utagundua kua iran imapakana na russia hivyo ina guerentee ya supplyline iwapo kitanuka.
Ila ujue ikitokea hiyo vita dunia haitakua kama ilivyo sasa,ndo maana wamarekani wanasita kupiga sababu wanajua madhara yatakua makubwa sana.
Kama marekan taifa kubwa wamepelekwapelekwa na wachunga mbuzi wa afaghanstan kwa miaka kumi na wanawaacha kama walivyo kiasi cha kutaka mazungumzo na talban.
Na talban hawafiki hata elfu 20,piga picha iran kutakuaje.
hata ukifuatilia globofirepower report,iran wako na manowari nyingi kuzidi israel kiasi cha kupiga patrol mpaka bahari ya med,hindi,antlantic.Israel hawawezi na wala hawatasubutu pale Iran sio mchezo hata USA anajua hayo.
Iran unveils new long-distance attack drone | Israel.com
Pentagon Report: Iran Could Test an Intercontinental Ballistic Missile by 2015 - Defense Update - Military Technology & Defense News
Kweli tunabisha tu!unajua kwamba pale boarder yapo majeshi ya UN?.
Mabomu yaliyotegwa pale south lebanon yametegwa na hizb wenyewe na si israel.
Israel hawaikalii tena lebanon baada ya kuondolewa na hizb miaka ya 2000.
suala la uvamizi si walishalipanga kuwa lazima waziangushe nchi saba za kiislam ndani ya miaka 10.Iran itapigwa kwa namna yeyote Ile ata kupandikiza waasi Kama tuonavo katika haya mataifa ya kiarabu yaliotangulia na mbaya Zaidi Saudi Arabia na Uturuki na mataifa baadhi ya kiarabu hayawaungi mkono Iran Na Syria! Yani kwa kifupi hapo mashariki ya Kati ni Iran na Syria peke Yao ndio wanajijjua lakini haya mataifa mengine yamewageuki!
WeakLeak Ilifichua Siri utawala wa Saudia ukiiomba Israel iishambulie Iran! Haya mataifa mawili ni Mrusi tu ndio anawasaidia lakini wao Kama wao hawawezi kusimama wenyewe!
Tuko Hapa utaona Syria inaanguka then itakayofata ni Iran.
Na mbaya Zaidi Iran imezungukwa karibu pande zote na makambi makubwa ya kijeshi ya Us ambayo Israel anaweza akayatumia! Kuanzia Saudia Arabia, Iraq, Afghanistan, Jordan na Kuwait, Bahrain,Qatar,UAE,Oman,Turkumenstan na Uturuki. Kote huko. Kuna makambi makubwa ya kijeshi ya Us fatilia ujue undani! Yani Muirani ndio Mwenye kazi wenzake wako mstari wa mbele wa Mapambano Siku nyingi!
Muda ukifika utaona huo uvamizi!
angalia ramani vizuri utagundua kua iran imapakana na russia hivyo ina guerentee ya supplyline iwapo kitanuka.
Ila ujue ikitokea hiyo vita dunia haitakua kama ilivyo sasa,ndo maana wamarekani wanasita kupiga sababu wanajua madhara yatakua makubwa sana.
Kama marekan taifa kubwa wamepelekwapelekwa na wachunga mbuzi wa afaghanstan kwa miaka kumi na wanawaacha kama walivyo kiasi cha kutaka mazungumzo na talban.
Na talban hawafiki hata elfu 20,piga picha iran kutakuaje.
Jee ni kweli Israel anaweza kusimama peke yake kuipiga Iran?
Kumbe 2015 ndio wanaweza kujaribu hayo mabomu ya mabara! Sasa Hawa Waisrael wanayo ndani kabisaIsrael hawawezi na wala hawatasubutu pale Iran sio mchezo hata USA anajua hayo.
Iran unveils new long-distance attack drone | Israel.com
Pentagon Report: Iran Could Test an Intercontinental Ballistic Missile by 2015 - Defense Update - Military Technology & Defense News
suala la uvamizi si walishalipanga kuwa lazima waziangushe nchi saba za kiislam ndani ya miaka 10.
Irag,libya,syria,lebanon,iran,sudan,somalia.
Miaka kumi ilipita bila malengo yao kufikiwa.
Na kule walikofanikiwa ubao uliwageuka,mfano irag hivi sasa iko upande wa iran,ni kama vile walitwanga maji kwenye kinu.sasa sijui wataipiga tena au vipi.
Syria,asad amekomaa na tulisema hapa tangu mwanzo itakua ngumu watu wakabisha,leo ukweli umeonekana tuko mwaka wa tatu na hakuna dalili ya asad kuondoka.
Hata kule libya ,hawajafanikiwa sana,last time balozi wa marekani ameuawa hapo.
Haya mambo si rahisi kivile.