Wakuu... nisaidieni hapo kwenye rangi nyekundu. Ni kweli?
teh teh teh,
hivi watu kama ninyi huwa mnajiuliza katika kitabu chenu kitukufu manabii wote ni waisrael kasoro yule wakwenu tu.
Si na ndio hao hao walimkataa kuwa Yesu si Mungu?
Vipi tena awateue kuwa "taifa teule na ni taifa la mungu"?
Jee ni kweli Israel anaweza kusimama peke yake kuipiga Iran?
Taifa teule la Mungu kwa hio sisi mataifa mengine ni watu wa Shetani? Hizi imani zingine za kijinga sana ndio maana wakina Kiranga hawaamini kama kuna mungu, maana hilo taifa ndio mungu wenu alipigwa mpaka kuuwaa na hao hao alafu mungu huyo huyo akawapa cheo kuwa ni taifa lake, kwa hio mungu alifurahia kichapo ndio maana akawapa cheo kuwa ni taifa la mungu? Hizi imani zingi hadi uwe chizi ndio unaweza kuzifuata.Nafikiri hulijui taifa la israeli, ki ukweli israel inaweza pigana na taifa lolote lile duniani bila ya msaada wowote kutoka kwa taifa lolote lile. Israel ni taifa teule na ni taifa la mungu
Mkuu Israel hawasitisha (retreat) walimaliza vita kabisa (total withdrawal) baada ya jeshi la ardhini kupata kichapo cha karne kisha makomandoo wao wengi sana kuuliwa na barobaro wa Hizbullah. Halafu eti wanawezapigana na Iran wenyewe. Wajaribu waone. Hizbullah halikuwa jeshi la taifa ni militants lakini imewaamgamuza Israel mpaka jeshi la UN lilipelekwa kuweka buffer pale ili Hizbullah wasiichokoze tena Israel. Na kwa taarifa tu Israel ilitumia silaha za phosphorus ambazo haziruhusiwi kwa mujibu wa sheria za silaha za UN
Na hatubagui hata mmoja, wote tunawakubali na kuwafuata na wote walikuwa Waislaam !
Kwa Mwenye kupenda kuelewa na kukubali basi anaweza akakubali haya ulioandika Mkuu!
Hiyo ndo israel mbambe wa mashariki ya Kati na mataifa ya kiarabu!
Mkuu Hekimatele, hoja yangu imetokana na mtazamo wangu kuhusu hizi nchi mbili based on their geographical location, size, population na war strategy. Iran ina ukubwa wa 1,648 km2 na Popn. ya takribani watu Miliono 80. Israel in ukubwa wa 20, 770 km2 na Popn. ya watu milioni 8. Kwa akili ya kawaida nadhani unaweza kuona kwamba, kivita, hizi nchi mbili haziwiani hata kidogo.
Ukiangalia ramani hapo chini, utaona kwamba kutoka Israel mpaka Teheran, kuna umbali wa takriban kilometa 1500. Ili Israel aishambulia Iran na kutoa pigo takatifu, inabidi ndege zake zicross anga ya nchi kama 4, ambazo zote ni za Kiarabu. Sidhani kwamba hili ni jambo rahisi.
Technologically, Israel hana ndege za kivita zinazoweza kwenda km 1500 kupiga target (na kutoa pigotakatifu in order to destroy Iranians Nuclear facilities). Mwenye hizo ndege za ku refill ndege juu kwa juu ni Marekani, na mbaye kwa sasa hivi hayupo tayari kuanzisha vita nyingine ndani ya Ghuba ya Uajemi. Anajitayarisha kuondoka Iraq na Afghanistan.
On June 7th, 1981, Israel destroyed Iraq's Osirak Nuclear Plant, shambulio ambalo liliungwa mkono na Iran, ambaye alikuwa adui mkubwa wa Iraq kipindi hicho. Lakini shambulio hilo ndilo lilomfungua macho Iran. Sasa hivi Iranian Nuclear plants zote zipo Underground and scattered kiasi kwamba ni vigumu kwa Israel, peke yake kushambulia successfully six targets at once. Uncle Sam assistance is necessary, kama ikibidi kufanya hivyo, tena sana tu.
Most likely, shambulio lolote la Israel kwa Iran litazaa vita kati ya hawa wababe wawili. Na hapa tena Uncle Sam lazima aweke kifua. Maana yake ni kwamba, kwenye strategy za kivita, hauwezi kuziweka hizi nchi mbili kwenye ulingo moja. Its unrealistic. Kama Saddam Hussein angekuwa hai angetoa ushuhuda.
Vita vya Iraq/Iran vilichukua miaka karibia 8. Na pamoja na misaada aliyopata Iraq kutoka kwa U.S.A, Britain, Germany na France lakini Iraq alishindwa kuwin ile vita. Ni kama nilivyosema hapo mwanzo, size na population ni moja ya vigezo muhimu kwenye vita (TAFADHALI TUSIANGALIE CONGO).
Kwa sababu ya popn. size ya Iran (WATU MILIONI 80), kupoteza raia million kadha kwenye vita kwao sio big deal. Pengine hata kwa Israel itakuwa sio big deal, hosusani inapokuja kwenye suala la UTAIFA NA KUILINDA NCHI YAO.
Huu ni mtizamo wangu tu. Inawezekana nikawa wrong kwenye assessment zangu. Lakini kila ninapoangalia kasheshe ya Ghuba ya Uajemi, huwa nabaki mdomo wazi.
Kizazi cha Israel kimeanzishwa na Ishaq na kizazi cha warabu kimeanzishwa na Ismail, kwa tarifa yako prophet Abraham was not a Jew, he was around before Judaism.walikuwa waislamu? kwani Ukristo na uslamu upi ulimkuta mwenzie? na je muhamad aliukuta Ukristo au ulimkuta yeye maana ukisoma kitabu cha maisha ya mtume kuna ushahidi tosha kwamba muhamad aliukuta Ukristo na aliishi nao siku zote na aliuacha
Mkubwa take your time kusoma historia ya Iran kianzia mapinduzi ya 1979 then vita ya Iran na Iraq. Vile vile inaonekana hujui kuwa wa Iran sio waarabu. Swali jingine, unajua kilichowakuta waisrael kwenye ile vita na Hizbolah Lebanon? Try to find out from neutral sourses kwa nini walisitisha their ground invasion.
Story nyingi za kusadikika zimeingia kwa huu uzi hapa kama watu wana uhakika vile ilhari Israel mwenyewe bado anapelekeshwa puta na Palestine tu na Iran hajareveal uwezo wake wowote mahala popote currently otherwise hamna mwenye uhakika hapa.
Na habari za kusena Israel taifa la Mungu sijui haliwezi kupigwa ni ujomba/unazi
Hapa mwisho ndio ulipokosea! Binafsi naombea hii vita itokee ata Leo uone Iran itakavogongwa!Kizazi cha Israel kimeanzishwa na Ishaq na kizazi cha warabu kimeanzishwa na Ismail, kwa tarifa yako prophet Abraham was not a Jew, he was around before Judaism.
ANGALIA MIFANO MITATU HAPO YA JUDAISM, CHRISTIANITY NA ISLAM.
Judaism: Were all the prophets Jewish? No, though most of their prophets considered themselves Jews, their first prophet Abraham was not a Jew, he was around before Judaism officially exists, and one website about jewish prophets says, "A prophet is not necessarily a Jew" (jewfaq.org/prophet.htm) God sent prophet to gentiles as well... Is this a problem?? YES If Jews were the nation chosen by God and Judaism is the right religion under God why would God be sending messengers that weren't of his faith? Since Judaism is a religion with two dimensions (nationality and religion) one who is not part of the nation chosen by God is not a Jew, so why is God sending forth prophets from an unchosen nation? It doesn't make sense.
Christianity: Were all prophets Christian? NO, even Jesus(pbuh) himself wasn't a Christian (as Muslim we beleive he was Muslim), Christians beleive he was a Jew, even as a Christian I knew Jesus(pbuh) wasn't Christian. For anyone who's curious Jesus couldn't have been a Christian because a Christian is one who follows the teaching of Christ (Jesus pbuh) and beleives in his death and resurrection, so the only way Jesus could've been a Christian was after his death and resurrection, so if necessary I'll grant that Jesus was a Christian for a couple of days (once he was resurrected, according to Christian theology) And all the prophets before Jesus were not Christian. So Christians base their faith on prophets who weren't even of the same faith, they follow some rules from the old testament and others they ignore. It doesn't make much sense to have a religion where most prophets aren't even of that religion, does it??
Islam: are all prophets Muslim? YES!! This can be very hard for some to wrap their head around (even some Muslims). I mean didn't Islam only come into being in the 7th century? The answer is Yes and no, Muhammad (saw) brought the final revelation not the first, and certainly not the only. Though many people are correct in saying that the terms Islam and Muslim are rather recent, but just because one didn't use the same terms to identify something doesn't mean that it wasn't the same thing. For example I live in Quebec (a province in Canada) originally Quebec was called New France, then Lower Canada, and now Quebec, but it is still the same mass of land, still the same place so when we talk about history of Quebec we don't stop when it was called Lower Canada or New France, we go all the way back (even before that) and we recognize that even though it was functioning under a different name it was still Quebec. So we will do the same with Islam even though it wasn't called Islam it was the same religion, because it was the worshipping of a single God who is ONE.
Kuhusu swali la Israel na Iran, kama Israel inataka kupotea duniani kabla ya wakati wake ijaribu kuichokoza Iran.
Si na ndio hao hao walimkataa kuwa Yesu si Mungu?
Vipi tena awateue kuwa "taifa teule na ni taifa la mungu"?
Siongei mengi kama alivyo sema huyu Iranian envoy nazani msome na wewe.Hapa mwisho ndio ulipokosea! Binafsi naombea hii vita itokee ata Leo uone Iran itakavogongwa!
Siongei mengi kama alivyo sema huyu Iranian envoy nazani msome na wewe.
Iranian envoy advised Israeli Prime Minister Benjamin Netanyahu to avoid miscalculations regarding attacking Tehran."The Israeli prime minister had better not even think about attacking Iran, let alone planning for that," Khodadad Seifi, a deputy ambassador at Iran's UN mission, told the UN General Assembly.
The diplomat spoke immediately after Netanyahu in the assembly to condemn Netanyahus "extremely inflammatory" and "saber-rattling" remarks.
The diplomat said the Israeli PM should "seriously avoid miscalculation" in the showdown.
"Iran's centuries-old policy of non aggression must not be interpreted as its inability to defend itself.
"Unlike Israel, Iran did not and would not attack any country," he added in the right of reply statement.
Iran's opponents, such as Netanyahu, have accused Iran of leading a charm offensive. Seifi said: "A smile attack is better than military attack. And indeed a smile policy is much better than lying
Nani anaye mtisha mwenzake kila siku Israel au Iran? Mimi navyo jua tokea 2008 Israel anasema ataipiga Iran, na Iran inamjibu sogea ukione naona Israel hasogei, hivi hapo we unaona nani anaye muogopa mwenzake?Hapo Un Kila mmoja anaweza akasema awezavo. Tumkumbuke Hugo Chavez aliwahi kutoa maneno makali sana juu ya Bush.
Hilo liko wazi kua Iran haiiwezi Israel na ndio Maana Iran wanajitahidi sana kufanya upesi kuharakisha Ubora wa jeshi Lao!
Kizazi cha Israel kimeanzishwa na Ishaq na kizazi cha warabu kimeanzishwa na Ismail, kwa tarifa yako prophet Abraham was not a Jew, he was around before Judaism.