Mwendabure
JF-Expert Member
- Mar 10, 2011
- 2,138
- 1,045
Wakuu... nisaidieni hapo kwenye rangi nyekundu. Ni kweli?Mkubwa take your time kusoma historia ya Iran kianzia mapinduzi ya 1979 then vita ya Iran na Iraq. Vile vile inaonekana hujui kuwa wa Iran sio waarabu. Swali jingine, unajua kilichowakuta waisrael kwenye ile vita na Hizbolah Lebanon? Try to find out from neutral sourses kwa nini walisitisha their ground invasion.
Mkuu yaliyo tokea mwaka 1967 hayawezi kujitokeza tena, na Netanyahu akiendeleza ufedhuli wake wa kumdharau Baraka Obama na kutaka kuvuruga mazungumzo ya amani baina ya Merikani na IRAN kwa kutoa visingizio kibao kuhusu IRAN, basi ajue atajimaliza mwenyewe kisiasa na wala hana njia ya kujua vita itakwishaje kama akivianzisha! Netanyahu hasitegemee kwamba Merikani inaweza kutoa misaada kwa mtu ambaye ni jeuri na mpenda vita kama nini, akianzisha vita vya kijinga Mashariki ya kati atapata wakati mgumu sana. Netanyahu ni kiongozi erratic sana - atafakali mambo kwa kina unlike waziri wake wa ulizi Eliud Barak mwenye busara na maona mbali, bila ya Eliud Barak kuwepo kwenye baraza la mawaziri nchini Israel saa hizi Netanyahu ange piga mabomu IRAN na Syria bila ya kujali mtu yeyote, anacho sahau ni kwamba Iran sio Lebanon au Gaza, ajifunze kuishi na majirani zake kwa amani ahache kupora aridhi ya Waarabu na kuheshimu haki za binadamu wenzake, dunia itaendelea kupigana vita on behalf ya Waisrael mpaka lini?Nafikiri hulijui taifa la israeli, ki ukweli israel inaweza pigana na taifa lolote lile duniani bila ya msaada wowote kutoka kwa taifa lolote lile. Israel ni taifa teule na ni taifa la mungu
Mkuu yaliyo tokea mwaka 1967 hayawezi kujitokeza tena, na Netanyahu akiendeleza ufedhuli wake wa kumdharau Baraka Obama na kutaka kuvuruga mazungumzo ya amani baina ya Merikani na IRAN kwa kutoa visingizio kibao kuhusu IRAN, basi ajue atajimaliza mwenyewe kisiasa na wala hana njia ya kujua vita itakwishaje kama akivianzisha! Netanyahu hasitegemee kwamba Merikani inaweza kutoa misaada kwa mtu ambaye ni jeuri na mpenda vita kama nini, akianzisha vita vya kijinga Mashariki ya kati atapata wakati mgumu sana. Netanyahu ni kiongozi erratic sana - atafakali mambo kwa kina unlike waziri wake wa ulizi Eliud Barak mwenye busara na maona mbali, bila ya Eliud Barak kuwepo kwenye baraza la mawaziri nchini Israel saa hizi Netanyahu ange piga mabomu IRAN na Syria bila ya kujali mtu yeyote, anacho sahau ni kwamba Iran sio Lebanon au Gaza, ajifunze kuishi na majirani zake kwa amani ahache kupora aridhi ya Waarabu na kuheshimu haki za binadamu wenzake, dunia itaendelea kupigana vita on behalf ya Waisrael mpaka lini?
...
Taifa la Mungu? Nikumbushe,Kabila la "Mungu" huyu ni kabila lipi vile?
Israel inaweza peke yake, ila mnyamwezi anaihitaji sana Israel katika kuendesha mambo yake!Bila mnyamwezi pembeni, itakuwa Mission Impossible.
Well said mkuu, Uongozi wa Israel unao wakalia kooni Wairan una zaidi za mabom 200 ya Nuclear na mengine ya kemikali/Biolojia, alafu wao kama ilivyo kuwa Syria walikataa kujihunga na tahasisi inayo ratibu/kutaza matimizi ya WMD. Kinacho shangaza ni hizi tabia za kinafki za baadhi ya nchi zilizoendelea kufumbia macho uwepo wa silaha za mahangamizi nchini Israel, kama Dunia ina nia thabiti ya kumaliza ushindani wa kuhunda silaha za mahangamizi au ku-disarm wale ambao wanamiliki silaha hizo Mashariki ya kati, basi wakimaliza kuhangamiza silaha za Syria waende Israel na kuteketeza silaha za WMD nchini humo - lakini wakiendeleza stance zao za kuwa na double STANDARD kwenye burning issues inside Middle EAST basi Dunia ijiweke tayari for a Conflagration of a century Mashariki ya Kati. Jana nilishangazwa sana na uongo uliyo pitiliza wa Netanyahu, analeta adithi za kutunga eti Wana usalama wa Israel walimkamata jasusi wa IRAN akijitayarishi kulipua Ubalozi wa Merikani nchini Israel - anayasema haya kwa lengo la kuwakasirisha Wamerikani ili wa-derail maelewano yanayo anza kujengeka baina ya Iran na Merikani - Natenyahu hapendi kabisa maelewano hayo yajengeke, jamaa huyu ni hatari kweli kweli - kwa bahati nzuri Rais Obama amekwisha msoma sana kisaikolojia na kumjuwa Natenyahu kuwa ni kiongozi mnafiki na bellicose, Baraka Obama vile vile alijuwa kwamba Natenyahu alikuwa anamfanyia fitina Obama ili hasichaguliwe kwenye second term - I can assure you OBAMA will never 4give that guy.Eliud Barak,kias flan anaonekana ana busara sana,Lakini Benjamin Nyetanyahu kwa kauli zake zile za jana kwa kweli haoneshi kabisa kama atakuwa tayari kukubali mazungumzo yyte yale,maana anasisitiza SANCTIONS ziendelezwe zaid kwa Iran kama anaendelea na mpango wake ule wa nyhuklia,Netanyahu yeye msimamo wake ni kwamba Ahmed nijad na Rouhan wote ni wale wale tuh,wote wako loyal kwa Supreme leader ayatollah al khamenei,tofauti ni kwamba Nijad alkua chui alievaa haswa ngozi ya chui,ila Rouhan ni chui alievaa ngozi ya kondoo,kwaiyo asidhan kabisa kama jumuiya ya kimataifa itakubaliana nae,Lakin pia wachunguz na wachambuz wa habari wa kimataifa wanasema kwamba hata yeye Izrael anazo program za nyuklia tena kisiri siri na jumuiya ya kimataifa ina lifaham hilo,Kitu kilichovutia zaid ni pale balozi wa Iran kwenye U.N.G.A alipopewa nafasi na kujibu ya kwamba hakuna wa kuweza kuwapangia Iran jambo la kufanya katika mambo yao ya ndan na yanayohusu taifa lao,mpango wao wa nyuklia ni wa aman na sio wa kuzalisha WMD's kama anavosema israel,Obama inabid aliangalie hili kwa umakin sana,NETANYAHU ANA KIBURI KILICHOPITILIZA.
Iran kuna kipi kipya. Vita vikianza kupiganwa ndani ya mwezi tu mshindi kesha julikana. Hizi nchi za kiarabu kinachowaua ni technology ya mrusi ambayo wakipewa wanadhani wapo juu kumbe mrusi mwenyewe anawapa edition kiliyopitwa na wakati. Vita inamambo mengi sana. Ogopa sana sehemu ambayo mzungu anaweza kuingia na kuwagawa wananchi na serikali hapo utapigwa kiulaini tu. Vita ya Iran na Israel ndani ya mwezi tu inaisha then wanabaki waarabu wakiendelea kijilipua wenyewe kwa wenyewe tu.
Yeah_watu wengine wanaudhi sana mkuu,..mtu umeanzisha thread kwa maana nzuri tu_wenyewe wanadandia na kuanza kutukanana na kashfa juu ya imani za wengine..wakati zote hizo ni za kuletwa na wote tumekaririshwa tangia utotoni...mijitu inapenda kujipendekeza sana kwa mabwana zao waarabu na wayahudi wakati wenzao hata hawana habari nao...ni uji.nga tu
Anyway_miafrika ndio tulivyo..by Nyani Ngabu...JF member
Mkuu you have been brain washed, soma na fanya uchunguzi. Hakuna Israel bila Marekani. Israel ni mbwa wa marekani mashariki ya kati nothing more na si kweli kwamba anaweza kupigana na taifa lolote bila msaada wa Marekani.
Jee ni kweli Israel anaweza kusimama peke yake kuipiga Iran?
Ndugu unayosema ni kweli kabisa. Israel waliweza kumsulubu "Mungu" na kumtoa roho na kumpa umauti kwa siku tatu, mpaka pale "Mungu" alipofanya uungu wake na kujifufua na kuwapa wauaji wake hadhi ya "taifa teule". Unafikiri kuna kiumbe kinachoweza (taifa lisilo teule) linaloweza kupigana na Taifa lililomwadhibu Mungu?
"Mungu" baada ya kuadhibiwa na wababe hawa(Taifa la Israel) ilibidi awape hadhi maalum, hadhi ya uteule!
Taifa la Mungu? Nikumbushe,Kabila la "Mungu" huyu ni kabila lipi vile?
Mkuu yaliyo tokea mwaka 1967 hayawezi kujitokeza tena, na Netanyahu akiendeleza ufedhuli wake wa kumdharau Baraka Obama na kutaka kuvuruga mazungumzo ya amani baina ya Merikani na IRAN kwa kutoa visingizio kibao kuhusu IRAN, basi ajue atajimaliza mwenyewe kisiasa na wala hana njia ya kujua vita itakwishaje kama akivianzisha! Netanyahu hasitegemee kwamba Merikani inaweza kutoa misaada kwa mtu ambaye ni jeuri na mpenda vita kama nini, akianzisha vita vya kijinga Mashariki ya kati atapata wakati mgumu sana. Netanyahu ni kiongozi erratic sana - atafakali mambo kwa kina unlike waziri wake wa ulizi Eliud Barak mwenye busara na maona mbali, bila ya Eliud Barak kuwepo kwenye baraza la mawaziri nchini Israel saa hizi Netanyahu ange piga mabomu IRAN na Syria bila ya kujali mtu yeyote, anacho sahau ni kwamba Iran sio Lebanon au Gaza, ajifunze kuishi na majirani zake kwa amani ahache kupora aridhi ya Waarabu na kuheshimu haki za binadamu wenzake, dunia itaendelea kupigana vita on behalf ya Waisrael mpaka lini?
Mkuu yaliyo tokea mwaka 1967 hayawezi kujitokeza tena, na Netanyahu akiendeleza ufedhuli wake wa kumdharau Baraka Obama na kutaka kuvuruga mazungumzo ya amani baina ya Merikani na IRAN kwa kutoa visingizio kibao kuhusu IRAN, basi ajue atajimaliza mwenyewe kisiasa na wala hana njia ya kujua vita itakwishaje kama akivianzisha! Netanyahu hasitegemee kwamba Merikani inaweza kutoa misaada kwa mtu ambaye ni jeuri na mpenda vita kama nini, akianzisha vita vya kijinga Mashariki ya kati atapata wakati mgumu sana. Netanyahu ni kiongozi erratic sana - atafakali mambo kwa kina unlike waziri wake wa ulizi Eliud Barak mwenye busara na maona mbali, bila ya Eliud Barak kuwepo kwenye baraza la mawaziri nchini Israel saa hizi Netanyahu ange piga mabomu IRAN na Syria bila ya kujali mtu yeyote, anacho sahau ni kwamba Iran sio Lebanon au Gaza, ajifunze kuishi na majirani zake kwa amani ahache kupora aridhi ya Waarabu na kuheshimu haki za binadamu wenzake, dunia itaendelea kupigana vita on behalf ya Waisrael mpaka lini?
Mkuu kasome tena kuhusu vita vya mwaka 1973, kwa nini Golda Meyer aliomba msaada wa dhalula kutoka Merikani - Je Urusi ilimuonya kitu gani Kissinger na Rais wa Merikani aliye kuwa madarakani. That was in mid seventies i.e 4 decades ago - vije sasa hivi. Tukiweka maanani jeuri na dhalau ambazo Netanyahu anamfanyi Rais Baraka OBAMA behid his back!Vita zote Israeli imepigana bila msaada wa Marekani.Operation zote za ma-commando wa Israeli zimefanyika bila msaada wa Marekani, na hata bila kuwaarifu Marekani.Kumbuka vita vya 1967, na 1973.Kumbuka operation za 1976 (Uganda), 1981 (Iraq), 2006 (Syria), n.k.Upo hapo ??Marekani haijawahi kufanya operation kama za Israeli hata mara moja. Walijaribu Iran wakashindwa.In fact, bila Israeli, hakuna Marekani...!!!!