kwanini wakamkatae wakati injili imemtaja kama mwanawa daud?ametoka ukoo wa kifalme wa daudi au ndo kusema akina matayo labda waliongeza yao na wayahudi wakamuua baada ya kugundua hakuwa wa ukoo wa daud?Kumkataa Yesu ni pamoja na kuzikataa sifa zake ikiwemo yakufa Msalabani
Biblia inasema hivi katika kitabu cha Waebrania 9:22
Without shedding of blood there is no remission!
Nyie mnakataa kua Yesu hakufa sasa mtapata Vipi ondoleo la Dhambi?
Umejibu kitu kimoja tu Vipi Kuhusu Jina moja tu chini ya mbingu walopewa wanadamu kuokolewa kwalo?
Yesu ishafundisha kisa cha Nabii kutokukubalika kwao, Kwani ata sisi waswahili tunamsemo kua police hatishi nyumbani kwao!
Kwahiyo Waisrael kumkataa Messiah mi sioni ajabu Kwani wao walitegemea angekua mtu mkubwa sana tena Mwenye mamlaka lakini alitokea katika familia ya chini sana tena kwa Seremala!
Ata angetokea Leo Hapa Messiah wengi wangelimkataa! Na ata Leo kule Israel wako waisrael hawaamini Kama Messiah alishakuja! Wako wanamsubiri aje wanasema Yule sie!
Bora turudi kwenye mada yetu ila nilihamia huku kuweka mambo sawa kwasababu kuna Wenzako wamekua wanaandika tu wawezavo Kama wao kile wanachokiamini kiko sawa!
Lete hoja Mkuu. Israel kwa mashariki ya kati ni no 1 then Iran
Afterall joseph ndo alitoka ukoo wa daud na kama joseph hakua baba halisi wa yesu it only means yesu hakuwa mwana wa daudi wala simba wa yuda.
Hili halina ubishi..... ni vita kati ya Mungu wa kweli na shetwain!!! Jibu unalo
Anything can happen at the battle field kaka lakini sisi tunachoangalia katika medani za kivita ni mbinu za kukupa ushindi wa jumla. Kumbuka maana ya Yom Kippur, kwanini kipindi cha Yom Kippur alafu support from all around Arab world mwisho wa siku wote chali. Israel Shamir ni mtu mmoja kama wewe na aweza kua na mtizamo binafsi ambao hauna madhara hata kama yapo ni too late to the squad/battalion.
What did Israel get out of the Yom Kippur War?
Despite the initial successes of the Egyptian and Syrian forces, the war proved once again how effective the Israeli military could be. After the initial set-backs, the war served as a huge morale boost to Israelis. Despite a co-ordinated attack on two fronts, Israel had survived and had pushed back the nations that had initially broken through Israels defences.
The war served as a salutary lesson to the Arab nations that surrounded Israel in that initial victories had to be built on. The failure of the Egyptian and Syrian forces to defeat Israel pushed Sadat towards adopting a diplomatic approach.
ndivyo wenzetu wanavyoamini hivyo..mbaya zaidi waisrael wenyewe wamemkana yesu na ni marufuku kuhubiri injili huko israel.
Kitabu chao cha Talmud kinamsema yesu vibaya lakini hawa jamaa wanawaona mayahudi kama miungu kisa aya moja tu kwenya torati.
Sa kama unajua hii thread sio ya dini, yanini unaingia kwenye udini dini, sema huna ujanja hapo tumekunasa hufurukuti, msingize udini wakati Israel inatajwa tazama nani aliye anzisha udini kama sio mwenzunu aliyesema Israel ni taifa la Mungu.Sina muda wa kujadili mambo ya dini maana najua kila mtu ana Dini yake anayoiamini i have nothing to do with this.
Israel alone haina nguvu...IDF yote ni ya wamarekani na si vinginevyo.
Hivi we mzima kweli? Unadhani kuwa katika Jamii forum mda mrefu ndo unanizidi akili au unanizidi kitu.Join Date : 2nd October 2013
Posts : 38
Rep Power : 308
Likes Received
4
Likes Given
5
Kumbe tulikuwa tunahangaishwa na watu wa namna hii ndiyo maana kila ukimwelewesha haelewi sasa sioni taabu maana nimeshajua ni mtu wa namna gani.
kwanini wakamkatae wakati injili imemtaja kama mwanawa daud?ametoka ukoo wa kifalme wa daudi au ndo kusema akina matayo labda waliongeza yao na wayahudi wakamuua baada ya kugundua hakuwa wa ukoo wa daud?
Afterall joseph ndo alitoka ukoo wa daud na kama joseph hakua baba halisi wa yesu it only means yesu hakuwa mwana wa daudi wala simba wa yuda.
Hivo ndio mnavo kalilishwa kua. Akina Mathayo waliweka na Yao! Uhalisi wa kitabu chenu Uko kwenye nini?
Alafu jaribu kua muelewa Nimetoa fafanuzi juu ya waisrael sasa Umekuja na Swali tena!
mh,jf hadi gamboshi?simu,laptop unachargea wapi?Adiosamigo:
Elungata:
Rafiki zangu tangu mada hii ianze tumejadili sana!
Nawakaribisha kwetu Gamboshi mpande Fisi!
We unajua sababu gani Syria akakubali kuzidestroy chemical weapons?Israel wana silaha za nuclear, Iran hawana kwa sasa, kwa hiyo ni dhahiri Iran hamuwezi Israel, kwa sasa.
mh,jf hadi gamboshi?simu,laptop unachargea wapi?
Mtoa mada aliuliza hivyo alijua wazi Israel hawezi kwenda bila USA, Mimi navyo ona Iran anaweza kwenda kuishambulia Israel bila msada wa adui yake USA au marafiki zake wowote wale.
Sababu ni nyingi sana na nimekueleza sababu chache.
Kumbuka Iran yuko katika sunction miaka na anauwezo wa kutengeneza ndege, na kuendelza nchi yake usisikie western na propoganda zao, kumbuka pia Syria anapewa msada na Iran wakipesa na silaha. Iran bado wako kwenye sunction, mwenye akili angeisha fahamu wazi Iran si lele mama.
Mimi last year nilienda Iran na kwa kweli nchi yao iko mbali sana kimaendeleo, sio wewe hata hujui Iran iko vipi.
Siku Israel atawekewa sunction basi ujuwe miaka miwili tu Israel inakufa kabisa.
Afu lazima ujuwe western media zote ni pro Israel lazima waiponde Iran kama wana njaa au hawana uwezo wakuwashinda Israel hizo ndo zao, wanapenda sana kuwatukuza Israel wakati hawana kitu.
basi kumbe kumeendelea kipindi natoka pande hizo umeme haukuwepo ulikua unaishia somanda.na kwa njia ya kwenda ngulyati ulikua unaishia pale mnadani bariadi.We umesahau kua Mh Kikwete na Obama wametulete Umeme mpaka vijijini?!
Njoo upande FISI bhana!
Umeme umeletwa na Obama bhana sio Iran!
Teh, teh, teh teh! Ngoja nisubiri majibu ya mstari wangu huo wa mwisho kutoka kwako!
jibu ni NDIYO
We USA mpaa ka surender kamua kukubali kuzungumza nao, mana wamewapiga sunction we mpaa wamechoka. Wanaona jamaa ndo wanapiga tu hatua, ukiskia western media utasema Iran masikini kweli, tazama hi tube uone kama kwenye western media wanaweza iweka, watakacho weka ni wa Iran wanalalamika wananjaa au watafute sehemu mchoko mchoko wakatu hata USA zipo kama hizo lakini hawazitoi kwenye media zao.Lakini kweli bhana,kuna fedha za kibajeti tena mabilioni hupewa Taifa la Israel na Marekani kugharamia jeshi sawa na msaada ambao Misri hupewa kugharimia jeshi. Sasa ukiona unapewa vikwazo ni kukudhoofisha, nadhan hawa Wairan ni majembe hawa,vikwazo kwa miaka yote hii bado wako stable. Vikwazo kama hivi angepewa Israel kwa muda mrefu hivi ingekuwa kwisha. Ni kweli Israel yuko poa kijeshi ila ana sapoti kubwa ya kimawazo, mbinu na hata technically toka nchi za Magharibi, never hasimami peke yake labda kwa vikundi na kanchi kama Palestina
hapa kuna vita ya kidini. Wakristo wanawasifia waizilaeri wakati waisilamu wanawasifia waarabu
ni wachache tunaoweza kutambua kitu kama hiki
Hivi Israel ni wakristo.