ISRAEL v/s IRAN.

Status
Not open for further replies.
usilopoketu! Thibitisha kwa vigezo, usiseme ulicho kalilishwa wewe!.
Kwa tarifa yako wa Israel ni taifa lilo laniwa na Mungu na Quran ndo inasema vile.

Sababu wao walikuwa wakipendwa sana na Mungu lakini wakawa na kufuru na mara nyingi walikuwa wakiwauwa mitume wa Mungu, na mmoja wapo Yesu walitaka kumuwa lakini akapaishwa na Mungu.
 
 
 

kwa hiyo wewe unasoma?
 
 
hapa kuna vita ya kidini. Wakristo wanawasifia waizilaeri wakati waisilamu wanawasifia waarabu
ni wachache tunaoweza kutambua kitu kama hiki
 
 
 
Nitakuja kuweka sawa na Hilo swala la Uungu wa Yesu muda mwingine! Maana naelewa kua hiyo ndio hoja yenu ya msingi!
Yesu kama ni Mungu mbona anaitwa Yesu, si angeitwa Mungu tu.


Wacha kuota, hakuna kiumbe aliye muona Mungu, ikiwa Prophet Adam hajamuona Mungu, aje Yesu amuone na wakati Yesu katokea kwa Adam.

Rudi kwenye mada, usisumbuke kumiza kichwa chako Israel si taifa la Mungu wala Yesu si Mungu.
 
Wewe umesema kweli kabisa maana wengine tumejitahidi sana kuwamrikia watu waone ukweli kumbe kuna watu wamepofushwa na DINI zao,Mtoa mada yeye aliuliza swali zuri sana hakutaja Yesu wala Mtume yeyote wala Mungu hajamtaja lakini wafia DINI Wameigeuza mada hii kuwa ya Kidini acha tuangalie Kristo na Islam nani ataibuka Mshindi.
hapa kuna vita ya kidini. Wakristo wanawasifia waizilaeri wakati waisilamu wanawasifia waarabu
ni wachache tunaoweza kutambua kitu kama hiki
 
kwahiyo wewe humuamini shamir wakati alikua frontline unaamini nani na kwa vigezo gani?
 

Hili halina ubishi..... ni vita kati ya Mungu wa kweli na shetwain!!! Jibu unalo
 
rudia upya orodha ya nchi zilizopigana vita vya mwaka 67,pia utilie maanani kipindi hicho hao jamaa walikua hawajakua hata na uchumi wa mafuta.

Mfano mdogo tu marekani hawawezi ruhusu mfano israel kuipiga atomic saud kwani uchumi wa marekani unategemea petrodollar,kitendo ambacho chaweza angusha uchumi wa marekani.
Israel kuishambulia iran,yataka wawe na uwezo wa kuproject power kwamaana ya kufikisha vikosi vyao iran na kuweza kusecure hiyo nchi kitu ambacho ni ngumu.ili kufika iran inabidi wavuke anga la ama irag au saud ,hadi mda huo wairan watakuwa tayari washafyatua makombora kuelekea israel.
Israel ni ndogo sana kiasi kuwa concetration ya makombora kama 1000 tu ya ballistic yanatosha kuiharibu israel.
Kwahiyo uwezekano wa kufight bila msaada wa marekani haipo.
Wanaweza kufanya surgical attack lakini hii itategemea element of suprise kuweza kupenya anga la iran ambao wana kila aina ya homemade air defence system hivyo casualt itakua so high hasa kama iran watajibu mapigo.iran ni kubwa sana,kombora hata tano za atomic hazitoshi kuiteketeza wakati israel ni ndogo sana kiasi kwamba hata cornvetional weapons zinatosha kuiharibu.
 
Hivi Israel ni wakristo.
ndivyo wenzetu wanavyoamini hivyo..mbaya zaidi waisrael wenyewe wamemkana yesu na ni marufuku kuhubiri injili huko israel.

Kitabu chao cha Talmud kinamsema yesu vibaya lakini hawa jamaa wanawaona mayahudi kama miungu kisa aya moja tu kwenya torati.
 


Rafiki Yangu umeliona jina moja tu chini ya jua wanadamu wapaswalo kuokolewa? Umeona mnavomkataa Yesu na Kifo chake?
Ntarudi kukupa majibu juu ya Mungu anakufa? Na Hilo la Uungu wa wa Yesu na Pia Mimi naongeza na jingine la Uumbaji!
Kuna habari nazifanyia kazi hizi za Hizbolah kumiliki Drone pamoja na kuirusha katika maeneo nyeti ya Israel....! Hii habari siiamini vile!
 
hapa kuna vita ya kidini. Wakristo wanawasifia waizilaeri wakati waisilamu wanawasifia waarabu
ni wachache tunaoweza kutambua kitu kama hiki

Wacha upotoshaji, Qur'an inatuambia tumeumbwa makabila na maytaifa oli tujuane tu, na hakuna mbora ila yule mchaji !
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…