Israel siyo taifa teule

Israel siyo taifa teule

Haukuwa na haja ya kutumia reference ya Biblia , kama huamini kuwa Israel Ni taifa teule. Maana Biblia ndo inaonyesha kuwa Israel Ni taifa teule, Asilimia kubwa kuanzia Mwanzo Hadi cha mwisho inaelezea taifa la Israeli Inaonyesha Mungu ndiye aliamua na aliyelichagua liwe taifa teule.
Mukusudi na njia za Mungu huwezi kuzielewa kisiasa na kidini,
Matendo yao hayaondoi uteule wao, Ni sawa mtoto wako akivuta bangi au akikukosoe anabaki kuwa mtoto wako ila hukumu na adhabu ndo utaamua umpe ya namna gani,
Basi Kama unataka kuungana nao kuwa myahud Kuna makanisa yao hapola iringa karibu mkuu, hivi alieiba baraka za kakayake kisa kupendwa na mama ni mteule kwa mungu, Alie mnyima Kaka yake chakula alipotoka mawindoni nae ni Bora et
 
Mwaka 1967,nchi sita zilichakazwa vibaya mno iwe leo?. Mkono wa Yehova uko juu yao, na macho yake huwatazama.
Hata vita vya Maji maji waliwacharaza Germany 1960 huko sasa sijui wanaweza tena itabidi tuwakumbushe wa German sisi ni nani.
 
Ukisoma history mayahudi wengi hata waarabu mayahudi wengi sana hasa nchi ya Moroco na Yemen wako wengi wengine Ethiopia sasa sielewi hapa tukiongelea Israel tunaongelea taifa au Judaism maana kuna 1.8 million wa Israel waarabu ndani ya nchi ya Israel lakini sio mayahudi. Kama tunaongea Israel wateule basi kuna waarabu pia wa israel mpaka bungeni wapo hawa kina Ehud baraka ni wa wayahudi wa Iraq. ila kama dini ya Jews yesu wamemkataa kabisa hakuna nabii.
Historically, some Jewish writers and scholars have considered Jesus as the most damaging "false prophet,"[5] and traditional views of Jesus have been mostly negative, though influential Jewish scholars of the Middle Ages including Judah Halevi and Maimonides viewed Jesus as an important preparatory figure for a future universal ethical monotheism of the Messianic Age. Some modern Jewish thinkers starting in the 18th century with the Orthodox Jacob Emden and the reformer Moses Mendelssohn have sympathetically speculated that the historical Jesus may have been closer to Judaism than either the Gospels or traditional Jewish accounts would indicate, a view that is still espoused by some.

Judaism has never accepted any of the claimed fulfilments of prophecy that Christianity attributes to Jesus.
 
mtego ni ule ule tangu enzi za yesu, uteule wa israel unakuja kwenye mambo ya dini tu na sio serikali, yesu alipokuja wayahudi waliamini ndiye atakayekuwa waziri mkuu wako, kumbe yeye alikuwa na mipnago mingine kabisa
 
Tena naongezea hapa UYAHUDI ni UKAFIRI na ni USHIRIKINA kadhalika.

Soma sura ya tisa katika Qur'aan aya ya 30 mpaka 33.

Kadhalila UKADIANI nao siyo UISLAMU.


Hapa umeulizwa juu ya Uyahudi sasa huo Ukadiani na Ubaniani wako nani kakuuliza ???!!
 
Hapa umeulizwa juu ya Uyahudi sasa huo Ukadiani na Ubaniani wako nani kakuuliza ???!!
Nimeweka ziada juu ya Ukadiani.

Ulivyo uliza swali lako kuhusu Ukafiri wa Mayahudi,nikajiuliza ina maana husomi Qur'aan ? Ila nikahitimisha sababu wewe ni Kadiani ndiyo maana umeuliza swali hilo.
 
Ukisema kuwa Israeli sio taifa teule kea kigezo hicho ni ujinga wa biblia na elimu ya Mungu. Mungu wetu ni mwenye Huruma Ndio lakini Mungu Hana Huruma lakini upendo wake kwetu ni mkuu haina kifani.

Israeli nibtaifa teule kea mujibu wa biblia. Hivi ulitaka taifa teule waishi kama kondoo? Au wasitende dhambi? Mwanadamu yeyote aliyechini ya jua anatenda dhambi. Israeli pia, anatenda dhambi. Lakini hiyo haiondoi kuwa taifa teule. Israeli pia Wana. Adhabu yao siku ya mwisho kama wanadamu wengine. Na matendo yapo yamewekwa wazi lakini wao si kama sie.
Nyie ndio mnawatukuza hao jamaa na kuwahusudu,mbona humu zipo thread nyingi zinawazungumzia
 
Nimeweka ziada juu ya Ukadiani.

Ulivyo uliza swali lako kuhusu Ukafiri wa Mayahudi,nikajiuliza ina maana husomi Qur'aan ? Ila nikahitimisha sababu wewe ni Kadiani ndiyo maana umeuliza swali hilo.


Wewe sio Muisilamu na kama ni Muisilamu basi utakuwa Muisilamu jina, na unasoma Qur'an kibubusa tu.

Hebu soma hiyo aya:-

Screenshot_20210517-131353.png
 
Wewe sio Muisilamu na kama ni Muisilamu basi utakuwa Muisilamu jina, na unasoma Qur'an kibubusa tu.

Hebu soma hiyo aya:-

View attachment 1788263
Sasa hoja yako hapo iko wapi ? Kwani mtume hii aya ameifasiri vipi ? Mirza Gulamu Allau amlaani yeye amefasiri vipi hii aya. Maana aya iko wazi.

Kama wangekuwa Mayahudi na Wakristo na Wasabii wameamini aya isinge sema " ...na wakristo,walio muamini..." maana yake ni miongoni mwa walio muamini Allah,sababu Mayahudi katika maana husemwa ni wale Watu ambao nabii Mussa alitumwa kwao.
 
Akili yako ina funza.
Mkuu vumilia tu!Vijana wengi humu wanasubiri post za A'level na vyuo vya Nacte.Hao jamaa Wana hatari wakikutana na thread.Kama uhamini subiri post zitoke utakuta thread zao jukwaa la Edu Kule wakiuliza kuhusu kupata chuo sijui shule gani ipo wapi n.k pia wengine wameimaliza mtihani juzi na wengine wanaendelea hapa inahitaji uvumilivu bila hivyo utatukana kumbe unamtukana mwanafunzi wako.
 
ISRAEL SIO TAIFA TEULE

Natumaini mu wazima wote.

Leo tena natumia haki yangu ya kikatiba kutoa maoni yangu kwenye mambo mbalimbali. Leo nyundo yangu itagonga kwenye hii kauli kwamba Israel ni taifa teule na atakayeilaani Israel naye atalaaniwa pia atakaeibariki naye atabarikiwa. Ila kwanza nitoe pongezi zangu kwa Mama Samia Suluhu Hassan kuwa Rais wa nchi yetu. Ninafurahishwa pia kwa hatua kadhaa anazochukua ili kuweka mambo sawa. Kumsimamisha kazi fedhuli Sabaya ni jambo lililonifurahisha kuliko yote yaliyowahi kufanywa na marais wa nchi hii.

Ndugu Sabaya ni mfano halisi wa mtu katili.. wengi wetu ni wahanga wa ukatili wake. Kwa asiyeelewa vizuri kiwango cha ukatili wa Sabaya akatazame movie ya Idd Amin ili kujua kiasi cha ukatili kwasababu hakipishani sana na kina Idd Amin na Malyamungu. Lakini sijafurahi Mheshimiwa Polepole kutolewa kwenye uenezi CCM. Ali-fit sana pale. Anyway, CCM ni kubwa kuliko mtu. Kidumu chama cha mapinduzi! Zidumu fikra za mwenyekiti.

"ISRAEL NI TAIFA TEULE" ni kauli maarufu sana kwenye vinywa vya waumini wengi wa dini ya kikristo. Mimi ni mkristo na ninaamini katika biblia na pia naamini Yesu Kristo ndo masihi aliyetumwa afe kwa ajili yetu tupate kuokoka. Lakini ninapinga kwa nguvu zote kwamba Israel ni taifa teule kwamba atakayalilaani atalaaniwa na atakayelibariki atabarikiwa. Kwangu mimi ni upumbavu uliotukuka kuamini hivyo. Msingi wa hoja ya wakristo wengi katika hili upo kwenye biblia kitabu cha Mwanzo.

Kuna wakati Mungu alimbariki Ibrahim na Yakobo (Israel) na kuwaahidi atabariki hadi vizazi vyao. Hili ni sawa kwasababu Mungu ni mwema na mwenye upendo na hubariki watu wake. Kila binadamu anapozaliwa hupata zawadi ya kipaji fulani kutoka kwa Mungu. Kila mmoja wetu ana kipaji chake. Na ukimcha Mungu hukupa zawadi nyingi zaidi. Kwa kusema hivyo ni kwamba Yakobo ambaye baada ya kupata baraka zake alibadilishwa jina na kuitwa Israel alipata baraka zake kama ilivyo binadamu wote.

Pamoja na baraka za Mungu bado haitufanyi tuwe wateule na wengine wasiwe wateule. Mungu hutupa baraka zake bila kujali kama tutakuja kukiuka maagizo yake au la. Kwahiyo nje ya baraka kuna maisha mengine yanaendelea. Waisrael hawana uteule wowote ni kama walivyo watanzania, wacongo au taifa lolote lile. Ninaandika haya kwa uchungu mno kwasababu ya matendo maovu wanayoyafanya dhidi ya wapalestina halafu mpuuzi mmoja anatetea kwa kusema ni taifa teule.

Hawa viumbe hawana uteule wowote ule. Kwanza kihistoria ni watu wa kutangatanga sana matokeo yake wakajikuta "hawana kwao". Biblia inaonyesha kwamba baba wa Israel aliyekuwa akijulikana kama Yakobo mwanzoni alitenda dhambi ya uongo kwa kuchukua baraka za mzaliwa wa kwanza kihuni ambapo baada ya lile tukio huyu mtu alikuwa wa kutangatanga hadi leo hii. Na kama Israel ni taifa teule ikawaje wakaachwa watawaliwe na warumi na hata karne iliyopita walichomwa moto kikatili na Adolf Hitler. Nimalizie kwa kusema kwamba kinachoendelea GAZA ni ushetani uliovuka mipaka yote ya kistaarabu na wa kulaaniwa.

Haiwezekani wapumbavu fulani katika kivuli cha ukristo wakawa na utetezi dhaifu kwamba taifa teule lina haki ya kuua watu kama nzige kisa mwasisi wao kuna kipindi alibarikiwa. Mungu wetu ni wa upendo na asihusishwe na unyama unaofanywa na wayahudi. Pia wakristo wenye kiherehere cha kuwatetea wayahudi watambue hao ndo walimuua Yesu kikatili.

Pilato aliyekuwa hakimu alitaka kutumia nafasi ya kusamehe mfungwa mmoja ili Yesu asalimike ila hao "Taifa teule" wakaona bora jambazi Baraba aachiwe ili Yesu asulubiwe. Na "taifa teule" sio wakristo hivyo hata wenyewe wanashangaa baadhi yetu tunavyoshoboka.

Maneno mengi lakina porojo tupu
 
Back
Top Bottom