Israel ni Dhulumat

Israel ni Dhulumat

usiambini

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2013
Posts
627
Reaction score
558
Dhulumat
FB_IMG_1621426570891.jpg
 
Mwana wa mjakazi hawezi rithi pamoja na Mwana wa ahadi. Baba Abraham aliambiwa fukuza huyo, na alimfukuza kwenye hiyo ardhi.
 
Bokoharamu,ISS,al shabab,kongo na ccm nchini mwako umefumbia macho
 
Iran na wote muungane na kuamua kieleweke, muelekeze makombora Israel halafu tuone ngoma itaavyonoga. Hamna haja ya haya makelele kila siku hadi huku Afrika Waajemi weusi.
 
Hilo ni eneo lao tangu enzi za Musa halafu anakuja mtu kashiba zake eti eneo la wapalestina,inaudhi sana.
 
Back
Top Bottom