Yesu mwenyewe ni myahudi,na wayahudi sio kwamba walimchukia yesu ndio maana wakamsulubisha la!walimpenda sana na kwny mafundisho yake walikua wanajaa na kupokea miujiza na uponyaji,ila neno lilikua lazima litimie kama ilivyotabiriwa na manabii kua atazaliwa,atateswa mpaka kufa na siku ya tatu atafufuka,na ndio maana baada ya kumtesa na alipokufa tu watesaji ufahamu uliwarudia na wakakiri hakika huyu alikua mwana wa mungu!kwa hiyo neno lilikua lazima litimie!umeskia we mleta mada unaejifanya mkiristo alkaida unataka kupotosha watu,wakristo imani yetu si haba na hua hatubabaishwi kirahisi!poor you!
yeye hatawapiga waislamu na wakristo ni kuwa yeye anajenga mazingira na miundo mbinu ya hizi dini mbili kuja kutwangana.Mkuu mkada Naomba nijibu haya Maswali Yangu!
Mkuu ntuzu,jaribu kumsoma Albert pike and his worldwar 3 prophecy.
Uislamu na ukristo utaingia vitani pale dome of the rock ule msikiti ulioko jerusalem ukivunjwa.inasemakana jeshi la askari kama milioni 200 litavuka mto frat kuja kupambana jerusalem na hapo ndo mwanzo wa vita kuu kati ya waislamu na wakristo ambayo imedizaniwa ili kuzimaliza nguvu dini hizo mbili.
Watapigana mpaka kila upande utakua hoi kila kitu duniani kitakua kimeharibiwa na mabilioni kufa.baada ya hapo ndo wazee wa new world order ambao waanzilishi ndo hao waisrael wa ukoo wa rothchild watasimika a one world government na kwakua watu watakua wamechoshwa na machafuko wataipokea serikali moja kwa mikono miwili.
Kumbuka hapo idadi ya watu duniani itakua imepungua hadi atleast kufikia watu milioni 500 tu,juu katika vita silaha za maangamizi zitatumika na kuchangia kupunguza idadi ya watu.
Mkuu mkada Naomba nijibu haya Maswali Yangu!
Mkuu hulka ya binadamu ni ubabe na kutaka kutawala wenzie,,kuna binadamu wanajiona wenyewe ndo bora kuliko wengine,mawazo yao,dini yao,tamaduni zao ni bora kuliko zingine na wanataka wote tuwaabudu na kuwasiliza huku wakicontrol uchumi, rasilimali na siasa.Ndio maana watu wanaingia vitani Mkuu.Hakuna lingine,,walikuwepo warumi, na sasa wamarekani na wataendelea kuja,,Jiulize baada ya vita ya iraq Mmarekani anafanya nini sasa,,si biashara ya mafuta yote yeye ni muamuzi.
.
.
.
ila neno lilikua lazima litimie kama ilivyotabiriwa na manabii kua atazaliwa,atateswa mpaka kufa na siku ya tatu atafufuka
...., wakristo imani yetu si haba na hua hatubabaishwi kirahisi!poor you!
na kumbuka pia kuwa baada ya hiyo vita kuisha huo ndo utakuwa mwanzo wa utawala wa mpinga kiristo(New world order),,na baada ya hapo ni juhudi zako tu kusurvive chini ya huo utawala manake life style ya Lucifer nafikiri unayafahamu na maana ya utawala wa no 666.
Mkuu nahisi Km umenijibu nusu vile! Kwa maana hiyo Wamarekani ndio watakaoisukuma Hii kitu au vp?
Maana Nataka kujua wakipigwa wakristo na sijui ni wakristo gani Hawa Yani wale Wa kweli na wale Wa uongo na Waislam ndio watatawala Dunia! Sasa baada ya kutawala Dunia kutakua na nini? Au hizi ibada zetu zitapigwa marufuku? Na tutakua tunaabudu nini?
Hivi ndio navyotaka kujua!
ni kuwa mpaka sasa kuna watu hasa hawa mahardliner wanafanya juu chini kutimiza unabii ili mwana wa adamu aje.sasa kama ujuavyo wanaamini mwana wa adamu hawezi kuja bila kutokea vita kuu na pia pajengwe hekalu la mfalme solomon mahala ambapo sasa upo huo msikiti mkubwa wa al aqsa.hii kitu wametohoa kwenye Ufunuo wa Yohana, Yohana hakuongelea Waislamu hata kidogo.
Jadili hoja! usimjadili mtoa hoja, alichokisema ndio ukweli wenyewe, wayahudi hawatambui Uungu wa yesu,wakimaliza kuwatwanga waislam watawageukia wakristo,
Kwahiyo Hii vita itakua dhidi ya wakristo Na Waislam pale mashariki ya Kati na si Kati ya Wamarekani(uasi) dhidi ya ibada ya kweli(some of Christians) na Waislam?
Mkuu kuna watu wanaitwa Rothschild Family, nakushauri uwa google na kuwasoma hawa ndio wanaoiendesha hii dunia, ndio waliosababisha vita ya kwanza na ya pili ya dunia,na ndio wataoleta vita ya tatu ya dunia.Vita ya kwanza na ya pili waliileta ili kutekeleza Zionism movement yaani kuwarudisha Waisrael middle east baada ya kuwa wametawanyika na kuteseka sana huko nchi za ulaya.Na hao ndio wanakaokuja kuitawala dunia baada ya vita ya tatu ya dunia,,wenyewe wanaitwa King Makers,,huwezi kuwa Rais Marekani au nchi za Ulaya au Israel kama wenyewe hawajaamua.Ndio wanaotaka kutawala hii dunia,,Hao ni wayahudi.
Kuna tofauti kubwa kati ya taifa (watu wa Israel) na serikali ya Israel. Taifa la Israel ni lile linalotajwa kwenye Biblia na serikali ya Israeli ni hii ambayo tunayo sasa. Ikumbukwe oia Ariel Sharon ni mtuhumiwa wa mauaji ya watu wasio na hatia na alishatolewa hati ya kukamatwa. Kwa miaka mingi alikuwa ameshindwa kuja Ulaya ambapo hati hiyo ilitolewa Belgium.
Kwa habari zadi soma hapa:
Indicted for Genocide, Sharon Could Face Trial in late June
Five Numbers That Suggest Ariel Sharon Was A War Criminal | Mehdi Hasan
Sami Michael: Israel Most racist state in the industrialized world | +972 Magazine
Christians Discriminated Against by Israel
Kuna tofauti kubwa kati ya taifa (watu wa Israel) na serikali ya Israel. Taifa la Israel ni lile linalotajwa kwenye Biblia na serikali ya Israeli ni hii ambayo tunayo sasa. Ikumbukwe oia Ariel Sharon ni mtuhumiwa wa mauaji ya watu wasio na hatia na alishatolewa hati ya kukamatwa. Kwa miaka mingi alikuwa ameshindwa kuja Ulaya ambapo hati hiyo ilitolewa Belgium.
Kwa habari zadi soma hapa:
Indicted for Genocide, Sharon Could Face Trial in late June
Five Numbers That Suggest Ariel Sharon Was A War Criminal | Mehdi Hasan
Sami Michael: ‘Israel – Most racist state in the industrialized world' | +972 Magazine
Christians Discriminated Against by Israel
Mkuu unaweza ukaniona msumbufu kwa Maswali yangu! Lkn Mimi Nataka kufahamu undani Zaidi!
Ok hiyo familia ina Imani gani? Maana ninachohisi hapa ni Km shetani anatupiga chenga maana unaweza ukaambiwa kua ni familia fulani kumbe ni Imani Fulani! Km tunavyoambiwa Mara Masonic Mara mpinga Kristo! Kwahiyo nilitaka kujua Hasa Masonic wako na mafungamano na Imani gani? Au hiyo familia iko na mafungamano na Imani gani?
ni kuwa mpaka sasa kuna watu hasa hawa mahardliner wanafanya juu chini kutimiza unabii ili mwana wa adamu aje.sasa kama ujuavyo wanaamini mwana wa adamu hawezi kuja bila kutokea vita kuu na pia pajengwe hekalu la mfalme solomon mahala ambapo sasa upo huo msikiti mkubwa wa al aqsa.
Ngoma ipo kwenye kuuvunja sasa na ndicho kitakachochea hiyo vita ambayo imedizainiwa wapigane waislamu na wakristo.
Silaha za nuclear zitatumika hapo by the end kila kitu kitakua nyang'anyang'a ndipo sa inakuja new world order,vilevile hata imani ya kuabudi itakua moja .
Sasa siwezi kusema wamekopy toka ufunuo wa yohana ama wao ndo wameandika ufunuo wa yohana kama moja ya ajenda zao.
Watu wa kuangalia sana hapa ni.
1-wayahudi wa madhehebu ya carbala.
2-wakristo wa madhehebu ya evangelical.
3-waislamu wa madhehebu ya wahabi.
Haya makundi matatu ndo yote yana ajenda zao.
Mkuu unaweza ukaniona msumbufu kwa Maswali yangu! Lkn Mimi Nataka kufahamu undani Zaidi!
Ok hiyo familia ina Imani gani? Maana ninachohisi hapa ni Km shetani anatupiga chenga maana unaweza ukaambiwa kua ni familia fulani kumbe ni Imani Fulani! Km tunavyoambiwa Mara Masonic Mara mpinga Kristo! Kwahiyo nilitaka kujua Hasa Masonic wako na mafungamano na Imani gani? Au hiyo familia iko na mafungamano na Imani gani?
Samahani Kiongozi,naomba mie nichangie kidogo kukujibu,wengine wataongezea.
Hao jamaa ni wafuasi wa shetani ambao kwa namna nyingine walijulikana na wanajukikana kama "WAPINGA KRISTO"
Hata katika vitabu vyetu vya dini,kwa mfano Bible kwa sisi wakristo,imeandikwa kuwa itafika wakati watajionyesha wazi wazi na kuanza kufanya kazi ya kumpinga kristo na Ukristo.
Na ndo hao hao ambao walimpinga Bwana YESU kwa kuthubutu hata kusema SIYO mwana wa Mungu,na hakuwa na uwezo wa kiroho,hata alipofufuka,Walisema mwili wake umeibiwa.
Uliibiwaje na hali kulikuwa na Ulinzi mkali kuliko Ulinzi wa Kiongozi yeyote leo hapa Duniani?
Ndio nyakati zao Freemason kujidhihirisha kuwa wao ndio WAPINGA KRISTO.