Israel na Marekani wameishiwa Silaha kabisa. Sasa ni kipindi cha pili watajuta

Chizi Maarifa

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2013
Posts
13,625
Reaction score
29,891
Irani ilikuwa imejipanga. Ilichora chini maghorofa na viwanda kama vya ukweli. Ikaweka na matoy kila sehemu. Marekani imeshambulia michoro na matoy. Ikamshambulia Khayatollah fake toy la kichina.

Kwa sasa zimemaliza. Silaha zote
.hadi marekani sasa wanaanza kuomba silaha kama kenye. Kwa kweli sasa kimeanza kipindi cha pili labdwa wasaidiwe na upepo.
 
Kelele nyingi, ila moto mnauona Nyie wnyw 😂
 
Irani ilikuwa imejipanga. Ilichora chini maghorofa na viwanda kama vya ukweli. Ikaweka na matoy kila sehemu. Marekani imeshambulia michoro na matoy. Ikamshambulia Khayatollah fake toy la kichina.

Kwa sasa zimemaliza. Silaha zote
.hadi marekani sasa wanaanza kuomba silaha kama kenye. Kwa kweli sasa kimeanza kipindi cha pili labdwa wasaidiwe na upepo.
Katika ubora wako.
 
Tanzania kwa kushabikia vita utakutana na Waajemi wa Buza na Wamarekani/Israel wa Buguruni. Lakini October 29 tumeuona uoga wetu🤣🤣
 
Irani ilikuwa imejipanga. Ilichora chini maghorofa na viwanda kama vya ukweli. Ikaweka na matoy kila sehemu. Marekani imeshambulia michoro na matoy. Ikamshambulia Khayatollah fake toy la kichina.

Kwa sasa zimemaliza. Silaha zote
.hadi marekani sasa wanaanza kuomba silaha kama kenye. Kwa kweli sasa kimeanza kipindi cha pili labdwa wasaidiwe na upepo.
Asante kwa taarifa
Tukiwa tunasubiri daku
 
Unaijua bajeti ya jeshi la Marekani wewe muirani wa Tandare
 
Back
Top Bottom