Israel isingekuwa na Iron dome defense system ingekuwa habari nyingine

Israel ndio waasisi wa hii technology ya iron dome shield wao wanayo most advanced inaitwa David sling hii iko more smart and sophisticated.
Tena hiyo David sling INA Akili ikiona kombora halina madhara linaelekea baharini au mbugani linapotezea.
 
Defence system ya Israel ni expensive , kiujumla jeshi lao ni expensive sana.
Hilo ndilo jeshi la kisasa.

Nyuma ya Israel kuna EU na Marekani.
Gharama zaidi ya maisha ya watu ?
Hapo ndipo penye tofauti kati ya nchi zetu na nchi za wenzetu
Kwao wao, maisha ya raia wao ni kipaumbele cha kwanza, haijalishi ni gharama gani itatumika. Wako tayari waingie vitani kumkomboa raia mmoja.

Kuna wakati nakumbuka Israel ilikubali kubadilishana raia wake wawili waliokanatwa huko Syria na wafungwa 30 waliohukumiwa vifungo vya makosa ya kigaidi. Tuna kitu cha kujifunza hapo
 
Tena hiyo David sling INA Akili ikiona kombora halina madhara linaelekea baharini au mbugani linapotezea.
Hata Iron dome inayapotezea makombora yanayoonekana kuelekea kwenye "open places" kupunguza gharama
 
Back
Top Bottom