Israel isingekuwa na Iron dome defense system ingekuwa habari nyingine

Nyamizi

Platinum Member
Feb 19, 2009
2,932
2,000
Israel are Jewish as a Nation and as a religion, they are not Christians they don't even believe in Christianity.
When you're talking about them don't think you're supporting any form of crusade to support your religion.
These people are extremely racists and they are always in dark motive that not in favor of any race than themselves.

Whatever the case might be I stand with Israel
 
Ulweso

JF-Expert Member
May 24, 2016
17,981
2,000
Ukifuatilia Al Jazeera utajua ni kwa nini Israel ililipua maofisi yao, wako biased sana na Israel. Kutwa nzima ni kuhoji wapinzani wa Israel na kuonyesha mazishi ya wapalestina bila kuonyesha uharibifu unaofanywa ndani ya Israel. Pia hawasemi chochote kuhusu kukemea uhalifu wa Hamas

Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
Sasa kama wanakula wote kashata na kahawa watawasema vipi! Wapo nao humo humo kwenye mjengo!
 
permanides

JF-Expert Member
May 18, 2013
6,099
2,000
Israel are Jewish as a Nation and as a religion, they are not Christians they don't even believe in Christianity.
When you're talking about them don't think you're supporting any form of crusade to support your religion.
These people are extremely racists and they are always in dark motive that not in favor of any race than themselves.
You are missing the point, none has alleged Israel are Christians. But you should know, out of Judaism there no Islam nor Christianity.
The reason why people support Israel is because of her neighbors. Without such steps, Israel would have been wiped long time ago by Arab coalitions, therefore that is survival strategy.

Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
 
Missile of the Nation

JF-Expert Member
May 24, 2018
10,156

in 1948 Israelis expeled more than 70% of the inhabitants of that country to form their new state. And it has systematically contuinued to push t the limit the ones who remained so that they leave that land.
 
Mlaleo

JF-Expert Member
Oct 11, 2011
12,251
2,000
Nendeni mkawasaidie..... Hezbollah na Iran wako kimyaaa hawarushi hata jiwe
Washarusha mawili moja baharini na lingine shambani na wameuliwa makamanda 2 mmoja kafia mpakani na mwingine hospital alikuwa akiandamana na mabimu kupandikiza mpakani..

Bila kusahau washalalamika..
 
Myaud

Member
Apr 12, 2020
9
45
Tumsifu Mwenyezi Mungu,muweza kwa kummumba binadamu kwa umbi dhaifu mno la kutegemea pumzi, chakula etc

Binadamu muda mwingi ana shida kuliko Raha, tofauti ya Mimi na wewe humu if ni kelele tu, tofauti ya myahud na mpalestina ni silaha tu.tofauti ya Mzungu.

Mwafrika, Mwarabu, Muhindu etc ni rangi tu wote ni sawa , tunaenda chooni, tunakula, tutakufa,Lakini pamoja na udhaifu huo angalia tunavyofanyiana mauaji uonevu.

Mtu yoyote aliyeishiwa mbinu au ushawishi au dhalifu hutumia nguvu,silaha Kama hatua yake ya mwisho.
 
permanides

JF-Expert Member
May 18, 2013
6,099
2,000
in 1948 Israelis expeled more than 70% of the inhabitants of that country to form their new state. And it has systematically contuinued to push t the limit the ones who remained so that they leave that land.
You sound like you don't know how the state was formed. It iwas under the UN resolution that a Jewish state be formed, in order to do that, and after a thorough conversation, some Palestinians had to be relocated in order to give way.
And if I may ask, why are pegging it to 1948, was there not a Jewish state before that, how and why it ended.

Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
 
Root

JF-Expert Member
Jan 23, 2012
40,378
2,000
What’s 9.3 miles (15 km)?

163 football fields
46 Eiffel Towers
34 Empire State Buildings
18 Burj Khalifas
Nearly 2 Mt. Everests

Our fighter jets neutralized 9.3 miles of the Hamas 'Metro' terror tunnel system overnight.

That's 9.3 miles that can no longer be used for terror.
 
Mtanzatozo

JF-Expert Member
Mar 2, 2016
833
1,000
Taifa teule halilindwi na sala na maombi, linalindwa na sayansi.
Sisi na Taifa letu lenye uchawi wa mwenge kila kitu tunaamini kinaendeshwa kwa sala na maombi ndio maana hatutoboi
mh! karagabaho..! bora kubak kwenye uchumi wa kati ndugu ukiwa tajiri sana hyo lazima yatakunyemelea tuu..
 
Missile of the Nation

JF-Expert Member
May 24, 2018
10,156
2,000
You sound like you don't know how the state was formed. It iwas under the UN resolution that a Jewish state be formed, in order to do that, and after a thorough conversation, some Palestinians had to be relocated in order to give way.
And if I may ask, why are pegging it to 1948, was there not a Jewish state before that, how and why it ended.

Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
That resolution was never followed properly
It called for the creation of the Palestine state as well!
 
Mchimba Chumvi

JF-Expert Member
May 19, 2016
1,547
2,000
H
What’s 9.3 miles (15 km)?

163 football fields
46 Eiffel Towers
34 Empire State Buildings
18 Burj Khalifas
Nearly 2 Mt. Everests

Our fighter jets neutralized 9.3 miles of the Hamas 'Metro' terror tunnel system overnight.

That's 9.3 miles that can no longer be used for terror.
Hawa jamaa IDF wanavyoripoti habari zao huko Twitter ni balaa, nimeweka notification on ili nione jinsi magaidi wakila kichapo
 
mgen

JF-Expert Member
Nov 18, 2010
20,214
2,000
Israel are Jewish as a Nation and as a religion, they are not Christians they don't even believe in Christianity.
When you're talking about them don't think you're supporting any form of crusade to support your religion.
These people are extremely racists and they are always in dark motive that not in favor of any race than themselves.
Hayo sana sana ungewatahadharisha wafuasi hawa wa jino kwa jino!

WAYAHUDI

KUM. 19:21 Wala jicho lako lisiwe na huruma; uzima kwa uzima, jicho kwa jicho, jino kwa jino, mkono kwa mkono, mguu kwa mguu.

WAISLAMU

وَلَكُمْ فِي الْقِصَِ حَيَاةٌ يَاْ أُولِيْ الأَلْبَابِ لَعَلَّكُمْ تَتَّقُونَ ﴿١٧٩﴾
2/Al-Baqarah-179: Va lakum feel kıseası haayeatun yea uleel albeabi laaallakum tattakoon(tattakoona).

And for you there is life in retaliation, O Ulû’l elbâb! (Those who have attained to the continuous remembrance of the Name of Allah and thus know the innermost secret treasures of Allah!), that you may become the pious (Al-Muttaqûn, the owners of takwâ).

WAKRISTO

MT. 5:43-48 Mmesikia kwamba imenenwa, Umpende jirani yako, na, Umchukie adui yako; lakini mimi nawaambia, wapendeni adui zenu, waombeeni wanaowaudhi, ili mpate kuwa wana wa Baba yenu aliye mbinguni; maana yeye huwaangazia jua lake waovu na wema, huwanyeshea mvua wenye haki na wasio haki. Maana mkiwapenda wanaowapenda ninyi mwapata thawabu gani? Hata watoza ushuru, je! Nao hawafanyi yayo hayo? Tena mkiwaamkia ndugu zenu tu, mnatenda tendo gani la ziada? Hata watu wa mataifa, je! Nao hawafanyi kama hayo? Basi ninyi mtakuwa wakamilifu, kama Baba yenu wa mbinguni alivyo mkamilifu.

Dunia Pangekuwa Mahali Pazuri Sana Kuishi Kama Ingeyafuata na Kuyaishi Mafundisho ya Yesu!
 
Mkaruka

JF-Expert Member
Feb 5, 2013
18,269
2,000
Israel are Jewish as a Nation and as a religion, they are not Christians they don't even believe in Christianity.
When you're talking about them don't think you're supporting any form of crusade to support your religion.
These people are extremely racists and they are always in dark motive that not in favor of any race than themselves.
Tatizo anaeongea haya unamkuta ana dini ya pili. Ndio maana kueleweka ni ngumu.
 
mikedean

JF-Expert Member
Mar 15, 2018
2,907
2,000
Tumsifu Mwenyezi Mungu,muweza kwa kummumba binadamu kwa umbi dhaifu mno la kutegemea pumzi, chakula etc

Binadamu muda mwingi ana shida kuliko Raha, tofauti ya Mimi na wewe humu if ni kelele tu, tofauti ya myahud na mpalestina ni silaha tu.tofauti ya Mzungu.

Mwafrika, Mwarabu, Muhindu etc ni rangi tu wote ni sawa , tunaenda chooni, tunakula, tutakufa,Lakini pamoja na udhaifu huo angalia tunavyofanyiana mauaji uonevu.

Mtu yoyote aliyeishiwa mbinu au ushawishi au dhalifu hutumia nguvu,silaha Kama hatua yake ya mwisho.
Survival for fittest. Ndio kinachotokea duniani
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom