niko said
Member
- Dec 15, 2019
- 29
- 26
je inaweza kuizid S-400 ya murusi?Iron dome shield iko smart saana, ikiona kombora linaenda kutua sehemu isiyo na makazi Inali ignore.
je inaweza kuizid S-400 ya murusi?Iron dome shield iko smart saana, ikiona kombora linaenda kutua sehemu isiyo na makazi Inali ignore.
Israel ndio waasisi wa hii technology ya iron dome shield wao wanayo most advanced inaitwa David sling hii iko more smart and sophisticated.je inaweza kuizid S-400 ya murusi?
Tena hiyo David sling INA Akili ikiona kombora halina madhara linaelekea baharini au mbugani linapotezea.Israel ndio waasisi wa hii technology ya iron dome shield wao wanayo most advanced inaitwa David sling hii iko more smart and sophisticated.
Defence system ya Israel ni expensive , kiujumla jeshi lao ni expensive sana.
Hilo ndilo jeshi la kisasa.
Nyuma ya Israel kuna EU na Marekani.
Hapo ndipo penye tofauti kati ya nchi zetu na nchi za wenzetuGharama zaidi ya maisha ya watu ?
Hata Iron dome inayapotezea makombora yanayoonekana kuelekea kwenye "open places" kupunguza gharamaTena hiyo David sling INA Akili ikiona kombora halina madhara linaelekea baharini au mbugani linapotezea.