Israel isijidanganye

Israel isijidanganye

mlipoanzianza shambulia hamkuyajua haya ? au mlizania mtapiga milele ?
 
"Tukisoma history ya zamani Tanzania iliitawala Uingereza kabla Uingereza kuja kuitawala TZ" - NukuuMkuu kwani hii leo ni tarehe ngapi na siku ya ngapi ya juma? Labda tukianzia hapo ndipo ambapo tunaweza kuwekana sawa kimaudhui, kimantiki, na kimkutadha.
hiyo Tanzania ya mwaka.1961 ilitawala lin Uingereza ?
 
Kumbe hawamtambui Yesu ambaye kimsingi ndio Mungu!?? Sasa kwanini mnawaita taifa teule ilihali hawamtambui Mungu? Kwa mujibu wa Biblia mbinguni huiingii kama hujamkiri Yesu meaning hawa waliopo sasa hapo Israel wote kuzimu inawahusu.

Cha ajabu mnawaita taufa teule wakati huo huo mbinguni hawaendi!! Ndio nini sasa hiki?
wamtambue au wasimtambue Mungu ila wapalestina walianza wenyewe
 
Mkuu hapa ndio mzizi wa hoja, kwahiyo kama watamkiri ina maana sahivi hawajamkiri right? Sasa kama hawajamkiri ilihali Bible imesema huendi mbinguni bila kumkiro kristo. This means hapo walipo hawana uteule wowote maana hawajamkiri Yesu bado.

Hakunaga mbingu mbili, Bible ilishasema hakuna mlango zaidi ya Yesu. Meaning hao wote ni waasi tu sasa kivipi muasi ni mteule?
mnachanganya mafaili , wavaa kobaz wanatafuta kila njia kupata huruma ya watu
 
Waislam wanafuata sana tu, sema kigugumizi ni pale mkristo akisema Yesu ni Mungu hapo ndio panakua hapatoshi. Kama tu madhehebu mengine ya kikristo yanakubali mafundisho ya Yesu ila yanapinga UUNGU wa Yesu!!
Unawajua kabila la Dani? Ni wana Israel na walipewa ahadi ya urithi. Ila ukisoma kitabu cha ufunuo kabila hilo lilifutwa kwenye list ya makabila 12 ya Israel. Kama Mungu aliweza futa ahadi yake kwa DANI why not kwa hawa wahuni waliopo Tel Aviv?
story zote hizo ni irrelevant , mlijichanganya acha mtinduliwe tu , uteule so hoja
 
October 7 ilikua ni revenge ya mateso ya miaka zaidi ya 75 sasa!! Uonevu umeanza tokea 1948 alafu unakuja kuongelea October 7? Nyie endeleeni tu dawa yenu ipo. Ataamka Stalin, Hitler au Mehmet Ali mwingine soon.
Akili zenu za wafia dini mnajua wayahudi walianza kujenga dola yao hapo 1948?
 
Hakuna taifa litakuwa na nguvu milele
Hakuna chama duniani kitaishika madaraka milele kuna siku kitaporomoka tu.
Ilikuwepo Manchester united miaka ya 92
Ilikuwepo Basalona
ilikuwepo Real madrid
ilikuwepo Brazil
Timu hizo zikivuma uwanjani
Hakuna hesabu yoyote dunian inakubali hayo.
Isreal inajidanganya kuwaua palestina kwamba ndio is hashindwi dunia
Tukisoma history ya zamani Tanzania iliitawala uengereza kabla uengereza kuja kuitawala tz.
Kuna siku waengereza na America watakuja kuomba hifadhi ya makazi maeneo ya Manzese na Mbagala
Yaani ufala wa hao HAMAS walifikiri walichokifanya GAZA Islael hawawezi kwa lolote - dadeq wamebokolewa ka mbwa koko

Walifikiri kutumia raia kama kinga ingewasaidia - kutumia netwok ya mahandaki yanayotokezea kwenye mashule, kambi za wakimbizi na mahospitalini - wapi - ni kichapo mfululizo.

Ni kipigo cha mbwa mwizi
 
Kwa akili ya waislamu na waarabu....ni kwamba himaya za wayahudi zimeanza 1948........HIYO TUNAITA ARABS AND MUSLIMS CHEAP PROPAGANDA AGAINST JEW,S
Kwani ni lini hata kwenye Biblia hao waisraeli waliwahi kuwa wakazi original wa hapo? Mara zote hupora kimabavu na kuchinja raia wote ndio wanachukua wao ardhi.
 
Walifikiri kutumia raia kama kinga ingewasaidia - kutumia netwok ya mahandaki yanayotokezea kwenye mashule, kambi za wakimbizi na mahospitalini - wapi - ni kichapo mfululizo.
Kichapo? Hahahaha mbona wameshindwa kujua walipo mateka? Tatizo mnaua watoto na wanawake huku mnashindwa kupambana na mnaoita magaidi mwisho wa siku mnaua wasio na hatia alafu waliowanyoosha wanakula bata na mateka wenu!!
 
Kichapo? Hahahaha mbona wameshindwa kujua walipo mateka? Tatizo mnaua watoto na wanawake huku mnashindwa kupambana na mnaoita magaidi mwisho wa siku mnaua wasio na hatia alafu waliowanyoosha wanakula bata na mateka wenu!!
Hujui chochote kaa kimya - ile kesi yenu ya ujinga imesaidia nini - mbona mnaendelea kubokolewa.
 
Israel na Gaza walikuwa wanaishi waisrael, wafilisti na makabila mengine.
Acha uongo, Ardhi yote ilikua ya canaanites hao Israel walivamia tu na kuchinja kila mtu ndio wakaichukua ila hapakua kwao. Wao wanatokea huko uarabuni Iraq!!
ni sawa umeuziwa kitu cha wizi, umeokota kitu cha wizi au umemuibia mtu kwahiyo hata ipite miaka 40
Wezi ni hao wayahudi, nchi haikua yao wakaipora sasa wanatoa wapi hatimiliki? Na ukisoma Bible ardhi waliohaidiwa sio hapo wanapoishi, ni mpaka huko Iraq na Syria mbona hawaidai hadi kwenda kungangania Gaza pale padogo?
Wenye nchi walifika 1948 na ilikuwa rahisi ndiyo maana taifa teule la Israel liliundwa chapu ila shida ikabaki kwa hao wakimbizi wa kipalestina
Wenye nchi kivipi? Wenye nchi ni Makabila 13 ya canaan kasome vizuri Biblia yako. Hao Israel walipora tu kama kawaida yao mpaka walipokuja kukutana na wababe wao ndio wakatawanyika mpaka leo.
 
Hujui chochote kaa kimya - ile kesi yenu ya ujinga imesaidia nini - mbona mnaendelea kubokolewa.
Sijui nini? Hao mateka wako wapi? Hivi Gaza si sawa na size ya Kigamboni? Mnashindwa kujua mateka wako wapi hadi leo? Aisee tena mnapigana na kakikundi tu..... sasa ingekua jeshi kabisa kama la Iran au China si mngekuwa mnatafutana!!

Siku yenu inakuja hata Bible imeshasema, hakunaga uovu unaodumu milele.
 
Akili zenu za wafia dini mnajua wayahudi walianza kujenga dola yao hapo 1948?
Ndio walijitangazia taifa lao huo mwaka.... kabla ya hapo kwenye biblia nako walijitangazia taifa lao kwenye nchi ya wacanaan. Ni kawaida yao kupora nchi za watu na kujimilikisha.
 
Hakuna taifa litakuwa na nguvu milele
Hakuna chama duniani kitaishika madaraka milele kuna siku kitaporomoka tu.
Ilikuwepo Manchester united miaka ya 92
Ilikuwepo Basalona
ilikuwepo Real madrid
ilikuwepo Brazil
Timu hizo zikivuma uwanjani
Hakuna hesabu yoyote dunian inakubali hayo.
Isreal inajidanganya kuwaua palestina kwamba ndio is hashindwi dunia
Tukisoma history ya zamani Tanzania iliitawala uengereza kabla uengereza kuja kuitawala tz.
Kuna siku waengereza na America watakuja kuomba hifadhi ya makazi maeneo ya Manzese na Mbagala
Nyinyi Waislam na chuki yenu dhidi ya Israel mtasubiri sana siku ambayo israel kuishiwa nguvu; Nyinyi hamjiulizi kuwa kila mara mnajiaminisha kuwa this time tutawashinda israel, kama Hamas na Iran walivyojiaminisha 7 October lakini mnaishia kichapo cha mbwa. Shetan wenu mwenyewe anasema Israel is the most favoured Nation- soma Quran
 
wamtambue au wasimtambue Mungu ila wapalestina walianza wenyewe
Walianza nini? Ule mji upo ndani ya ardhi ta palestina inayokaliwa kimabavu na wakulima wa Israel. Watu humu elimu ndogo hamjui historia hamjui hata mgogoro uliopo pale. Alafu unakuta na ww ni mzee wa kanisa sijui... SMH!!
 
Back
Top Bottom