Israel isijidanganye

Malaria 2

JF-Expert Member
Oct 17, 2023
2,646
3,936
Hakuna taifa litakuwa na nguvu milele
Hakuna chama duniani kitaishika madaraka milele kuna siku kitaporomoka tu.
Ilikuwepo Manchester united miaka ya 92
Ilikuwepo Basalona
ilikuwepo Real madrid
ilikuwepo Brazil
Timu hizo zikivuma uwanjani
Hakuna hesabu yoyote dunian inakubali hayo.
Isreal inajidanganya kuwaua palestina kwamba ndio is hashindwi dunia
Tukisoma history ya zamani Tanzania iliitawala uengereza kabla uengereza kuja kuitawala tz.
Kuna siku waengereza na America watakuja kuomba hifadhi ya makazi maeneo ya Manzese na Mbagala
 
Unatumia kilevi gani mkuu,?
 
Juuu yaa israel usihofu, itatokea vita kuu na waisrael watapingwa saana, ndipo watakapo mtambua masia mwana wa mungu na kumrudia. Hapo ndipo unabiii utaishia na YESU atarudi mara ya pili kuwachukua na kuwaokoa walio wake. Hivyo basi tunapoona mataifa yote hayampendi israel, yanatimiza unabii ulioko katika injiri ya mathayo 24 nanyi mtakuwa wa kuchukiwa na mataifa yotee. Ndugu mwamini YESU KRISTO sasa kilichobakia ni unyakuo wa waliomwamini Yesu kuwa bwana na mwokozi wa maisha yao. Kwa kiburi hicho ninajua utaubeza huu ujumbee. Sisi tutaendelea kuwajuza msije sema hamkusikia.
 
Hakuna taifa litakuwa na nguvu milele
Hakuna chama duniani kitaishika madaraka milele kuna siku kitaporomoka tu.
Ilikuwepo Manchester united miaka ya 92
Ilikuwepo Basalona
ilikuwepo Real madrid
ilikuwepo Brazil
Timu hizo zikivuma uwanjani
Hakuna hesabu yoyote dunian inakubali hayo.
Isreal inajidanganya kuwaua palestina kwamba ndio is hashindwi dunia
Tukisoma history ya zamani Tanzania iliitawala uengereza kabla uengereza kuja kuitawala tz.
Kuna siku waengereza na America watakuja kuomba hifadhi ya makazi maeneo ya Manzese na Mbagala
Weita muongeze mbili azimue la. Jana
 
"Tukisoma history ya zamani Tanzania iliitawala Uingereza kabla Uingereza kuja kuitawala TZ" - Nukuu
Hakuna taifa litakuwa na nguvu milele
Hakuna chama duniani kitaishika madaraka milele kuna siku kitaporomoka tu.
Ilikuwepo Manchester united miaka ya 92
Ilikuwepo Basalona
ilikuwepo Real madrid
ilikuwepo Brazil
Timu hizo zikivuma uwanjani
Hakuna hesabu yoyote dunian inakubali hayo.
Isreal inajidanganya kuwaua palestina kwamba ndio is hashindwi dunia
Tukisoma history ya zamani Tanzania iliitawala uengereza kabla uengereza kuja kuitawala tz.
Kuna siku waengereza na America watakuja kuomba hifadhi ya makazi maeneo ya Manzese na Mbagala
Mkuu kwani hii leo ni tarehe ngapi na siku ya ngapi ya juma? Labda tukianzia hapo ndipo ambapo tunaweza kuwekana sawa kimaudhui, kimantiki, na kimkutadha.
 
ndipo watakapo mtambua masia mwana wa mungu na kumrudia
Kumbe hawamtambui Yesu ambaye kimsingi ndio Mungu!?? Sasa kwanini mnawaita taifa teule ilihali hawamtambui Mungu? Kwa mujibu wa Biblia mbinguni huiingii kama hujamkiri Yesu meaning hawa waliopo sasa hapo Israel wote kuzimu inawahusu.

Cha ajabu mnawaita taufa teule wakati huo huo mbinguni hawaendi!! Ndio nini sasa hiki?
 
Hakuna taifa litakuwa na nguvu milele
Hakuna chama duniani kitaishika madaraka milele kuna siku kitaporomoka tu.
Ilikuwepo Manchester united miaka ya 92
Ilikuwepo Basalona
ilikuwepo Real madrid
ilikuwepo Brazil
Timu hizo zikivuma uwanjani
Hakuna hesabu yoyote dunian inakubali hayo.
Isreal inajidanganya kuwaua palestina kwamba ndio is hashindwi dunia
Tukisoma history ya zamani Tanzania iliitawala uengereza kabla uengereza kuja kuitawala tz.
Kuna siku waengereza na America watakuja kuomba hifadhi ya makazi maeneo ya Manzese na Mbagala
Aisee...unakoelekea watu watafanya yao...
 
Si tulishakubaliana kuwa tusiwape Ujiko hao makafir? Tulikubaliana vizuri tuseme wameshindwa. Sasa hayo ya nguvu yanatoka wapi? Na kwa sasa tunashukuru waisrael wote wameshtakiwa na watafungwa Ritz ina maana kuna kukosekana mawasiliano? Hao waisrael hao muda si mrefu wote watakuwa magerezani. Ritz ameshazungumzia hili. Na nchi yao itabaki bila mtu sisi ndo tutaenda kuishi makafiri wakiwa magerezani.
 
Kumbe hawamtambui Yesu ambaye kimsingi ndio Mungu!?? Sasa kwanini mnawaita taifa teule ilihali hawamtambui Mungu? Kwa mujibu wa Biblia mbinguni huiingii kama hujamkiri Yesu meaning hawa waliopo sasa hapo Israel wote kuzimu inawahusu.

Cha ajabu mnawaita taufa teule wakati huo huo mbinguni hawaendi!! Ndio nini sasa hiki?
Sema sometimes huwa hawa Makafir siwaelewi. Wameshawahi mara kadhaa kututembezea kichapo. Sijui inakuaje hii? Eti zitto.
 
Kumbe hawamtambui Yesu ambaye kimsingi ndio Mungu!?? Sasa kwanini mnawaita taifa teule ilihali hawamtambui Mungu? Kwa mujibu wa Biblia mbinguni huiingii kama hujamkiri Yesu meaning hawa waliopo sasa hapo Israel wote kuzimu inawahusu.

Cha ajabu mnawaita taufa teule wakati huo huo mbinguni hawaendi!! Ndio nini sasa hiki?

Israel limekuwa Taifa teule tangu nyakati kabla ya Musa. Na Wayahudi walimwasi Mungu mara nyingi, hata Mungu akaruhusu wachukuliwe mateka na kuwa watumwa kama adhabu yao ya kwenda kinyume na Agano lake. Lakini kwa kuwa ni Taifa teule, baadaye aliwatumia manabii kuwakumbusha uasi wao. Walipotubu, aliwakomboa na kuwaadhibu vikali maadui wao, kama alivyotenda dhidi ya Wamisri kule bahari ya Sham.

Kwa kuwa wamemkataa masiha Yesu Kristo, Wayahudi watapitia magumu mengi, lakini watapata nafasi ya kumkiri Kristo. Na toka wakati huo, hakuna atakayeweza kuwagusa kwa shari, kwa sababu mbele yao itakuwepo nguvu ya Mungu.

Mwanao anaweza kutenda kinyume na maagizo na mapenzi yako. Je, atafutika kuwa mwanao? Kumbuka Mungu wetu ni mwaminitu katika ahadi zake.

Masiha Yesu Kristo anasema, "Mimi ndimi njia na uzima, mtu hafiki kwa Baba isipokuwa kwa kupitia mimi". Tena anasema, "aliyeniona Mimi amemwona Baba, kwani Mimi ni ndani ya Baba, na Baba yu ndani yangu".

Na mtume Mohammad kwenye Kurani anasema kuwa Yeye Muhammad ni mfuasi namba moja wa Issa bin Mariam. Lakini waislam wa leo, wanaosema wanafuata mafundisho ya Muhammad, hawataki hata kulisikia jina la Yesu.
 
watapata nafasi ya kumkiri Kristo
Mkuu hapa ndio mzizi wa hoja, kwahiyo kama watamkiri ina maana sahivi hawajamkiri right? Sasa kama hawajamkiri ilihali Bible imesema huendi mbinguni bila kumkiro kristo. This means hapo walipo hawana uteule wowote maana hawajamkiri Yesu bado.

Hakunaga mbingu mbili, Bible ilishasema hakuna mlango zaidi ya Yesu. Meaning hao wote ni waasi tu sasa kivipi muasi ni mteule?
 
Back
Top Bottom