Israel isijidanganye

Israel isijidanganye

mtume Mohammad kwenye Kurani anasema kuwa Yeye Muhammad ni mfuasi namba moja wa Issa bin Mariam. Lakini waislam wa leo, wanaosema wanafuata mafundisho ya Muhammad, hawataki hata kulisikia jina la Yesu.
Waislam wanafuata sana tu, sema kigugumizi ni pale mkristo akisema Yesu ni Mungu hapo ndio panakua hapatoshi. Kama tu madhehebu mengine ya kikristo yanakubali mafundisho ya Yesu ila yanapinga UUNGU wa Yesu!!
Mwanao anaweza kutenda kinyume na maagizo na mapenzi yako. Je, atafutika kuwa mwanao? Kumbuka Mungu wetu ni mwaminitu katika ahadi zake.
Unawajua kabila la Dani? Ni wana Israel na walipewa ahadi ya urithi. Ila ukisoma kitabu cha ufunuo kabila hilo lilifutwa kwenye list ya makabila 12 ya Israel. Kama Mungu aliweza futa ahadi yake kwa DANI why not kwa hawa wahuni waliopo Tel Aviv?
 
Kwa maana hii ni kwamba Israel (ambayo 80% ni wayahudi hawamuamini Yesu kristo) kuzimu inawahusu?
Wale ni taifa teule la Mungu, wao wamepewa kibaru hicho cha kuja kupigwa na mataifa, na watakapo pigika vyakutosha ndipo watamkumbuka rasmi bwana Yesu kuwa bwana na mwokozi ndipo Yesu atashuka mwenyewe kuwaokoa na dhiki hiyo na unyakuo kwa waamini kristo utafanyakika kipindi hicho, neema ya kumwamini kristo kwa makusudi wamepewa taifa moja tuu la israel. Wengine wanaopoyoka bila kulitaja na kuliabudu jina pekee la mwokozi wa ulimwengu ambaye ni YESU kristo hao kama hawatabadirika na kulitambua hili, jehanamu inawahusu, hata kama wangeabudu miungu yao kwa umahiri waujuao, haitawasaidia kituuu. Mwamini bwana Yesu kuwa bwana na mwokozi wa maisha yako nawe utaokoka na gadhabu ya Mungu.
 
Hakuna taifa litakuwa na nguvu milele
Hakuna chama duniani kitaishika madaraka milele kuna siku kitaporomoka tu.
Ilikuwepo Manchester united miaka ya 92
Ilikuwepo Basalona
ilikuwepo Real madrid
ilikuwepo Brazil
Timu hizo zikivuma uwanjani
Hakuna hesabu yoyote dunian inakubali hayo.
Isreal inajidanganya kuwaua palestina kwamba ndio is hashindwi dunia
Tukisoma history ya zamani Tanzania iliitawala uengereza kabla uengereza kuja kuitawala tz.
Kuna siku waengereza na America watakuja kuomba hifadhi ya makazi maeneo ya Manzese na Mbagala
Endeleeni kuwadanganya wenzenu ili wazidi kupukutishwa, mtakapokuja kustuka palestina itakuwa Haina watu
 
Ila walichokifanya Hamas kwa raia wa Israel halikuwa jambo la kibinadamu hata kidogo. Hebu fikiria upo umelala na familia yako huna hili wala lile halafu unasikia risas zinarondima mlangoni na dirishani kwako, ni tofauti na huko Gaza ambapo raia waliambiwa waondoke na walipewa muda.

Siku zote ugopa kuchokoza mtu sababu haujui reaction yake kwako itakuwa kiasi gani. Na ninaamini asilimia mia Hamas hawakujua kuwa reaction ya Israel ingekuwa kubwa kiasi hiki au kuna mshirika aliwadanganya atawasaidia wakivamiwa.
 
Hakuna taifa litakuwa na nguvu milele
Hakuna chama duniani kitaishika madaraka milele kuna siku kitaporomoka tu.
Ilikuwepo Manchester united miaka ya 92
Ilikuwepo Basalona
ilikuwepo Real madrid
ilikuwepo Brazil
Timu hizo zikivuma uwanjani
Hakuna hesabu yoyote dunian inakubali hayo.
Isreal inajidanganya kuwaua palestina kwamba ndio is hashindwi dunia
Tukisoma history ya zamani Tanzania iliitawala uengereza kabla uengereza kuja kuitawala tz.
Kuna siku waengereza na America watakuja kuomba hifadhi ya makazi maeneo ya Manzese na Mbagala
Umekata tamaa? Si ulisema Hamas imeshinda vita? Pole sana
 
Ila walichokifanya Hamas kwa raia wa Israel halikuwa jambo la kibinadamu hata kidogo. Hebu fikiria upo umelala na familia yako huna hili wala lile halafu unasikia risas zinarondima mlangoni na dirishani kwako, ni tofauti na huko Gaza ambapo raia waliambiwa waondoke na walipewa muda.

Siku zote ugopa kuchokoza mtu sababu haujui reaction yake kwako itakuwa kiasi gani. Na ninaamini asilimia mia Hamas hawakujua kuwa reaction ya Israel ingekuwa kubwa kiasi hiki au kuna mshirika aliwadanganya atawasaidia wakivamiwa.
Hawa watu hupewa mafundisho ya kijinga. Kwamba ukifa kwa ajili ya dini ya Mnyaazi basi unakwenda peponi na huko Mola yupo busy kukuandalia vibwana wenye bikra murua ili ukawabandue!!

Halafu kule peponi Kuna bia na mvinyo wa kujichotea tu, ukilewa chakari unakwenda kubandua bikra wako.

Sasa ukiwa na akili ndogo unaamini kwamba huyu Mungu wetu huyu kukuandalia mabikra 72!!

Dini zingine hizi zinachekesha
 
Akili huna
 
Hakuna taifa litakuwa na nguvu milele
Hakuna chama duniani kitaishika madaraka milele kuna siku kitaporomoka tu.
Ilikuwepo Manchester united miaka ya 92
Ilikuwepo Basalona
ilikuwepo Real madrid
ilikuwepo Brazil
Timu hizo zikivuma uwanjani
Hakuna hesabu yoyote dunian inakubali hayo.
Isreal inajidanganya kuwaua palestina kwamba ndio is hashindwi dunia
Tukisoma history ya zamani Tanzania iliitawala uengereza kabla uengereza kuja kuitawala tz.
Kuna siku waengereza na America watakuja kuomba hifadhi ya makazi maeneo ya Manzese na Mbagala
Kwa maelezo haya wewe kama mparestina umeshakubali umeshindwa vita.
 
Juuu yaa israel usihofu, itatokea vita kuu na waisrael watapingwa saana, ndipo watakapo mtambua masia mwana wa mungu na kumrudia. Hapo ndipo unabiii utaishia na YESU atarudi mara ya pili kuwachukua na kuwaokoa walio wake. Hivyo basi tunapoona mataifa yote hayampendi israel, yanatimiza unabii ulioko katika injiri ya mathayo 24 nanyi mtakuwa wa kuchukiwa na mataifa yotee. Ndugu mwamini YESU KRISTO sasa kilichobakia ni unyakuo wa waliomwamini Yesu kuwa bwana na mwokozi wa maisha yao. Kwa kiburi hicho ninajua utaubeza huu ujumbee. Sisi tutaendelea kuwajuza msije sema hamkusikia.
Huu ni uongo wa wazi wazi
 
Hakuna taifa litakuwa na nguvu milele
Hakuna chama duniani kitaishika madaraka milele kuna siku kitaporomoka tu.
Ilikuwepo Manchester united miaka ya 92
Ilikuwepo Basalona
ilikuwepo Real madrid
ilikuwepo Brazil
Timu hizo zikivuma uwanjani
Hakuna hesabu yoyote dunian inakubali hayo.
Isreal inajidanganya kuwaua palestina kwamba ndio is hashindwi dunia
Tukisoma history ya zamani Tanzania iliitawala uengereza kabla uengereza kuja kuitawala tz.
Kuna siku waengereza na America watakuja kuomba hifadhi ya makazi maeneo ya Manzese na Mbagala
qmamae mmeanza kulialia shenzi type na bado
 
Back
Top Bottom